Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Thursday, August 15, 2013

SHINDANO LA MWAKA HUU LA BLOG AWARDS 2013


SHINDANO LA MWAKA HUU LA BLOG AWARDS 2013

Ndugu wapenzi wa blog hii, tunapenda kuwafahamisha kuwa blog yenu hii itashiriki tena kwenye shindano hilo,kama ilivyokuwa mwaka jana, na kutokana na vipengele vilivyoanishwa, tunaona kuwa tushindanie kwenye vipengele vya;


Best Creative Writing Blog

Best Educational Blog

Best General Blog



 

Kwa taarifa iliyopo ni kuwa mapendekezo ya kushiriki yataanza tarehe 
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 30/8/2013 saa 11:59pm saa za Africa mashariki.

Kwa maelezo zaidi tembelea hii blog :  http://tanzanianblogawards.blogspot.com na cha muhimu, zaidi ikifika terehe hiyo ya 17 august, pendekeza blog hii, na ikishapitishwa, utahitajika kuipigia kura tarehe September 8th - 14th, 2013 .

Tunaamini, tunastahili kushiriki na kushinda, lakini yote hayo yanategemea wewe mpenzi wa blog hii, kwa kupiga kura siku ikifika na kuwafahamisha wengine wapigie kura blog yenu hii ya diary yangu. 

Tupo pamoja
 
Usisahau ikifika tarehe 17th August, pendekeza blog hii, kuna fomu zitapatikana kwenye mtandao huu wa
http://tanzanianblogawards.blogspot.com
  
Na baada ya hapo unapiga kura yako, September 8th - 14th, 2013  

Ni mimi: emu-three

2 comments :

Anonymous said...

viagra generic pharmacy [url=http://sildenafilusfor.com]Sildenafil[/url] discount buy viagraviagra pay with paypal [url=http://newmedicforum.com]Buy Priligy Online[/url] taking viagra twice a dayaccutane discolor teeth [url=http://fast-isotretinoin.com]Accutane[/url] how can i get accutanecialis everyday reviews [url=http://fastshipcialis.com]Cialis[/url] cialis low costviagra online with mastercard [url=http://fastshipviagra.com]Viagra[/url] viagra prices online

Anonymous said...

Tramadol No Prescription Information Tramadol White Blue Specks . Tramadol In Drug Screen Tramadol For Opiate Detox Valium Vs Tramadol 25 Tramadol Federal Express Overnight No Prescription Memory Loss And Oxycodone Tramadol What Is The Prescription Ultram Tramadol Hcl . Tramadol In Mexico All Next Tramadol Opiate Allergy Kratom Powder Tramadol Peak Dose [url=http://www.netvibes.com/tramadoldelivery ]buy tramadol[/url]. Tramadol Sr Tablets Selective Serotonin Reuptake Inhibitors Tramadol Trb Pharma Tramadol Novartis Muscle Relaxant Tramadol Serotonin Activity .