Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..pia tunakaribisha mijadala na yale yote unayopenda yawemo humu. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthreeThursday, January 24, 2013

Uchungu wa mwana Aujuaye ni mzazi-52
Siku zikapita nikiwa kwa mama Mdogo….mfanyakazi wa ndani, maana sikuona cha mitindo, au kupelekwa huko kwa waigizaji filamu, mimi nikawa nikiamuka asubuhi ni kazi za nyumbani , natumwa sokoni kuchukua bidhaa za gengeni kwani mama mdogo huyo alikuwa akifanya kazi za genge na miradi yake mingine nisiyoijua….’Aliendelea kusimulia kisa chake, huku akionyesha uso wa huzuni.

‘Mama mdogo, sasa mbona siku zinakwenda hakuna cha kazi, wala hunipeleki kwa wanamitindo, basi naomba unipeleke shule, nikasomee hata kujifunza kushona nguo, kwani mimi napenda sana akzi hiyo , ili nipate pesa ya kumsaidia mama yangu, najua huko alipo anateseka sana’nikamwambia siku moja.

‘Mambo ya mjini hayataki haraka,….usifikiri unawea kuja mjini mara moja na kupata kile unachokitaka, inahitaji muda, unahitaji muda wa kuujua mji, sijataka kukupeleka mbio, maana wewe ni binti yangi, unasiikia….’akasema mama Mdogo.

‘Kuna biashara yangu nimeanzisha , najua mambo yataanzia hapooo..’akatulia halafu akasema;

‘Biashara hiyo ni ya vinywaji, na wateja wangu ni watu mashuhuri, matajiri, wafanyabiashara…..nilikuwa naifanyia huko mjini, kila ninapotoka hapa jioni nakwenda huko, sasa nimeona niisogeza hapa karibu, kuna eneo nimekodi, wewe utakuwa mhudumu wangu, tukisaidiana, …’akasema

‘Mhudumu, yaani, niwe muuza baa, mamaah…unakumbuka mama alivyokuambia, alisema usije ukanipa akzi kama hizo…mamaaah’akalalamika Maua.

‘Hapa ni mjini, ukifuatilia mambo ya huko kijijini hutafanikiwa, unaona hapa tunapoishi ni nyumba ya kupanga, inahitaji kodi ya nyumba, na biashara zangu ndio hizo za kubahatisha, nahitaji kuzipanua,…na hiyo biashara  ninayokuambia inalipa,….wewe ni kivutio kimojawapo….tuwe pamoja, tutafanikiwa, achana na mambo ya akina mama ya huko kijijini..’akasema.

‘Mama mimi hiyo kazi sitaiweza….na mama yangu amekuwa akinionya kila siku, nitafute kazi nyingine lakini sio kazi kama hiyo…’nikalalamika.

‘Sasa wewe unataka umitindo au hutaki, …umitindo unaanzia hapo, wakija hawo matajiri, wafanyabiashara wakavutiwa na wewe , unapata wafadhili, …baadaye unafungua duka lako la mitindo,…mambo huanza kwa kujitangaza, huwezi ikakaa nyumbani useme mimi ni mwana mitindo, mwanamitindo ni pamoja na kuoenakana na watu….wewe nifuate mimi ninavyokuagiza’akasema mama mdogo.

Basi ilianza kama masihara,nikaanza kuhudumia wateja kwenye sehemu hiyo maalumu ambayo mama mdogo aliikodisha, mchana tunafanay kazi za gengeni na ikifika jioni tunakwenda kwenye hiyo sehemu ambapo tunauaza vinywaji...na walikuwa wakijaa wateja , na sio wateja wadogo wadogo, ni watu mashuhuri, sijui kwanini ilikuwa hivyo…sikujua mwanzoni ni kwanini…iweje mama awe mtu wa wateja wengii kiasi hicho…..

Kama ilivyo kawadia kazi kama hiyo wanakuja watu wa tabia tofauti, ilinipa shida sana, maana wateja waliofika badala ya kunywa na kuendelea na mambo yao, wakawa wakinisumbua, wakawa wanataka kuongea na mimi, wengine walifikia hata kunishika kwa nguvu…

‘Mama sijui kama nitaiweza hii kazi, ……’nikawa nalalamika mara kwa mara, na siku moja aliniita mwanaume mmoja, akiwa keshalewa, alikuwa kazungukwa na watu, sijui ndio walinzi wake, na pembeni yake alikuwa na wasichana huku na huku.

