‘Labda wewe hujanielewa,mimi huwa
sipendi utani, usione nimefika hapa ukafikiri nimebahatisha, nafahamu nyendo
zako A to Z,...tangu ulipogusa anga zangu nimekuwa nikikufuatilia kwa
makini, mimi najua sasa mpo kwenye
mpango wa kumla mtu mlungula(blackmail), sasa sijui vipi na kwa
vipi,....’akasema yule mama huku akizifutika hizo pesa sehemu ya maziwa yake
bila kuzihesabu.
‘Mimi nakuahidi nitakulipa pesa
zako....’profesa akasema,
Ilikuwa pesa kidogo tu aliyokuwa nayo
profesa baada ya kupata ile pesa ya mwanzo waliyomtoa yule jamaa, na akawa
kaitumia, na kulipa baadhi ya madeni, na hapo akawa kabakia na pesa kidogo tu,.
‘Lakini ilibidi nizitoe ili kumliwaza
huyo mama asije kuleta fujo...’akasema profesa akimuhadithia kaka yake
‘Mimi nataka pesa yangu, ...’akasema
huyo mama akiwa kasimama mbele yangu akinitolea macho ya vitisho
‘Nitakuletea pesa yako madame,...,
wewe uniamini tu....’akasema profesa.
‘Poa,...mimi naondoka, nakupa siku
hizi mbili, au tusema tatu, nikija , au popote utakapokwenda ujue ninakuja kwa
shari... sitakuja hivi hivi,nikuache hivi hivi...leo nimeiheshimu hii
hoteli,...’akasema na kupiga ngumi kwenye ile meza na vinywaji vilivyokuwepo
vikamwagika.
‘Tafadhali madame....’alisema profesa
akiwa na wasi wasi na uwoga, akikumbuka habari za huyo mama
‘Ndio hivyo, uilewe hiyo,...kumbuka,
safari nyingine ...nitakuja nikiwa
nimekamilika,..utanisimulia.’akasema huyo mama na kuondoka zake....
Tuendelee na
kisa chetu
*********
Wakati kule
kwa mume na mkewe kukiwaka moto, familia haielewani tena..., huku kwa profesa mchochezi
wa kuharibu familia za watu kwa nia ya kupata pesa kwa kupitia njia isiyofaa, nako
hakukuwa na amani, maana uchu wa kupata ulishawaingia na walishajihakikishia
kuwa watazipata hizo pesa, lakini mambo hayakwenda sawa.
Na wakati
wanasubiri fungu la pili kama walivyoahidiwa na yule mume mtu, si ndio huyo
mama mtemi akamuingilia profesa, na tishio alilolitoa hapoo ndilo lililmfanya
profesa kutafuta uficho mwingine, lakini hata hivyo ili awe na amani
alihitajika kupata pesa za haraka ili kumpooza huyo mama mtemi.
‘Kawaida
nilikuwa napenda kwenda kwa hiyo familia ya mume mtu na mkewe, ndipo nilikuwa
nahemea, kwa kazi za kibarua, kama ipo napewa, na kama hakuna inabidi nitafuta
sehemu nyingine, na lengo kubwa la kutafuta kazi hapo ni kua karibu na hiyo
familia ili kujua ni nini kinachoendelea.
‘Kwa mara ya
mwisho waliniambia hawapo sawa, wakinihitajia watanipigia simu, kwahiyo ikabidi
nisiende kwanza, japo nilitamani sana kwenda hapo ili kusikia ni nini
kinachoendelea...’akasema
‘Lakini kazi
hizi zina mbinu zake, unatakiwa uwe makini sana...’akasema
Basi siku ile alipokuja yule mama mtemi , na
kunikuta hapo hotelini, nikaanza kuhisi mambo yangu yanaweza kuharibika, na
huenda huyo mama anaweza kwenda kwa huyu mteja wetu na kumfunulia siri yetu,
kwahiyo nilitakiwa kutafuta pesa ya haraka ya kumnyamazisha huyu mama
Basi ndio nikatoka hapo kwenye hoteli, na
kutafuta sehemu nyingine , ndivyo kazi zetu zilivyo, ukihisi hapa kuna hatari
haraka unatafuta sehemu nyingine, lakini yote hiyo ni gharama, na ukumbuke
nimepewa siku kadaa, kuwakilisha malipo ya watu kwa huyo mama mtemi,
‘Sasa
ulifanyaje....?’ akauliza kaka mtu
‘Akili
ilibidi ifanya kazi ka haraka, nilitakiwa kutafuta mbinu za kupata pesa, na muda
ulikuwa hautoshi,...’akasema mdogo mtu akimsimulia kaka yake.
