Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Friday, June 11, 2010

Ninani atalichukua hili?

From miram3

4 comments :

Anonymous said...

Tanzania watalichukua, si umeona walicheza na Brazili!

Mimi Ndoto za Alinacha

Anonymous said...

Wewe mtoa maoni wa kwanza nafikiri huelewei hata kombe la dunia linagombewa na nchi gani, sio lazima utoe hoja waachie wanamichezo

Anonymous said...

Jana wenyeji wameonja joto ya jiwe, walitakiwa wafunge angalau wawape wanachi matumaini, lakini mwanzo mzuri. Kwasasa huwezi jua nani atalichukua kombe, lakini Italy kunanukia

Anonymous said...

Group A
South Africa
Mexico
Uruguay
France
Group B
Argentina
Nigeria
South Korea
Greece
Group C
England
United States
Algeria
Slovenia
Group D
Germany
Australia
Serbia
Ghana
Group E
Netherlands
Denmark
Japan
Cameroon
Group F
Italy
Paraguay
New Zealand
Slovakia
Group G
Brazil
North Korea
Ivory Coast
Portugal
Group H
Spain
Switzerland
Honduras
Chile