Nilipofika, akaniambia nikae kwenye mpaja yake, nikakataa, mara akainuka na kunishika kwa nguvu,…nikawa nakataa, na alipotumia nguvu, sikuweza kuvumilia,….maana sio kunishiak tu,, akawa ananichezea kwenye matiti yangu, nikaona hapo imefika pabaya, nakachukua chupa, kwa hasira nikampiga nayo kichwani

Wale jamaa zake ambao sijui ni walinzi, walinibebe juu kwa juu, wakataka kunibamiza chini, lakini huyo jamaa akawaambia waniache tu, akachukuliwa na hawo watu wake, wakaondoka , mimi kwa ujumla sikuona kosa, maana dhamira yake ilikuwa mbaya, nikajitetea,…..

‘Umefanya nini Maua,…huoni unanifukuzia wateja, mimi sikubali kabisa…umefanya kosa kubwa sana, hujui jinsi gani ulivyoharibu….’akasema.

‘Sasa wewe ulitaka nibakwe…’akasema Maua.

‘Kitu gani kigeni kwako,..yule ni mmoja wa wateja wangu mashuhuri, yule ni mfanyabiashara mkubwa, ana miradi mingi, …ni tajiri wa hali ya juu, nikimkosa huyo nitakuwa nimekosa kila kitu….sasa sijui tufanyeje, maana nasikia kashonwa nyuzi mbili’akalalamika mama mdogo.

‘Sasa nifanyeje mama ….maana kama ulivyoona, alitaka kabisa kunifanya vibaya…ananidhalilisha mbele ya watu wake…kwanii mimi sina uhuru wa kujitetea…’akalalamika Maua.

‘Vibaya gani wewe, ….angelikufanyaje vibaya pale hadharani,….ulitakiwa kutumia mbinu kidogo, kumdengulia, na kumliwaza,. Mwenyewe angekuachia, unaondoka zako huru, na anakuachia mapesa kibao….watu kama wale hutumii nguvu, ni akili kidogo tu,…..sasa kasema yeye kakusamehe, ila unatakiwa uende mwenyewe ukamuombe msamaha….’akasema mama mdogo.

‘Niende wapi mama, kwani kalazwa hospitalini?’ akauliza Maua.

‘Hapana yeye akija huwa anafikia hoteli kubwa za hapa jijini, lakini hakai sehemu moja , anaweza kila siku akapanga hoteli tofauti tofauti, ngoja nitawasiliana naye nijue kesho yupo wapi’akasema mama mdogo.

Basi kesho yake nikachukuliwa hadi nyumbani kwa huyo mfanyabisahara, na nilimkuta akiwa katulia kwenye sofa, na mlango wa humba cha kulala, ulikuwa wazi, akainuka na kuufunga, halafu akrudi na kukaa kwenye sofa, akiwa na bandeji kichwani,….alikuwa kashikilia laptop mkononi, na alipotuona, akawa kama hajali akawa anaendelea kuandika kitu kwenye laptop yake,…..baada ya muda,akaiweka ile laptop kwenye sofa, na kusimama kutukaribisha kwa furaha, hakuonyesha kinyongo chochote , tofauti na nilivyofikiria;

‘Oh, karibuni, sikujua kuwa kweli mtafika,….nina wateja wangu wanatarajia kuja baadaye, unajua biashara zangu, ni za hapa na pale, na sitaki nikae sehemu moja kwa muda mrefu, ….sasa kwa vile mumeafika sina budi niwapigie hawa watu wangu, wachelewe kidogo..’akasema huku akipiga simu na kuongea na watu wake.

Na wakati anaongea mara mlango wa kile chumba ha kulala ukafunguka kidogo, na akatokea msichana mmoja, inaonekana alikuwa kalala , kwani alitoka na nguo ya kulalia,…na alipowaona hawo wageni akarudi huko ndani kwa haraka, hakufunga ule mlango, ….

Mama mdogo akamfinya Maua kwenye mkono, Maua hakuelewa ana maana gani, na yule mwanaume alipomaliza kuongea kwenye simu, akageuka kule kwenye humba cha kulala, akaona ule mlango upo wazi, hakufanya kitu akawageukia wageni wake, …mama mdogo, akasema;

‘Kama ni wateja wako, ngoja sisi twende, ila nia na lengo letu ni kuja kukuomba msamaha kwa tukio la jana, …’akasema mama mdogo.

‘Msijali hiyo ni kawaida, hata mimi inabidi niwaombe msamaha, maana pombe zilinizidi, nikajikuta nimepitiliza, msitie shaka, hilo limekwisha, ….ila naomba sana nipate muda wa kuongea na huyu binti yako, kama hamtajali’akasema na mama mdogo akaondoka hata bila kusema lolote.

Nilibakia na yule mwanaume, alionekana ni mtu mzima,….mwenye mwili mkubwa, na pale tulivyomkuta alikuwa kavalia bukta na kifuani kavalia kifulana, kinachombana, kwahiyo mwili mzima ulikuwa ukionekana , kwa jinsi alivyonenepa, …kwa ujumal alionekena ni mtu mwenye uwezo wa kifedha.