Wazo
lililonijia ni kutafuta mkopo, na ni nani angenipa mkopo wa haraka, kwa hali
kaam hiyo siwezi kwenda benki, ....na watu wengi hawawezi kuniamini, na mara wazo
likanijia, ndio nikaenda kwenye simu ya barabarani ya kibandani nikampigia
mtalaamu
‘Mtaalamu
yupi huyo, ...?’ akauliza kaka mtu
Yule
mtaalamu wa kuchora dili, nilijua kwa vile yeye anajua kuwa kuna uhakika wa
mimi kupata pesa asingeliweza kukataa kunikopesha, ...lakini mhhh’akasema
Basi ndio
nikampigia simu huyo mtaalamu;
‘Vipi
mtaalamu....’nikaanza kwa mbwembwe, na jamaa akahamanika akijua mshiko tayari
‘Nambie,..mambo
tayari...’akasema akionyesha hamasa
‘Mambo
tayari!? Hahaha,....anichekesha, mimi nimekwama,na hapa nilipo nipo
barabarani,sina mahali pa kuishi.. nakimbizwa...’nikamwambia
‘Kwanini,...polisi,au ?
‘akauliza kwa kunikatiza,na hata kabla sijamjibu akasema
'Hapana sio polisi, ni madeni mkuu....'akasema profesa
‘Madeni,...unanitania,...kwani hilo
linanihusu nini mimi...?’ akauliza akionyesha kukereka, maana alijua namletea
habari nzuri ya pesa, mimi namletea shida.
‘Unajua
mtaalamu, hii dili hukunisukia vyema, ni sawa ulinielekeza njia, lakini mbona
haikufanikiwa, kama ulivyoona tumepata pesa kidogo, wakati tulipanga mambo
mengi, na hayo mambo mengi ni gharaka, sasa huo mkupuo wa pili tumeahidiwa
sijui itakuwaje...’akasema profesa
‘Sasa tatizo
lipo wapi hebu ongea kinachoeleweka unanipotezea muda....kwanza upo wapi...’akasema
‘Nipo barabarani....'akasema
'Ehe ongea ...'akasema
'Mtaalamu, ndio dili ilikwenda vyema na jamaa akaahidi, na kiukweli jamaa yupo ana haha kuzipata hizo pesa..., lakini kuna tatizo limetokea...’profesa
akasema
‘Tatizo
gani....?’ akauliza sasa akiwa makini
‘Hilo tatizo
ni kuhusu mimi na wadeni wangu, hawa watu wamenijia juu, na nisipowalipa
wanaweza kuharibu kila kitu ...’profesa akasema
‘So....ina nihusu nini mimi....?’
akauliza
‘Inabidi
unisaidie maana itaathiri mambo mengine, inaweza ikawa kikwazo cha kupata
pesa...’akasema profesa
‘Mhh, ni
nani yupo nyuma ya hayo yote, anayekufuatilia ni nani ni yule bosi wako wa
zamani au sio....?’ akaniuliza
‘Mhh,umejuaje,
au wewe....’nikataka kulalamika
‘Mimi
nawafuatilia watu wangu kwa karibu sana...na sio kwamba nina ukaribu na huyo
mama, hapana,...huwa sielewani naye kabisa, na hata hivyo mimi sina haja ya
kujuana naye, maana nikijuana naye nitakwamisha shughuli zangu,...ila
nilishakuambia, uwe makini sana na huyo mama...’akasema
‘Ndio hivyo,
nilishaachana naye lakini sikuachana naye kwa heri...’akasema profesa
‘Tatizo lako
una njaa kali, na huwezi kuwa makini ...ukipata pesa wewe unajua kutumia tu,
...namfahamu sana huyo mama ni kigeugeu haaminiki,na ni hatari, hasa kwenye
hizi dili, na kageuka kuwa mwiba mchungu, kwani anasaidiana na watu wa usalama,
...’akasema
‘Ok, sasa
nifanyeje...?’ akauliza
‘Sijui,....
