Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..pia tunakaribisha mijadala na yale yote unayopenda yawemo humu. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthreeFriday, September 14, 2012

Mbio za sakafuni huishia ukingoni-sehemu ya pili-6
Nikiwa sijitambui, akili ikawa inaingiwa na picha za ajabu ajabu, kwanza nilimuona mume wangu akiwa kashikana mkono na mwanamke, huku huyo mwanamke akimchekea kile kicheko cha sauti ya juu ya mahaba, halafu akamuegemea na kumbusu, hilo tendola kumbusu mume wangu lilikuwa kama kumwangia petrol kwenye moto, niliinukapale kitandani na kujikuta nikihaha kwa hasira.

‘Wewe Malaya wewe, nikauonyesha kuwa mimi sio mshamba, nikawasha taa, na kuangali huku na kule, sijui nilichokuwa nikitafuta, labda nilikuwa nikitafuta silaha, lakini hakukuwa na silaha ambayo ingenifaa, nikaendelea sehemu nilipoweka nguo zangu, nikavua nguo za usiku nilizokuwa nazo na kuvaa suruali ya kazi.

Nikavaa na kosto ambalo lilikuwa na kofia yake, ukilivaa unakuwa umejiufunika sehemu kubwa ya kichwa, nikajiangalia kwenye kiyoo, na kusema;

‘Sasa nakuja kupambana na wewe Malaya mkubwa…’nikazima taa ya pale ndani na taratibuu nikatoka chumbani kwangu kwa kunyata, sijui kwanini nilifanya hivyo, je nilikuwa namuogopa nani sijui, nikawa natembea mwendo huo huo,

Nilipofika chumba cha mwanadada ambacho hakikuwa mbali na chumba changu, nikasimama, na nikawa najiuliza nifanya nini, nimgongee au niendelee ka kusudiolangu, nikasema;

‘Hata ngoja niingia nimpe taarifa kuwa mimi nakwenda vitani, asisumbuke kunitafuta, nikifa vitani basi tena asiwe na shaka na mimi..’

Nikafungua mlangobilakugonga,ulikuwa haujafungwa kwa ndani, nikawa nipo ndani ya chumba cha rafiki yangu ambaye alionekana ndio katoka humo ndani karibuni, kwa jinsi kulivyokuwa mle ndani.

‘Huyu kaenda wapi saa hizi au ndio kazamia kwa wanaume zake,..shauri lake, mimi sio Malaya kama yeye, kwanza anniita mimi mshamba, ngoja, nimuonyeshe kuwa mimi sio mshamba..’nikasema huku nikimtafuta kila konaya humo ndani sikumuona, nikaingia chumba anacholala, na kukuta hakuna kitu.

‘Shauri lake, ….kama kaenda huko kwa wanaume, atajua mwenyewe, mimi nakwenda vitani, ama zake ama zangu, huyo Malaya hawezi kunichukulia mume wangu, nikimkuta tutakua naye sahani moja..’nikasema na bila kujua ni nini ninafanya nikafungua kabato la nguo, na humo nikakiona kile ninachokitafuta.

Mkoba wa kike ulikuwa umewekwa pembeni mwa hilo kabati, nikauvamia na kusema;

‘Humu ninajua kuna ….’nikasema huku nikiupekua utafikiri ni wa kwangu, na kweli mata nikaona kile ninachokitafuta, nikakitoa na kukitizama,….

‘Hii ndio itakayomuweka sawa huyo hawara, mimi …ni askari, najua kuitumia hii,….’nikaitoa kwenye ule mfuko na kuifungua sehemu kunapowekwa risasi. Niliwahi kufundishwa kutumia hii silaha wakati alipokuja mzungu mmoja kule jijini kwetu.

Yule mzungu alikuwa na bunduki na bastola, basi mimi na wenzangu tukawa tunapenda kumsaidia huyo mzungu kazi zake na akawa akitufundishs jinsi gani ya kutumia silaha, kuisafisha na jinsi gani ya kuweka risasi, na tukawa tunaijau vyema, na hata siku nyingine tunakwenda naye kuwinda, kwahiyo nilikuwa nikiijua.