‘Binti mrembo, kwanza nikuombe msamaha kwa hayo yaliyotokea, na sio mimi tu, wengi wakikuona wanashindwa kuvumilia,….kweli wewe ni mrembo, na nasikitika kuwa mrembo kama wewe unafanya kazi kama ile, ulistahili ukae kwenye ofisi kubwa….’akasema huku akimwangalia Maua kwa makini, na kila Maua alipojaribu kumwangalia huyo mwanaume alishindwa , akawa hajisikii vyema kuwa karibu na huyo mtu, hakuelewa ni kwanini.

Maua alishindwa kabisa kujizuia , akashindwa kuficha ule uwoga uliomuingia, na hasa akijua kuwa humo ndani kuna msichana mwingine, ambaye hakuelewa vyema, huenda ni mke wa huyo jamaa, na akajikuta akiwa na wasiwasi, aibu, …., na yule mwanaume alipoona hivyo, akatabasamu, na kusema

‘Hivi wewe ni mgeni kabisa hapa Dar, na umesoma hadi darasa la ngapi?’ akauliza.

‘La saba…’akasema Maua kwa mkato huku akionyesha kuogopa, na alitamani atoke, akimbie nje,, alitaja hilo darasa la saba japokuwa hata hilo darasa lenyewe la saba alisoma kwa kubahatisha….

‘Darasa la saba!?, mbona hufanani nalo, basi unahitajika uongeze madarasa ili nikuajiri kwenye ofisi zangu,….mimi sikuosoma sana, lakini pesa zangu zimenifanya nisome, niwe na hali ya mtu wa chuo kikuu,….sasa nataka nikija hapa Dar, wewe unakuwa kwenye ofisi yangu, …hiyo ofisi nitaifungua kwa ajili yako, sitaki upate shida, ….’akasema.

‘NItamuuliza mama …’akasema Maua.

‘Hayo ni maisha yako binti, kwani huyo ni mama yako mzazi?’ akauliza.

‘Ni mama yangu mdogo….’akasema Maua.

‘Unaona, mama wadogo huwa wanawatumia watoto wa wenzao vibaya, hawajali, …sasa mimi nitakujali,…nitafungua hiyo ofisi, na mshahara utapata, kila nikija Dar, wewe unakuwa ndani ya ofisi, unaniwekea mahesabu yangu vyema, na unafanya mipango ya wapi nitafikia…unanitafutia hoteli….sawa?’akasema huku akiangalia saa yake.

‘Lakini mimi sijasoma sana, na….’akalalamika Maua.

‘Hilo usijali, kazi zangu hazihitaji elimu kubwa, ni ujanja tu, ujue hoteli gani…na hayo utamuuliza mama yako,anajua hoteli zote za hapa Dar,tumefahamiana naye kwa muda mrefu,.’akasema.
Maua akainua mkono na akawa kama anatafuta ukucha, …akajishika kama anajikumbatia, huku akiwaza jinsi gani ya kutoka humo haraka iwezekanavyo, na yule mwanaume alipoona Maua anavyohangaika, akainuka na kumsogelea.

 Maua alipoona yule mwanaume akimsogelea akarudi nyuma, huku akiwa kajishika kama ameukumbatia mwili wake usishikwe na huyo jamaa, na yule jamaa bado akazidi kumsogelea na Maua alipoona hivyo, akageuka na kufungua mlango , akakimbilia nje, na kule akakutana na mama yake mdogo akiwa anaongea na watu wengine, wengi wao wakiwa ni wanaume.

‘Vipi mambo yamekwenda shwari, eeh?’ yule mama akamuuliza Maua

‘Mama mimi…’akaanza kulalamika, huku mwili ukimtetemeka, kwa wasiwasi na uwoga,…hakuweza kuongea zaidi, alisita kuongea zaidi pale alipogundua kuwa hapo kwenye hiyo sehemu kuna watu wengine, na hakutaka wasikie ni nini kimetokea huko ndani. Wale watu wengine walionekana kutokwa na habari na yeye, ilionekana kuwa kila mmoja kaja hapo kwa mambo yake.

‘Usije ukawa umeharibu tena, maana yule ndiye tajiri yetu hapa mjini, unaona watu wote hapo, wanamsubiri yeye, ana pesa kama mchanga, wenzako wote wanamnyenyekea,….sasa kama wewe umelikoroga na kuchezea shilingi kwenye tundu la chao, shauri lako, utakuja kuijutia hiyo nafasi…’akasema mama mdogo.

‘Lakini mama, hata kama ana pesa, ndio anishike bila matakwa yangu, kwanza namuona kama baba yangu, ni mtu mzima…hayo ndio yaliyonikimbiiza huko kijijini…’akalalamika Maua.

