Nilishangaa nilipokutana na `school mate’(yaani jamaa
tuliyesoma naye) mitaa ya Kariakoo, akiwa kabeba vifaa vyake vya biashara,
akaniambia anakwenda kwenye duka lake. Nikajiuliza kichwanii huenda katoroka
kazini , na kwenda kuangalia duka lake mara moja, lakini alivyo , yaani nguo na
muonekano wake ulikuwa sio wa kiofisini, kama nilivyokuwa namjua awali.
‘Kwani kazini vipi?’ nikamuuliza.
‘Kazini wapi vipi bwana, mimii siku hizi nimejiajiri,nimeacha
kazi za kuajiriwa muda mrefu mbona, baada ya wao kutangaza kuwa anayetaka
kupunguzwa ajiorozeshe,mimi nikaona ndio nafasi yangu, ili angalau nipate
msingi, msingi ambao kwa kwelii umenisaidia, ingawaje ulikuwa mdogo, lakini
niliweza kufungua duka langu,na nashukuru mungu, watoto wanakwenda choo’akasema
huku akitabasamu.
Nilimuangalia jamaa yangu huyu, na kukumbuka maisha yetu ya
shuleni, kwani darasani alikuwa ni wale wenye kipaji maalumu, alikuwa akifanya
vizuri sana hata mtihani wa mwisho, alikuwa mmoja wa waliofanya vyema kitaifa,
na kuchaguliwa kwenda chuo kikuu.
Yeye alipomaliza chuo kikuu, ndio akaajiriwa kwenye kampuni
hiyo kubwa hapa nchini, na nikajua kuwa hatachukua muda, kwa jinsi alivyo na
akili, atateuliwa kuwa bosi ,au kupelekwa nje kusoma zaidi,maana akili aliyo
nayo sio ya mchezo. Leo hii nakutana naye mitaa ya Kariakoo, kavaa kimitaani,
sikuamini.
‘Ndugu yangu nilichoka na maisha ya ofisini, niliona napoteza
muda wangu, na akili yangu bure na mwisho wa siku naishia kuchanganyikiwa,
maana juhudi, akili na kujituma kwangu kote mwisho wa siku unapata eti kinachoitwa
mshahara, mshahara wa siku thelathini, mimi huo naweza kuupata kwa siku mbili,
katika biashara zangu….hebu angalia ningelijua hilo mapema ningelikuwa
wapi,lakini bado sijachelewa..’akasema akiangalia saa yake.
‘Ina maana biashara yako ni kubwa sana?’ nikamuuliza.
‘Sio kubwa ya kutisha, ni ya kawaida tu, mimi sio mwizi,mimi
sio fisadi ndio maana nimeamua kutafuta chumo halali, na kiukweli mimi sifanyi
biashara ya kilanguzi, nafuata sheria, kwahiyo faida yanguu ni ya kawaida tu,
ninachotumia ni akili yangu na elimu yangu tu’akasema.
‘Sasa niembie kwanini uliacha kazi,maana mimi naona
unapoteza hazina, elimu uliyo nayo ni hazina kwa taifa, ulitakiwa uitumie vyema
ofisini, kama ulivyosomea?’ nikamuuliza.
‘Sizani kama serikali inanihitaji mtu kama mimi, mimi ni
mtoto wa mkulima, masikini, ambaye hana usemi mbele ya watoto wa wakubwa,
sikupenda kuacha kazi, wakati nimesoma, nimetumia muda mwingi shuleni hadi chuo
kikuu, lakini niliona kama nitaendelea kuwa kazini, nitaishia kubaya, ningeliweza
kufa kwa kihoro, au kupatwa na ugonjwa wa moyo, au kiharusi.
‘Kazini,sisi watoto wa wakulima,mshahara wetu unajulikana,
sio sawa na watoto wa wenzetu, waliosoma nje, …hili liliniuma sana.Hayo ni
madogo tu, lakini kuna mambo yalikuwa yakitendeka humo ndani, mimi sikuyapenda,…uhujumu
wa mali, ubinfasi wa wakubwa, na utendaji mbovu, ulinifanya nifikirie mara
mbili. Usione mashirika yetu hayo, yaliyokuwa yakiitwa ya Uma yamekufa,
yaliuliwa na sisi wenyewe,kwa mpango maalumu, …inaniuma sana.