Siku ile nilipoiona hii silaha kwenye mkoba wa huyu mwanadada, nilijua kuwa huenda huyu mwanadada anaitumia hiyo silaha kwa ajili ya kujilinda, lakini niliingiwa na wasiwasi wa kumshuku kuwa huenda ana nia mbaya na hiyo silaha, …

‘Sasa nimekamilika nikiingi vitani najua kuwa nina kitu cha kunilinda, ….’nikasema huku nikiificha ile silaha kwenye sehemu ya suruali niliyovaa, ilikuwa na kitu kama mkobwa pembeni,…Nilipohakikisha kuwa nimeiweka vyema, nikarudisha ule mkoba kama nilivyoukuta na kutoka nje ya kile chumba.

Sikujali kuwa nimechukua kitu cha mtu, sikujali kuwa kun amt yoyote anayenifuatilia, kwa muda ule nilijiona kama nipo peke yangu, nikaanza kutemba kwa mwendo wa kiakari tayari kuingia vitani. Nikatoak nje ya ile hoteli, na kuanza kuingiwa na kibaridi cha usiku, sikujali, mawazo yangu yalikuwa huko ninapokwenda.

Nilitembea mwendo wa kujihami, yaani unatembea huku unajificha kwenye vivuli vya miti, hadi nilipofika kwenye hiyo hoteli ambayo nilijua fika ndipo alipokuwa mume wangu, nikaingia ndani ya ile hoteli, na kwa muda huo ,kulikuwa na pilika pilika nyingi na hakuna aliyejali ni nani anaingia.

Nikaingia mapokezi, na moja kwa moja nilikwenda huko wanapokuita ni kwa watu maalumu, nilisangaa kwani mwanzoni nilipofika hapi kulikuwa na ulizni mkali lakini kwa muda ule, watu walionekana wamechangamka, kila mmoja na hamsini zake.

Nikasogea hadi kule nilipoonyeshwa kuwa ndipo waheshimiwa wanapotumia, huko nilijua kabisa sitaweza kuruhiswa kuingia, nikatoka hadi sehemu wanapoweka vifaa vya jikoni, nilipofika nikaoana zile nguo wanazovaa wahudumu za kujifunga kiunoni, nikajifunga na kwasababu ya baridi, kuna wahudumu walikuwa na sweta kama langu, kwahiyo niliona haina haja ya kulivua, nikatafuta gilasi na kuzipanga kwenye sinia, na bahati kwenye kabato kulikuwa na vinywaji, nikazipanga chupa mbili nikatoka na kujifanya mmoja wa wahudumu.

Ilikuwa bahati yangu, kwani nilipita pale kwa walinzi bila kuulizwa, wale walinzi walikuwa na kazi ya kuwakagua wanaume wawili waliokuwa wakitaka kuingia na mimi nikapita haraka huku nimebeba hilo sinia, na hapo nikajikuta kwenye chumba kikubwa cha kifahari, humo kulikuwa na masofa makubwa, na waheshimiwa walikuwa wamekaa huku na kule wakinywa na kuangalia runinga kubwa iliyokuwa mbele yao na kila mmoja pembeni yake kuna mshirika mwenza mwanamke .

Sikuhangaika kumtafuta mume wangu, nikakumbuka kuwa yule jamaa niliyekutana naye mchana aliniambia kuwa hawa waheshimiwa wawili ninaowatafuta  vyumba vyao vipo mwishoni amba, huko kwenye vyumba vyao unaweza kuangalia mandhari ya nje, basi nilichofanya ni kwenda huko na kusubiri hapo nje,…

Haikupita muda mara watu wakaanza kuingia kwenye vyumba vyao, wengi walikuwa wamelewa, na kuwa kama wanabebana ilikuwa kama majogoo yaliyopigana na sasa yamechoka, kila mmoja akitafuta nyenzo ya kujishkiza kwa mwenzake, na hata hivyo hakuna aliyekosea kuingia kwenye chumba chake, walionekana ni walevi waliokubuhu.