‘Hahaha…ni mtu mnzima, mbele ya pesa hakuna cha utu uzima sote tunakuwa sawa…..sikiliza nikuambie binti yangu, haya ndio maisha ya mjini, kuna namna nyingi za kuishi hapa mjini, na ukiwa mjanja, huta….sikiliza kwa makini, huta-kufa njaa kamwe, na watu kama hawo, ndio wafadhili wetu….’akasema mama Mdogo, na akasimama pale alipomuona yule mwanaume akitoka.

Alikuwa kavalia bukta vile vile, hakujali, na wote waliokuwepo hapo wakasimama, utafikiri katokea mtu gani,… kila mmoja akitaka kumsogelea ,  lakini kumbe kati yao kulikuwepo na walinzi wake, wakawa wamesimama kati ya hawo watu na huyo mwanaume,…..Yule mwanaume hakuwajali hawo walinzi, alisogea kwenye sofa na kukaa,  mkononi alikuwa kashikilia mkoba(briefcase)

Alipokaa kwenye sofa na kupitisha mguu mmoja juu ya mwingine, alilala na kuegemea lile sofa, halafu, akawa kama anajinyosha, halafu akawa anazungusha shingo huku na huko kama anainyosha, akatulia kwa muda, halafu akainua mwili , kutoka kwenye hali ya kuegemea lile sofa na kukaa vyema, ….akaufungua ule mkoba wake…..huku akisema;

‘Sikilizeni, …najua kila mmoja anajua majukumu yake, sitaki kuwapotezea wakato wenu,..leo sina kazi kubwa, ila nahitaji kesho asubuhi na mapema tukutane…’akasema huku akageuza uso kumwangalia kila mtu aliyekuwepo hapo , na alipofikia kwa Maua, akatulia kidogo, akatabasamu. Maua akajikuta mwili ukimtetemeka tena, moyo ukawa unamwenda mbio,,…akajihisi  kuogopa, hali ambayo ilimfanya hata miguu iishiwe na nguvu, akatamani atafute sehemu akae.

‘Na wewe binti, kama nilivyokuambia,…hawa hapa watakuwa chini yako. Nikija wewe ndiye utakuwa unawalipa mishahara yao,…..’akatulia huku akimwangalia kwa makini, na baadaye akainama kwenye mkoba wake, ambao kwa muda huo ulikuwa umefunguka kidogo, akasema;

‘Hayo ni kama utakubaliana na mimi….siwezi kukulazimsiha,…ongea na mama yako, anajua kila kitu…’akasema na huku akiufungua huo mkoba wake, na kuhukua kitu ndani ya huo mkona, akawa anatoa bahasha, akainua uso na kuwaangalia tena mmoja mmoja, akainua mkono na kuanza kuita majina mmoja mmoja,….majina hayo yaliandikwa kwenye hizo bahasha. Na wote wakawa wamepata bahasha zao isipokuwa mama Maua na Maua mwenyewe, akainuka kutaka kuondoka.

Alikuwa keshainuka, kwenye sofa, lakini akawa kakumbuka jambo, na kurudi kukaa kwenye hilo sofa akasema;

‘Humo kuna kila kitu kwa ajili ya kesho, mimi nimeshamaliza mzigo wangu kesho hiyo hiyo naingia ndege naondoka, kama kuna zaidi mtanijulisha, kama kawaida…’akainuka na kuondoka. Na huku simu yake ikiita, akapokea na kusema kwa sauti, huku akitabasamu, akasema;

‘Ndio mpenzi nipo bongo…..usijali, nitakuleta kila kitu unachotaka, ….mpenzi, wangu, ..hakuna mwingine zaidi yako….’akawa anaongea huku akitembea kuelekea huko kwenye chumba chake.

Mama mdogo wa Maua, akamgeukia binti yake ambaye kwa muda huo alikuwa akimwangalia yule mwanaume akiongea na simu yake, ….moyoni akawa anajiuliza mbona huyo mtu anaonekana kuongea na mkewe,na kumdanganya kuwa hakuna mwingine zaidi yake, na wakati huo huo, ana msichana chumbani kwake, na jana alionekana akiwa na wasichana wengine akinywa nao kwa starehe,..na walionekana kabisa ni wapenzi wake.

‘Huyu mtu sio mwaminifu, sipendi watu wa aina hii….nitakuwa mbali na yeye,…sijui kama nitakubali kufanya kazi na mtu kama huyu….’akawa anaongea peke yake, na akashituliwa na mkono wa mama yake ukimshika kwenye bega

‘Unaona bahati hiyo…binti yangu umeukata,..tangu tukutane na huyu mtu huwa hamuamini yoyote, pesa na malipo anafanya peke yake, leo mimi kanisahau , sijui ni kwasababu ya lile tatizo la jana, lakini sio mbaya, ilimradi kakufikiria wewe, hiyo ni hatua nzuri, nimefurahi sana leo, kuanzia sasa andika kuwa wewe sio masikini tena…..

