Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Tuesday, April 26, 2011

Marekebisho-sehemu ya nne (Dawa ya moto ni moto)


Baada ya kupata muda wa kukipitia hiki kisa vizuri, nimegundua kuwa tumeenda mbele zaidi , sehemu ya nne iliyowekwa awali ni sehemu ya mbele zaidi, kwahiyo, TUMEIONODOA sehemu hiyo na badala yake tumeweka sehemu husika, twaomba samahani kwa hilo, ila ni katika kukiboresha hiki kisa, kwani kina mambo mengi mazuri, na hamtajuta mkisoma sehemu husika. Na wale waliotoa maono yao kwenye toleo hilo, naomba mrejeshe tena, mkitaka vile vile au vinginevyo, nawashukuruni sana kuwa pamoja nami na maoni yenu yananisaidia kugundua wapi niboreshe na vipi nifanye.

 Karibuni sana tuwe pamoja.

Ni mimi: emu-three

No comments :