‘Haya mpenzi, twende tukalale, unataka nini tena huko….tatizo lako wewe bwana mshamba, sijui huyo mkeo kakupa nini…’akasikia mbaya wake akiongea na mume wake. Na mume wake akawa  hasemi kitu, alikuwa kashikilia simu yake mkononi, iionekana anataka kuitumia. Nilijua anataka kunipigia kwani mara nyingi muda kama huo ndipo anaponipigia simu.

‘Ngoja nimpigia mama watoto wangu asione nimemtupa, siunajau tena, yule ndiye ananifanya nijisikie nina mke…wewe ni …nyumba ndogo tu…na hiyo kauli yako ya kuniita mshamba, ipo siku utanijua kuwa mimi ni mtoto wa mjini, tena msomi…nitakuweka ndani uwe mke wa pili, tuone mimi na wewe nani mshamba…’akasema mume wangu.

‘Mke wangu ,mke wangu, …Achana naye huyo mkeo, ukitoka nyumba na kufika hapa huna mke tena, mkeo ni mimi, kwanza huyo ni mshamba tu,inaonekana mumeoana washamba, hebu jiulize huyo mkeo anajua kukupa mapenzi kama haya ninayokupa mimi?’ akaulizwa. Na kauli hiyo ilinipandisha hasira, nilitaka kusema neno , lakini naikajituliza, huku nikiumia ndani kwa ndani.

‘Hata kama hanipi mapenzi kama haya unayonipa mimi,lakini yeye anasifa kubwa ya kuitwa mke wangu, hilo tu linatosha, wewe nisubiri kidogo, maana wewe unachojali ni pesa, huna lolote’akasema huku akijaribu kupiga simu, lakini namba ilikuwa haipatikani, kwani mimi nilikuwa nimeshatoa ile line na kuweka line nyingine. Akawa anajaribu tena na tena lakini hakuweza kuipata. Yule mwanamke akasema kwa hasira;

‘Ina maana mimi unaniona ni Malaya, najiuza, au sio, unakumbuka uliponichukulia, mimi nina kazi yangu, na nimekuja kwako kwa vile umeahidi kuwa utanioa, vinginevyo ningelikuwa kwangu, …..wapo watu wanataka kunioa, lakini kwa vile nimekupenda wewe, ndio maana unaringa, unaniita Malaya, eti nataka pesa,…’akawa analalamika huyo mwanamke.

‘Na wewe bwana huna dogo,…’akasema mume wangu .

Alisogea pembeni na kutulia, ilionekana hakuwa na raha, na jinsi alivyokuwa kasimama na huku katulia ilionyesha wazi alikuwa na mawazo, akatulia na kujaribu tena kupiga simu lakini haipkupatikana. Akashika kichwa, halafu akasema;

‘Huyu naye sijui simu kaweka wapi,  kwanini hapatikani, mmh, mke wangu jamani, …sijui kwanini nimejiingiza kwenye haya maisha. Hizi kazi nyingine hazina adabu,…oh, mke wangu, huko ulipo naomba unisamehe, sifanyi haya kwa kupenda, ni …ni, maisha tu, anyaway, najua hakuna shaka, nitampigia kesho,…’akasema huku akinipita pale niliposimama.

Aliponipita akawa kama kashituka, akageuka kuniangalia na mimi kwa muda ule nilikuwa namwangalia, karibu macho yetu yakutane, alipogeuka nikainama chini na kujifanya napanga gilasi kwenye lile  sinia, yeye akasema;

‘Wewe nakuona kama mgeni hapa, sikumbuki kukuoana kabla, …mrembo kama wewe unahitajika kuolewa, ….halafu unafanana sana na mke wangu, kwanini….’ Akasema na kabla hajamaliza, sauti ikatoka ndani ikisema kwa ukali;

‘Unaongea na nani tena huko, mbona unanichelewesha, hujui kuwa kesho ninahitaika kazini, hapa nimekuja tu kwa ajili yako,….mimi nataka kulala, ili niamuke kesho asubuhi na mapema’ sauti ikasema toka chumbani.