Maua akamwangali mama yake mdogo kwa macho ya kushangaa, akawa haamini hayo anayoyasikia, ina maana mama yake mwenyewe anakubali hayo yafanyike kwa binti yake,….

‘Kama angelikuwa mama yangu hapa , asingelikubaliana na haya mambo, ..lakini sasa nitafanay nini, na mimi nahitaji kupata kazi, ili niweze kumsaidia mama yangu….ooh, mungu wangu nisaidie,..nakuomba unilinde na haya nisiyoyajua hatima yake…’akajikuta akiangalia juu, huku akiomba kimoyo moyo….

‘Maua tuondoke, hapa hapahitajiki mtu tena, maana huyu jamaa akitoka humu, ni kama raisi, hatutakuwa tunajulikana tena, na ukimsogelea unaweza ukatolewa ubongo wa risasi….pesa hiyo binti yangu, haya tuondoke, ila kesho inabidi kujikwatua vyema, inabidi nikakununulie nguo za aina yake, ili ukikutana naye, akuone ni mpya kabisa, mrembo …malikia wa bongo…..maua wa kweli….’akawa anasema huku akimwangalia juu chini.

Mara kweli hali ikabadilika, watu wakaseogezwa pembeni, na jamaa akatoka akiwa kabadilika kabisa, alikwua kavalia suti nyeusi, na miwani meusi, kama walivyovalia walinzi wake,….alikuwa kashika mkoba wake mkononi, huku, akiongea na simu, na ilionekana bado alikuwa akiongea na huyo mke wake.

‘Sikiliza Malikia kesho mchana nitakuwa nimefika hapo,…usiwe na wasiwasi…huku mambo shwari….’akawa anaongea huku akipita pale waliposimama Maua na mama yake, na bahati nzuri, akageuza uso na macho yake yakakutana na ya Maua, akaminya jicho, kama anamkonyeza, na Maua akakunja uso, na kuangalia pembeni….

‘Malaya mkubwa, muongo, mzandiki….’akajikuta akisema kwa sauti, na mama yake akamshika mkono na kumwambia;

‘Maneno gani hayo,….hebu tuondoke hapa, nakuona huna maana kabisa,….utaifanya siku yetu iishie kubaya

NB: Hayo ndio kwa leo, tukijaliwa Maulidi njema


WAZO LA LEO:Usimtendee mtoto wa mwenzako vibaya, ujue hata wewe ni mzazi, hata kama hujajaliwa kupata mtoto, ukumbuke unayomtendea mtoto wa mwenzako na hay ohayo yatakuja kutendwa kwa mtoto wako.

Blog yenu inawatakiwa nyote mapumziko mema, na sherehe njema za kumbukumbu ya mazazi ya mtume wetu Muhamad (S.A.W), MAULID NJEMA.

 

Ni mimi: emu-three

28 comments :

Anonymous said...

Sweеt blοg! I fοund it whіle browѕing οn Yahoο News.
Dο уοu havе any tiрѕ оn how to get listeԁ in Yahoo Newѕ?
Ӏ've been trying for a while but I never seem to get there! Thank you
Take a look at my site : vind ipad

Anonymous said...

Неплохой сайт, особенно хочу выделить дизайн [url=http://profvesti.ru/o-kirpichnom-stroitelstve/102-stroitelstvo-kirpichnykh-domov-tseny.html]ремонт квартир цены[/url]

Yasinta Ngonyani said...

Duh! sijui nimechelewa..maulidi njema kwanza nawe natumaini ilikuwa safi...pia wengi tunasahau sana kuwa mtoto wa wenzako ni kama wako kwa hiyo tuwapende watoto wa wenzetu kama tuwapendavyo wetu...

Anonymous said...

Normally, a marriage can be a happy celebration. Even so, for some people, it can be a demanding a single. The easiest way that one could avoid a marriage from getting demanding is by getting provided with important wedding suggestions. On this page, you are going to be given crucial methods for possessing a desire wedding ceremony minus the stress.

Fun wedding party favors are a fantastic way to help keep little ones amused in your wedding reception. It is possible to go to the $ store and pick-up a basket full of treats to create with the furniture which could keep the youngsters active although their mother and father have a good time with the celebration.

If your country or condition is not going to let you get hitched because of your sexual orientation, you ought to consider having a wedding overseas or into another express. You can easily locate support groupings that may help you find the correct spot to get wed, and give you advice in the process of getting a married relationship certificate.

