Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Monday, November 11, 2013

Mkuki ni kwa Nguruwe-25


 Sikuamini, sikutarajia kuwa siku moja na mimi nitaionja jela, pamoja na utajiri wangu, pamoja na elimu yangu, pamoja na ujanja wangu, pamoja na sifa ya familia yangu, hayo yote hayakusaidia kitu, ...nikajikuta na mimi naingia ile sehemu niliyoifahamu mimi kuwa ni sehemu ya wahallifu, ....




WAZO LA LEO: Ni kweli Jela ni kwa wakosaji, na kila mmoja hapendi kufika huko, na ili usifike huko ni kujitahidi kutenda mema na kujiepusha na maovu au yale yanayosababisha maovu. Ikiwa ni pamoja na kutokuwashawishi wengine kufanya maovu, ...au kujipeleka kwenye sehemu kulikotokea maovu,. Kuna tatizo kubwa hasa hapa Dar, watu wakisikia jambo, wanakimbilia, kushuhudia ....bila hata utaratibu maalumu, tunaweza tukajikuta jela, hata kama sisi sio wahalifu,...cha muhimu ukisikia jambo, au ukiona jambo, hasa mauaji, wafahamishe polisi, wao watajua ni nini cha kufanya. tuweni makini kwa hilo.
Ni mimi: emu-three

No comments :