‘Wewe dada baadaye niletee vinywaji baridi…vingine, na nyama choma, eeeh,halafu tutaongea….’akaniambia kwa sauti ya chinichini, masikini hakujua kabisa anongea na nani, kwani kama nilivyovaa, na lile sweta, lilifunika shingo, na kofia yake ilikuwa imefunika sehemu kubwa ya kichwa, na kuacha sehemu ndogo ya usoni, na nilikuwa simwangalii moja kwa moja usoni nikasema;

‘Sawa muheshimiwa,….’nikajifanya kama naondoka, lakini sikwenda mbali nikasubiri hadi alipoingia ndani.Baadaye nilichukua sinia na vinywaji ambavyo nilivikuta huko chini, na kugonga ule mlango nikaingia navyo hadi ndani.

‘Weka hivyo vinywaji lakini usicheze mbali ninaweza kukuhitaji tena,..’akasema mume wangu huku akiwa keshavua nguo na kubakiwa na nguo zakulalia tu, nilimuona akiniangalai sana, sijui ndio tamaa, au alihisi kitu

‘Mpenzi unaongea na nani huko tena, njoo miminasikia baridi..’akaseikai huyo mwanamke akimuita mumewe, na hap hasira zikatinga akilini, lakini nilituliza mtima wangu, na kupeleka vile vinywaji hadi kwenye meza,…

‘Nipelekee huko chumbani, ..’akasema mume wangu.

Nikaingia hadi chumbani na kumkuta yule mwanamke kaka kitandani akiwa kava nguo za kulalia, huku akiangalia runinga, hakutaka hata kuniangalia, mimi nikajiiba na kumwangalia sura yake. Huku nikiwaza nifanya nini kwa wakati ule, akili ikawa inayumba na kichwa kikawa kinaniuma sana.

Baadaye mume wangu alitoka akasema anakwenda kuoga kwanza, nakumucha yule mwanamke, na mimi kwa muda ule nilikuwa kwa nje, nikisubiri kutumwa, nilipoona mume wangu katoka nikaingia kule chumbani na kumkuta yule mwanamke kalala nusu uchi, hasira zikanipanda, nikaangalai pale nipoweka silaha yangu,…

‘Wewe Malaya nio wewe unayeniibia mume wangu,…’nikasema kimoyo moyo.

‘Wewe umefuta nini huku, unatakiwa ubakie nje, utaitwa ukihitajika, wewe vipi bwana akasema huyo mwanamke.

‘Unajua unaongea na nani wewe Malaya ..’nikasema.

‘Eti nini….wewe una kichaa ehe, umechoka na kzi yako, huji nikimwambia huyo bosi wako utafukuzwa kazi kwanza hebu toke nje..’akasema huku akinuka pale kitandani na alikuwa kama alivyozaliwa, na hapo hasira ziksnihika, nikatoa ile bastola,….

Haposikumbuki ni nini hasakilitokea, maana hata kabla sijaiweka hiyo silaha vyema, nilisikia mlio ulionishitua, na mara nikasikia sauti ya yowe, …

‘Nakufaaa….’ 

Mimi sikusubiri tena, nilitoa mle ndani kwa haraka na cupouka kama mwizi, nikachukua lile sinia la vinywaji na kwa mwendo wa haraka kidogo, huku nikichukua tahadhari, nikaelekea chini, na kwamuda ule hakuna aliyenishitukia kwani kila mtu alikuwa akikimbia kivyake. Wengi walijua mimi ni mhudumu, na nilipofika chini sikupoteza muda, nikatoka nje, na kurudi kwangu, ….

NB: Tupo pamoja, ..

WAZO LA LEO: Uaminifu kwenye ndoa ndio nguzo kubwa sana, na jaribu kumjali mwenzako hata kama haupo naye karibu, kwani lolote utakalolitenda kinyume na masharti ya ndoa huweka doa baya kwenye ndoa yenu, mbingu na ardhi hutamani kupasuka kwa ajili ya ubaya wa hilo tendo.  Jiulize kwanza je haya ninayoyatenda akitenda mwenzangu nitafurahi.

Ni mimi: emu-three

73 comments :

Anonymous said...

Jamani wanaume, sina hata cha kusema, siku nilipomfumania mume wangu, nilikaribia kuua, kweli unaweza kuua bila kukusudia.

Rachel siwa Isaac said...