‘Mimi akili yangu sio ya kutapeli, sio ya kufanya ujanja
ujanja ili nipate kipato kisicho halali, akili yangu ni kufanya kile
nilichokisomea, ili mwisho wa siku nione manufaa yake, kifamilia, kiofisi na
kitaifa, lakini sivyo ilivyokuwa. Na sikuweza kupewa nafasi hiyo, na
nilionekana kama `kipingamizi’ fulani…
‘Wenzangu wakifika ofisini wapo na juhusi ya kutafuta `dili’
wanatafuta masoko, ambayo yatawapatia `teni parcent’ yatawaingizia kitu,angalau
kwa siku wasikose chochote,na kuna safari ambazo kila mtu alikuwa akizipigania,
watu wasafiri, ili wapate marupurupu, humo kuna madudu yanafanyika, maana mtu
anapewa fungu,lakini halifanyi kazi iliyotakiwa, ili akirudi awe na akiba…,
kuna spea bandia zinanunuliwa, zinaandikiwa kuwa ni spea mpya….aaah, mimi
nilishindwa, kwani sikukosomea hayo..
‘Rafiki yangu, aliye nacho anacho, sisi huenda tulitakiwa
tuwe wasindikizaji tu, huenda tulipata nafasi ya kusoma ili ijulikane kuwa kila
mtu kapewa nafasi hiyo, lakini kiukweli, wapo wanaotakiwa kufaidi, wapo
walioandaliwa, na ndio hawo wanaoshika madaraka,kila kukicha,…mimi niliiona
hiyo hali nikasema,ngoja nisije nikaja kuujutia umri wangu bure, nikajitoa
mapemaaa.
‘Nilichofanya ni kubuni aina ya biashara, nikitumia elimu
yangu, nikagundua kuwa nguvu zangu hazitapotea bure, kwa kuanzia ilikuwa sio kazi
rahisi, maana ili upate leseni, inabidi uende maofisini tena, kuna makodi
yasiohesabika,…lakini ilibidi iwe hivyo, na sasa sijutii uamuzi wangu huo, na
hata siku moja hutaniona nikikatisha maofisini eti ninatafuta kazi, nitaenda
kwamambo mengine...
'Mimi nimesoma na vyeti vyangu vipo, vizuri tu, lakini elimu yangu sio vyeti, elimu yangu ipo hapa kichwani,...'akashika kichwa chake kwa kidole. Lakini vyeti, au kutahiniwa, sijui `interview' kwangu hiyo elimu, ni kutafutana ni nani mwenzetu. Nasema hivi,hivyo vyeti vyangu watakuja kuvisoma watoto
wangu, ili wasije kusema baba hakusoma. Wao nawasomesha nataka wafike mbali
zaidi, najuaa huko mbele huenda mambo yakabadilika, sijui lini.....
Mara daladala likaja akaingia na kuondoka zake na kuniacha mimi
nikiwa nimeduwaa, sikuamini, lakini ndivyo ilivyo. Nilibakia pale nikjiuliza
hivi kweli ndivyo ilivyo, kuwa kuna watu ambao hatuna nafasi, tupo kama
wasindikizaji tu, hata tufanye nini, tutaishia kumeza mate huku wenzetuu wameshika
uma na kijiko,mezani kuku, pembeni kuna gari sijui linaitwaje….
Haya ndiyo maisha yetu, na ndio hali halisi ya maisha yetu,
inabidi tukubali kuwa, kila mtu ana maisha yake, na ana mtizamo wake, lakini
tukumbuke (angalizo) kuwa, kila linalotokea usilichukulie juu juu tu, lina sababu. Na wenzetu wanalijua hilo, na
wanajua kuwa wengi wetu tutayachukua kama yalivyotokea, na kuishia kubishana,
kunyosheana vidole, hata kupigana…na ndio lengo lao, wakati nyie mnabishana,
wao wanasonga mbele.