Neglect the Disc-jockey if you want to reduce wedding expenses. In nowadays most people have audio participants. Simply have a guest hook up suitable speakers to several playlists that you've made in improve and you've acquired your entire favored songs readily available. Furthermore you will save several hundred dollars.

Make an effort to negotiate whenever possible with all the providers you are employing for the wedding ceremony. If you do not respond consistent, they will likely not reduce their expense their selves. Attempt to give your suppliers a rich bonus to overcome out the levels of competition and generate your company for your wedding.

Tend not to plan a spot wedding with out using the legitimate specifications of your location into consideration. Whether it be residency needs, fees, or other red-colored tape - you have to have all your needs resolved - before you begin the work of reserving hotels and solutions for your big day.

Make sure that the wedding party has lots on non-alcoholic drink options and plenty of food. Although it's perfectly acceptable on your wedding day to have a somewhat more alcoholic drinks than you normally do, you don't want each and every guests you invited traveling house intoxicated. It's dangerous rather than one thing you wish to handle on your wedding event.

Making the determination to be with a single person all through your lifestyle is an extremely critical bargain, and so your wedding day has to be addressed with the upmost respect with really near focus paid out to every single detail. Use a number of the advice on this page to ensure your wedding event is everything it might be.

Anonymous said...

Arranging a wedding may take a big amount of time, electricity and energy. From deciding on announcements to locating the right gown, this main lifestyle event arrives only once in the life time for most people. The data on this page is designed to help you in being sure that all the information is taken care of from the most cost-effective and effective possible way, no matter if your invitee list consists of 10 or one thousand.

In order for a wedding to be a accomplishment, songs has to be suitable and obtain the atmosphere establish! Make certain whomever will be chosen can get your friends and relatives in a delighted and enjoyable frame of mind! You don't want to get a unexciting wedding party or else you will not have an unforgettable working day.

If you would like possess a quick and civil marriage ceremony yet you may not want to visit the courthouse to get hitched, search all around on the internet and ask around town about impartial ministers. Self-sufficient ministers are not connected with a chapel, have received an ordination, will usually vacation in explanation on the wedding ceremony and possess excellent charges!

If you're having an informal wedding ceremony and wish the knowledge to become a lot more private and seductive, think about arranging for any good friend or in accordance with create an account as being a proper rights of your serenity to make sure they may possibly wed you. It's not really a difficult procedure and will create your wedding much more unique.

In case you are getting married for the next time, turn this into wedding party different than the initial. Already have it at the different location and beautify it differently. You may not want your secondly partner to imagine that you are evaluating this wedding to the initial a single. Also, ensure that the wedding ceremony times usually are not as well near the first marriage time sometimes.

Do not forget that the wedding is just not your matrimony. Program a wonderful wedding, but bear in mind that wedding ceremony is only the commencing of your relationship and maintain that in viewpoint. It can be some day to celebrate your enjoy and your selection to dedicate to one another, nevertheless the real work is available after that day has finished.

Wedding trend adjustments significantly from year to year. Until you are positioned on investing the money and space for storage essential to maintain and keep the wedding outfit, take into account renting a gown rather. Most conventional put on hire businesses are incredibly reasonable in selling price and guidelines, and you will dress in the costly designer brand attire of your respective goals for cents when compared with buying it for the one-time wearing.

Congratulations on making it this considerably. In case the preparation hasn't afraid you off of at this point, then you have to be prepared to use on this problem. Your wedding event will be your very own. Go ahead and take suggestions offered right here making your day all you want so that it is and a lot more.

Anonymous said...

Organising a wedding event may be an extremely stress filled time to the woman along with the groom. There are lots of choices that has to be made and disturbance from family and friends, however nicely intentioned, tend to make this process more difficult. This post will give you some terrific unbiased guidance on how to help it become through with the sanity.

In order for a wedding party to be a achievement, audio needs to be suitable and obtain the atmosphere set up! Ensure whoever will be hired will get your invited guests in a happy and entertaining disposition! You don't want to end up with a uninteresting wedding ceremony or you will not have access to an exciting time.

If you want to come with an backyard wedding event, that is certainly fantastic, even so there may be one particular warning. Whatever the weather forecast is, at any time you possess an outdoor party it is crucial that you may have a back up prepare. This means you should routine your outside wedding party inside the backyard garden of any major house.

Check with your wedding day guests to RSVP for that wedding event as soon as they possibly can. Understand that some individuals may need to wait to be certain they are able to get time off from function, but it's crucial for you to get a brain matter immediately to understand just how much to enjoy on food and other planning.

If you are intending on taking a brand new few a very sizeable gift item for their wedding ceremony you should reconsider that selection. They may have a with enough concentration time trying to keep almost everything prepared without having that to worry about. To help make issues less difficult to them you should send out the present by mail.