Kazi inaendelea vyema ndugu wa mimi,Uko juu sana MUNGU ni mwaminifu na azidi kubariki kazi ya mikono yako!!!!!

Pamoja Daima.

Anonymous said...

Hi there friеnds, nice paragraph and gooԁ urgіng commented at this plаce, Ι am tгuly enjoying by
these.
My site - loans for bad credit

Anonymous said...

hello there and thank уou fоr уour infοrmаtion – I hаvе definіtely pісked up somеthіng new
from right hеre. I did howeveг expertіse
ѕevеral teсhnical issuеs using thіs ѕitе, аs ӏ expеrienced to геload the web ѕite
a lot of times prеѵious to I could get it to load
cοrгectly. I had beеn wondering if your web hostіng is ОК?

Not that I am complaining, but slοω loading instancеѕ times
will oftеn аffect уouг plаcemеnt in google аnԁ сan ԁamage your high-qualіtу
score if aԁs and marketing with Adwогds.

Well Ӏ am adding this RЅЅ to mу emaіl anԁ can
loоk out foг a lot more of уour reѕpectivе еxciting content.
Ensurе that you update this agaіn soοn.
My web site: instant payday loans

Anonymous said...

I can not thank you adequately for the posts on your web site. I know you'd put a lot of time and effort into them and hope you know how much I appreciate it. I hope I'll do exactly the same for someone else at some point.

Anonymous said...

Way coοl! Sοme extremely valid ρoints!
I appгecіate you penning thiѕ write-up and
the rest of the website is extremely good.
Also visit my web site ... crisis loan

Anonymous said...

Тhe next time I reaԁ а blog, ӏ hоpe that it ԁοes nοt fail me аs much as this partiсular one.
I mean, I knοw іt was mу chοiсe
to гead thrοugh, hoωever I actuаlly thought
you would have something hеlpful to say.
All I hear is a bunch of moaning abоut ѕomething that yοu
could fix іf you ωегe not too busу sеarching foг аttention.
My web site > small loans

Anonymous said...

Hello there, I discoνered your web sіte by
mеаns of Goоgle at the same time as ѕeаrching for a related subject, youг website came uρ,
it ѕeems to be grеat. I've bookmarked it in my google bookmarks.
I am not certain the place you'rе getting your info,
hoωever gоod tоpic. I needs to spend a while finding out more or figuring
out more. Thаnk уou for wonderful іnfo
I used tо bе on the lookоut for this info for my miѕsion.
Feel free to visit my web site ... quick cash loans

Anonymous said...

What's up friends, its enormous article regarding teachingand fully defined, keep it up all the time.
My website > instant cash loans

Anonymous said...

Nicе pοst. I leaгn ѕomethіng totаlly neω and challеnging on blogs I ѕtumbleupοn eνery ԁay.
It will always be interesting to read through соntent fгom
other writers аnd usе sοmething fгom
οtheг websites.
Also see my website: 1 month loan

Anonymous said...

Thаnkѕ for finаllу writing аbout > "Mbio za sakafuni huishia ukingoni-sehemu ya pili-6"
< Loved it!
Here is my web-site fast loans

Anonymous said...

Hello there, Υou have dοne а fantastic jοb.
I will certainly dіgg it аnd perѕonallу suggest to my friendѕ.

Ι'm confident they'll be benefitеd fгom this website.
Feel free to visit my blog ... Company formation In DubaiLaw Firms Dubai

Anonymous said...

ӏ loveԁ аs much aѕ уοu'll receive carried out right here. The sketch is tasteful, your authored subject matter stylish. nonetheless, you command get bought an impatience over that you wish be delivering the following. unwell unquestionably come further formerly again as exactly the same nearly very often inside case you shield this increase.
Look at my web-site - fast loans

Anonymous said...

Undеnіаbly belieνe that which уou
sаid. Yоuг favoritе juѕtifiсation seemеԁ
tо be on the internet the eаsiest thing to be
aωare of. Ι say to you, Ι dеfinitеly get іrked
while pеople consider woггieѕ that
thеy јust don't know about. You managed to hit the nail upon the top and defined out the whole thing without having side-effects , people can take a signal. Will probably be back to get more. Thanks
my page > small loans

Anonymous said...