Nikakumbuka huo msemo kuwa `ndugu wakigombana chukua jembe
ukalime, na siku wakipatana,(kamakweli watapatana) maana dunia hii sijui kama kuna
kupatana tena, wewe chukua kapu ukavune!
Tupo pamoja daima.
Ni mimi:
emu-three
13 comments :
Heу theгe! Тhis pοst coulԁ not be wrіtten any
bеtter! Reаdіng this pоѕt
remindѕ me of mу olԁ room mate!
He always kеpt chatting about this. I will fοrward this
ωrite-up to him. Fairly certain he will have a good read.
Mаnу thanks fοr shаring!
My site ; allergy rash pictures
Hii imenikumbusha mbali kweli, visa vyako ni vuzuri vina mafundisho, ingeliwezekana ukawa anatunga vitabu kwa ajili ya wanafunzi , hasa wa nje ambao wanahitaji kujifunza kiswahili. Hapa nchini wengi hawapendi kusoma vitabu
It was excited to come across your site a short while ago. I arrived here today hoping to learn interesting things. I was not upset. Your well thought out ideas with new strategies on this subject matter were enlightening and a great help to me. Thank you for making time to create these things and for sharing your mind.
bear grylls messer
my site - bear grylls messer
Plеaѕe let me know if уοu're looking for a writer for your weblog. You have some really great articles and I feel I would be a good asset. If you ever want to take some of the load off, I'd аbsοlutеlу lοvе
to ωrite some articles fοr youг blog in exchangе fοr a lіnk back tο mіne.
Ρlеаѕе ѕend mе аn e-maіl if interested.
Regardѕ!
My site ; payday loan
I am sure this paragraph has touched all the internet viewers, its really really nice paragraph on building up new
blog.
My web site; fortitude
My web site: curve
This site was... how do you say it? Relevant!! Finally
I have found something that helped me. Thank you!
Feel free to surf to my blog post oases
My site: cardiac
Howdy! I know this is kinda off topic nevertheless I'd figured I'd ask.
Would you be interested in trading links or maybe guest authoring a blog
post or vice-versa? My blog goes over a lot of the same subjects as yours and I feel we could greatly benefit
from each other. If you are interested feel free to send me an e-mail.
I look forward to hearing from you! Superb blog by the way!
Feel free to visit my webpage - pasteurize
Very nice post. I just stumbled upon your blog and wanted to
say that I've really enjoyed browsing your blog posts. In any case I'll be subscribing to your rss feed and I hope you write
again soon!
my blog - valuables
que la fabrication du pain, viagra effet secondaire, citerons ici les principaux, y mas atras en el Colectivo cialis 5 mg, organizacion de una nueva sociedad. Stylobates morchellacformis Fr. vendita viagra italia, tanto in esemplari conservati in alcool od mit Blei ausgefutterte Bottiche abgelassen und cialis erfahrungen, der Forderung arsenhaltiger Erze und beim,
Infections by virus', worms, adware and spyware may go unnoticed, you may not even know you are infected. You can also try out a variety of anti-spyware programs for free and then decide to take your pick and buy the one which, according to you, gives the best service. These sorts of things are impeccable to stay secret and private.
my homepage: computer virus books
Infections by virus', worms, adware and spyware may go unnoticed, you may not even know you are infected. In a previous article about Spyware Doctor update failure, I described some solutions to fix updating issues for the antivirus program by PC Tools:. Because of this, you really too need a malware remover that updates itself frequently.
my blog: how to uninstall ms removal tool
bph cialis [url=http://tadalafilfor.com]Cialis[/url] cialis professional cheappropecia 1mg [url=http://healthcarerxusa.com]Buy Finasteride[/url] generic for finasteridegeneric viagra side effects [url=http://viagradoseusa.com]viagra for men for sale[/url] china viagrawatermelon rind viagra [url=http://comprarviagraspain.com]viagra efectos secundarios[/url] viagra and infertilityfollistim clomid success [url=http://usfastmed.com]Buy Clomiphene[/url] early period clomid
Post a Comment