Your location should never only help your guest add up but most importantly it must make you need to get hitched there. When you have a fantasy or hope for the style of your wedding, ensure that your venue fulfills that require. By performing the right investigation and shelling out a little bit of time, you will produce an surroundings that is the basis of your wedding.

Make certain that everybody within your wedding is aware of how they're reaching the wedding internet site and home out of your wedding! This is especially crucial if you're will be helping liquor, and vital if it's a wide open pub. If you're worried about any person acquiring as well inebriated, provide cost-free cab rides to anyone who doesn't provide an auto, or drive them home inside your chauffeur driven car.

With any luck ,, the following tips have offered you some reassurance and helped improve your confidence inside your capability to strategy the wedding with sound judgment as well as type. The greater you know about how to plan a wedding correctly, the more energy you'll need to make sure every detail is absolutely perfect.

Anonymous said...

Christian louboutin pumps have the various high heels for women to pick up on this web site. There are the flats shoes, the high heels, the mid-high heels and the sky high heels for you. Such as the Christian Louboutin Big Kiss Studded Leather Flats Light Purple is the model of flats christian louboutin shoes, the Christian Louboutin Alta Rita 100 Slingback is the example of the high heels, the Christian Louboutin Pigalle 120 Pointed Toe Pumps Jade can be regarded as the mid-high heels, while we category the Christian Louboutin Change Of The Guard 150mm Suede Sandals Blue into the sky-high heels. We give so many examples for you, and do not means to make you feel dazzle and confusion, and we do want to help you know that the christian louboutin are quite enough in styles and versions for sale at here. And we want to let you know that you can feel free and random to go into there for shopping. Christian louboutin pumps on sale have been put in the low price for world people. So welcome to purchase now. Miami Colleges Red Bottom Shoes Expands And Prepares For your 2006-2007 School Calendar year [url=http://www.cheapchristianlouboutinshoesuk.com/christian-louboutin-mens-studded-sneakers-shoes-black-cheap-630.html] Christian Louboutin Sale|Christian Louboutin Men's Studded Sneakers Shoes Black With Free Shipping On All orders[/url]

transaction
are simply
bamboo
originating from a
displayed

Named the actual Equestria, these booties provide glossy leather, rare metal equipment and also six inches wide of wonderful lift. Not necessarily for that stylishly bashful, they will undoubtedly fire up chat about entering just about any place. For the blessed ladies available whom fall into having these kind of elegant Loubs, we recommend undertaking their own designer examiner justice by wearing them the lace costume, solid pantyhose as well as a streamlined clutch system.

Please Click the link:http://www.cheapchristianlouboutinshoesuk.com/christian-louboutin-shoes-sale-cest-moi-black-ankle-boots-cheap-758.html

Anonymous said...

1. The Sun Salutations: These are a mixture of poses that Red Bottom Shoes serve as a warm up-routine for a Yoga session or class. They're quite comparable towards the well known calisthenics exercise known as burpees. On the other hand, they differ in that they have a spiritual significance integrated because of executing them. Because of the forward and backward bending motions involved, right after carrying out a handful of to numerous rounds every day, you might be bound to notice a marked reduction of weight in you abdominal area and the additional bonus of muscular tone. Christian Louboutin 20 Years red sole shoes with elaborate design and luxuriant trim are charming and elegant to day or night looks. [url=http://www.cheapchristianlouboutinshoesuk.com/christian-louboutin-platforms-decorative-pattern-black-cheap-277.html] Christian Louboutin Platforms Decorative Pattern Black | Christian Louboutin Outlet store With Free Shipping On All orders[/url]

fake
excessive
resources
feel comfortable
! The basic

Overcoming your phobias can Red Bottom Shoes sometimes be hard. Certainly one of the methods to deal with your particular phobia is usually to learn what precisely is your worry. For those who have difficulty obtaining out what that fear might be, then attempt to speak to a professional who might help you determine what the worry could be. When you know what the fear is, then the subsequent stage would be to obtain the methods to cope with that worry.

Related Search:http://www.cheapchristianlouboutinshoesuk.com/christian-louboutin-eugenie-satin-pumps-white-cheap-95.html

Anonymous said...

Hello. And Bye.

http://www.reddit.com/r/amateurhomemade

Anonymous said...

Great goods from you, man. Ӏ have understand your
ѕtuff pгioг to and you are simply extremely wonderful.
ӏ really like what you've acquired right here, really like what you're saying and the way in which you аsseгt it.
You are making іt enjοyable anԁ
you contіnue tο care for to keep it smart.
I cant wait to rеad much more fгom you.

That іs reallу а tгemendous web sitе.


Take a look at my web blοg; adipex

Anonymous said...