What's up everybody, here every person is sharing these kinds of experience, so it's ρleasant
to read this blog, аnd I usеd to pay а visit thіs blog all the time.
my web site :: one month loan

Anonymous said...

Wow, marvelous blog layout! Нoω lоng have you been blogging for?
you madе blοggіng looκ еasy.
Thе overall look οf your website іs great,
let alοne the contеnt!
Stop by my webpage :: instant cash loans

Anonymous said...

Valuable infоrmatіon. Fοгtunate me
I discovered уour ωeb site accidentally,
and I am shockеd whу this twist оf fate ԁidn't took place in advance! I bookmarked it.
my site :: quick cash loans

Anonymous said...

Thank yоu, I haѵe recеntly been lookіng for іnfo approximately this subject for ages and
yourѕ is the grеatеst I've found out so far. However, what concerning the bottom line? Are you positive about the source?
Here is my web site : crisis loan

Anonymous said...

Everyone loves it wheneѵer people comе together
anԁ ѕhaгe thoughts. Great website,
keep it up!
My web page > 1 month loan

Anonymous said...

Greetings from Florida! I'm bored to tears at work so I decided to check out your blog on my iphone during lunch break. I enjoy the knowledge you present here and can't wait to take a look
when I get home. I'm shocked at how quick your blog loaded on my cell phone .. I'm not even
using WIFI, just 3G .. Anyways, very good blog!
payday loans payday loans san diego payday loans for bad credit fast payday loan
online bad credit payday loans no credit check payday loans online fast payday loans
Feel free to visit my site :: 3 month payday loans

Anonymous said...

Hey! I know this is sort of off-topic but I needed to ask.
Does managing a well-established website such as yours take a lot
of work? I'm completely new to operating a blog however I do write in my diary everyday. I'd like to start a blog
so I will be able to share my personal experience and views online.
Please let me know if you have any ideas or tips for new aspiring bloggers.
Thankyou!
Also visit my web page ... football news nfl

Anonymous said...

The simple truth is, there isn't a best strategy for everybody.

Also visit my website; simply click the next web page

Anonymous said...

But it really does get time for you to wade as a result
of every one of the retailer circulars and on
the internet world wide web web-sites to find that elusive
very best price.

Here is my web site :: bowflex 552

Anonymous said...

Someone essentially lend a hand to make critically articles I might state.
This is the very first time I frequented your web page and to this point?
I amazed with the research you made to make this actual put up incredible.

Magnificent job!

my website large african antelope

Anonymous said...

Howdy I am so grateful I found your webpage, I really found you by mistake, while
I was looking on Askjeeve for something else, Anyhow I am here now and would just like to say many thanks for a marvelous post
and a all round entertaining blog (I also love the theme/design), I don’t have
time to look over it all at the moment but I have book-marked it and also included
your RSS feeds, so when I have time I will be back to read more, Please do keep up the superb jo.


Feel free to visit my site iphone 5 launch date

Anonymous said...

loans are very delicate to place for a gathering and get the lovable amounts that can pass on you the contiguous freeing from allergies, on that
point is not mat such. The receiver inevitably to try and experience accurate judgement
for moment payday word websites and avail of an bad credit payday loans no checking account payday loans direct lenders only bad credit payday loans sydney repairing your car, compensable off exciting bills, location improvements, gainful off debts to pay.
You can execute online software package to mete out for day loans are flawless for side fees to
the consumer can stray finished the cost and conditions
and be to a higher place 18 years and necessity payday loans in pasco wa payday loans australia payday loans australia online payday loans sydney
bad credit payday loans payday loans australia payday loans in nc that are legal payday loans in georgia no credit check

Anonymous said...

These machines really are a little bit significantly less hard and normally simpler for anyone
just establishing out.

Feel free to surf to my weblog ... www.getfitnstrong.com/bowflex-dumbbells/reviewing-bowflex-selecttech-552-adjustable-dumbbells-pair/

Anonymous said...

Both can help you turn out to be far more suit and trim.


Here is my web site dumbbells for sale

Anonymous said...

So, of course, it does what it states.

Feel free to surf to my web site :: Http://Www.Getfitnstrong.Com/Bowflex-Dumbbells/4-Reasons-Bowflex-Weights-Get-Here

Anonymous said...

The 1090 is really a wonderful area saver and provides a big selection of weights.my web-site; getfitnstrong.com

Anonymous said...

It can be a sluggish path though, so usually do not get disheartened
in the event you do not see a great deal progress in the very
first number of months.

Have a look at my website ... just click the next document

Anonymous said...

As unbelievable as this might seem, it is actually
true.

Feel free to visit my web-site; bowflex 552

Anonymous said...

This will likely consequence to temporary limping and agony just about every
time extended walks are taken.

my website :: additional reading

Anonymous said...

Dumbbells assist you develop harmony and precision, and
help it become doable to work on regions which might be neglected in bilateral schooling with barbells or excess weight
machines.

Here is my weblog ... just click www.getfitnstrong.com

Anonymous said...

Also, there are numerous other aspects which could
become included too.

Also visit my weblog: bowflex selecttech dumbbells

Anonymous said...

By using the services of a house fitness center assembly qualified you may make guaranteed that your equipment is safe and protected to work with.


Feel free to surf to my page ... please click the up coming post

Anonymous said...

Sooner or later the practice forms and you will maximize the amount
of the workout.

Here is my weblog: free weights for sale

Anonymous said...

That is definitely due to the fact a FDA advisory committee just unanimously
rejected the drug.

My web-site ... Skip Navigation

Anonymous said...

So, if exercise routines with dumbbells appear to be how to go and
adjustable dumbbells the most beneficial selection,
then check on line and may immediately notice that one maker stands way
out from your rest - Powerblock.

Also visit my web-site: bowflex selecttech 552 adjustable dumbbells

Anonymous said...

Every rep is executed with maximum effects.

Feel free to surf to my page; just click the following webpage

Anonymous said...

Be sure you thoroughly manage your treadmill equipment in addition.Also visit my weblog :: best adjustable dumbbells

Anonymous said...

Ball players will convey to you most procedures you are going to commit 50 percent some time functioning.


My web page - dumbbells for sale

Anonymous said...

If you don't would like to neglect your exercise sessions since you are leaving on a getaway or even a enterprise trip-there are already men and women who may have taken them along in the car to allow them to physical exercise even though on the street.

Also visit my web site bowflex 552

Anonymous said...

You will find also foods fortified with calcium and/or vitamin D
to consider.

Also visit my site - http://Www.Getfitnstrong.com/adjustable-dumbbells/dumbbells-sale-further/

Anonymous said...

Good day! I simply want to give an enormous thumbs up for the nice info you
could have here on this post. I will probably be coming again to your blog for more soon.


Also visit my website; women in business newsletter

Anonymous said...

They're also filled with nutrients, vitamins, and phytochemicals.

my blog - source

Anonymous said...

Nevertheless, to the modern exercise enthusiasts, the opinion differs.


Have a look at my web-site :: dumbbell sets

Anonymous said...

I am not telling you anything at all you haven't heard just before, but often people today usually are not ready to accept the reality.

My web-site :: simply click the following website page

Anonymous said...

You could possibly backyard garden, experience a bike, play together with the youngsters or grandkids,
just take a walk, perform some yoga, lift weights.


my site adjustable dumbbell set

Anonymous said...

A compacted multi-gym which is manufactured with dual function press
arms.

Here is my web-site: simply click the next internet site

Anonymous said...

The Treadclimber offers readouts that list equivalencies
to "real" steps, like distance traveled and variety of calories you will have burned.


Here is my website :: free weights for sale

Anonymous said...

Producing your strength using the usage of weights are almost certainly probably
the most productive in a very brief span of time.


Also visit my web blog ... bowflex selecttech 552

Anonymous said...

Next let's discuss the Bodylastics resistance bands.

my page: http://www.getfitnstrong.com/adjustable-dumbbells/dumbbells-sale-further

Anonymous said...

For the reason that the real function with the core will be to
brace the spine, planking physical exercises are much more effective at working
your main and strengthening your back than crunches.

Feel free to visit my webpage ... Read More Here

Anonymous said...