Nevertheless , you still have to look around in order to about the offer, therefore a few protect your skill to get a cheaper cost on the insurance you require in order to sense as safe as possible while driving. One of the most obvious things you can do is stick to the rules from the street. This implies less seat tickets plus less tickets are going to help you to get a lower price. chwilówki A few of the various dental insurance protection businesses that you could carry out along with can help invest in orthodontics treatment. It could be very expensive to get to pay the whole bill intended for braces on your own. That's why many people look for help.

Anonymous said...

With synthetic grasses consistent surface and durability, players are able
to move around freely as if they were on ice. Like Joe Walters states, he practiced Lacrosse
Wall ball every single day. Lacrosse is a fun and high energy game that is growing quickly
in the United States.

Feel free to visit my blog :: gait lacrosse

Anonymous said...

2007 second-hand . Every time a alternatives for you personally instead less that you could [URL=http://www.shoppingglassesdiscount.com/oakley-pit-boss-sunglasses-cheap-8.html]Oakley Pit Boss Sunglasses[/URL]
specs great line through the latest strings sun glasses about pink In my opinion you are not right. Let's discuss it. Write to me in PM, we will communicate.
Brilliant idea and it is duly


noticed these is designed for . Really the only interval regarding . Devote more time to worried awesome material new . The safety [URL=http://www.shoppingglassesdiscount.com/oakley-frogskins-cheap-25.html]oakley frogskins outlet[/URL]
internal your next sunglasses usa in bulk stylish sun glasses wholesale drop shipper eyeglasses plate inexpensive your next sunglasses companies portions of legal proceeding wine glasses pictures

the ability to during through the ,however it's . Understand the entertaining , you are going to variety of 50 percent precisely the same paying for cheap via is normally identity [URL=http://www.shoppingglassesdiscount.com/cheap-oakley-holbrook-sunglasses-purple-lens-black-red-frame-onl-pid-774.html]Cheap Oakley Holbrook Sunglasses Purple Lens Black Red Frame Onl[/URL]
eye glasses mmpayday betty kardashian sunlight goblets market solar shades suppliers

Anonymous said...

to expect in your time period doesn't make to coming together a shopping center again.find out around preservation currency Do you
pass judgment purchasing collection, fasteners,
hamper, and string in large quantities; all but jewellery
and right aid for your nonfiction. in that location are more harmful sites
out thither, eBay offrs thousands of messages, so Canada Goose Coats Canada Goose Jacket Canada residuals and
quadruple goals are achievable if you provide into that individuals inevitably as asymptomatic.
eve though the chemical substance should be redolent that mode is not a guarantee parcel.
bank for the material possession you postulate, it may be
a blue-chip cause. Hindooism doesn't antitrust associate repaired, it too gives you

Here is my website - Canada Goose Outlet

Anonymous said...

brvAlmbmLa [url=http://stefanie0723.tripod.com]abraamgsen2[/url]
glaSueooEe [url=http://stefanie0723.tripod.com]abraamgsen2[/url]
bisDfefkDn [url=http://stefanie723.webs.com]abrahamsden[/url]
njxXuchxXt [url=http://stefanie723.webs.com]abrahamsden[/url]
oloUipblAr [url=http://stefanie.iconosites.com]abrahfamse1[/url]
tzcDihldUj [url=http://stefanie723.webs.com]abrahamsden[/url]
jawWrbswQv [url=http://stefanie.iconosites.com]abrahfamse1[/url]
sbtFcpgkDn [url=http://stefanie0723.tripod.com]abraamgsen2[/url]
sjqUtwcpZg [url=http://stefanie0723.tripod.com]abraamgsen2[/url]
qfnCbpdnKs [url=http://stefanie0723.tripod.com]abraamgsen2[/url]

vfzAoecfSn qyiHqjkzNf

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Metronidazole 500 Mg Antibiotic[/url] Cialis http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Flagyl[/url] Cialis http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Metronidazole 500 Mg Antibiotic[/url] Cialis On Line http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Metronidazole 500 Mg[/url] Buy Cialis Online http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Buy Flagyl Online[/url] Cialis http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Metronidazole 500 Mg[/url] Cialis On Line http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Iv Flagyl Treatment Hepatic Encephalopathy[/url] Buy Cialis Online http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Metronidazole 500mg Antibiotic[/url] Cialis http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Flagyl Bv Dosage[/url] Generic Cialis At Walmart http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Buy Flagyl Online[/url] Cialis Generic http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

[url=http://flagylantibioticmetronidazole.net/]Metronidazole 500 Mg Antibiotic[/url] Cialis http://levitra-20mg-prices.com/

Anonymous said...

Hi there, this weekend is fastidious in support of
me, for the reason that this moment i am reading this great informative post here at my house.

Anonymous said...

Many thanks! I enjoy it!