It is because unlike other devices, the Stepmill does not need me to set the angle steep or power walk to
break into a sweat.

Also visit my webpage ... bowflex selecttech 552

Anonymous said...

If you're wanting to lose a handful of extra lbs ., take into consideration cardio products like treadmills and exercise bikes.

Feel free to surf to my homepage: Skip Navigation

Anonymous said...

Whats up! I just would like to give a huge thumbs up for the nice information you will
have right here on this post. I shall be coming again to your blog for extra soon.


Feel free to surf to my blog - proper business shoes for women

Anonymous said...

This isn't a silent device, the audio superior just isn't outstanding,
nor is there a coronary heart rate observe.

my page: adjustable dumbbells

Anonymous said...

When the barbell squat presents a bigger quantity of
stimulation towards the physique as a whole thanks
to your involvement of the larger amount of muscle mass, a leg press machine will offer increased growth stimulation to the
musculature with the hips and thighs.

Also visit my site; please click the following webpage

Anonymous said...

[b][url=http://www.browningexpeditions.com/]Yoga Clothes[/url] [/b] Hello would you mind letting me know which webhost you're utilizing? I've loaded your blog in 3 different web browsers and I must say this blog loads a lot faster then most. Can you recommend a good web hosting provider at a reasonable price? Thank you, I appreciate it!

Anonymous said...

[b][url=http://www.mitcheltroy.com/]Lululemon Sale[/url] [/b] Hi there would you mind stating which blog platform you're working with? I'm going to start my own blog soon but I'm having a tough time choosing between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal. The reason I ask is because your design seems different then most blogs and I'm looking for something unique. P.S Sorry for being off-topic but I had to ask!

Anonymous said...

Hello There. I found your blog using msn. This is a very well written article.
I'll be sure to bookmark it and return to read more
of your useful info. Thanks for the post. I will definitely comeback.


My blog - learning to play ukulele

Anonymous said...

http://acheterviagrageneriqueenligne1.com/ prix viagra
http://comprarviagragenerico25mg.com/ precio viagra
http://acquistareviagragenericoonline.com/ prezzo viagra
http://viagrakaufengenerika25mg.com/ bestellen viagra

Anonymous said...

acheter viagra viagra prix
precio viagra viagra
prezzo viagra viagra acquistare
bestellen viagra kaufen viagra 25mg

Anonymous said...

Quality articles is the key to interest the visitors to pay a quick visit the
site, that's what this web site is providing.

Feel free to surf to my blog: Click Here

Anonymous said...

buy ciais generic buy cialis cheap achat cialis vente cialis generico cialis acquistare cialis cialis generico comprar cialis

Anonymous said...

I couldn't refrain from commenting. Well written!

Also visit my website; quest bars

Anonymous said...

What's up colleagues, how is the whole thing, and what you would like to say about this
paragraph, in my view its really amazing for me.

Feel free to surf to my web-site :: paid surveys (paidsurveysb.tripod.com)

Anonymous said...

I really like what you guys are usually up too. Such clever work and coverage!
Keep up the great works guys I've included you guys to my own blogroll.


Here is my weblog - free minecraft games

Anonymous said...

Attractive part of content. I just stumbled upon your site and
in accession capital to say that I get in fact loved account
your blog posts. Any way I will be subscribing for your feeds and even I fulfillment you get entry to constantly quickly.


My homepage; free music downloads [http://twitter.com]

Anonymous said...

It is not my first time to pay a visit this site, i am visiting this website dailly and get fastidious data from here all the time.


Also visit my weblog :: minecraft.net

Anonymous said...

First of all I want to say superb blog! I had a quick question which
I'd like to ask if you don't mind. I was curious to find out how you center
yourself and clear your thoughts before writing. I have had a tough time clearing my thoughts in getting my
thoughts out there. I truly do take pleasure in writing but it just
seems like the first 10 to 15 minutes are wasted just trying to figure out
how to begin. Any recommendations or tips? Cheers!

Anonymous said...

Howdy! This article could not be written much better!
Going through this post reminds me of my previous roommate!
He always kept talking about this. I'll forward
this information to him. Pretty sure he will have a very good read.

Thanks for sharing!