hilo sio jukumu langu,..nilishakuchorea dili ilikuwa kazi ya kuifuatilia, na
siwezi kujiingiza kwenye kazii za watu, nitafanya kazi ngapi....’akasema
‘Nafahamu
hilo mtaalamu...., tatizo langu ni pesa, ninachoomba kwako ni mkopo, ili
nimalizane na huyo mama, nipo kwenye hatari ndugu yangu...’profesa akasema
‘Hahaha nikukopeshe,
hahaha, kwani mimi ni benki, sikiliza mimi sina utaratibu huo wa kukopesha
watu, pesa ninayopata ni kiasi tu, ianitosha mimi na kwa kuwalipa watu wangu,
unajua ili hii kazi ifanikiwe inakuwa na watu, wanahitaji pesa,nikipata najua
jinsi ya kuipangia, sibakiwi na kitu...wewe,unalijua hilo ...’akasema
‘Lakini wewe
ulinihakikishia kuwa pesa ipo ya kutosha, nikapanga mambo yangu,na ...yote ni
gharama, ukasema huyu jamaa atatoa pesa nyingi..., sasa nashangaa unanigeuka,
mimi nitawaewzaje kulipa haya madeni, na yapo katika bajeti yangu, ndio maana
nikakubali hiyo dili...’akasema profesa
‘Kila kazi
ina mitihani yake, tatizo la hii dili imekuja kuvurugwa na shughuli za kibenki
, hilo nalikubali....kama kusingelikuwa na hilo tatizo, na uzembe wa huyu jamaa
kutokufuatilia tayaribu za benki, pesa ilikuwa wazi kabisa, sasa hilo sio kosa
langu...na mtu wako kajichoresha,kwa mkewe, yupo kiti moto...’akasema
‘Ina maana
kuna tatizo kuzipata hizo pesa,....yeye aliniambia kuwa atakamilisha na pesa
atazipata....’akasema
‘Yah, so kuna tatizo gani, hiyo ni kazi yako, na sio mimi nikufanyia
hiyo kazi, hangaika,mimi kazi yangu ni kupanga dili na sio kuingia uwanjani kucheza, mimi hukosipo kabisa...fanya kazi yako...’akasema
‘Kwahiyo...?’
akauliza profesa
‘You man, you'r waste my time...., ..kwahiyo , kwahiyo, ...unataka mimi nifanye nini, mimi hilo sio jukumu langu, na mimi sina muda wa kufuatilia kazi ambazo
nilishaelekeza,...kazi yangu ni kukupangia dili, na dili hiyo ilishakuwa
mikononi mwako....unanielewa wewe njaa kali...’akasema
‘Najua,
lakini kuna hili tatizo lipo nyuma yangu nitafanyeje...nipe pesa kidogo
nikampooze huyo mama, utanipa?’ akauliza
‘Hilo la
huyo mama halinihusu, halipo kabisa kwenye hii dili, ni mambo yako na njaa
zako, unanielewa...hayo ni matatizo ya kutowatumia wataalamu, nafahamu kabisa
tatizo hilo linatokana na kazi zako binafsi, sasa mimi siwezi kuwa mhanga wa
njaa zako....unanisikia stop...’akasema
'Na kuna tatizo jingine kuhusu kijana wako....'akasema kabla sijasema kitu
'Kijana wangu, yupi...' profesa akauliza
'Una vijana wangapi..'akasema
'Kuna nini, kafanya nini.....?' profesa akauliza kwa wasiwasi akikumbuka kuwa waliachana na huyo kijana kwa kutokuelewana, na hakutaka kuwa karibu naye kwa hivi sasa kwani huyo kijana anaweza kumchukia kabisa kutokana na shughuli anazozifanya
'Hayo utayafahamu baadaye, muhimu ni hiyo kazi, kabla ya hapo ukumbuke hukunipa pesa yangu kwenye fungu la mwanzoni...na sasa unataka kulete shida....unanichosha, nilijua wewe utaifanya kazi hii ipasavyo, na ni kazi yenye pesa nzuri tu, lakini umeiharibu...'akasema mtaalamu
‘Nikuulize
kitu, je una uhakika kuwa huyu mtu atazileta hizo pesa nyingine...?’ profesa akauliza, na akahisi ukimia,..ila alisikia huyo mtaalamu akiongea na mtu mwingine upande huo wa pili.
'Nilikuwa napokea taarifa,....na inakuhusu wewe,....Ok, unasema....?' akauliza huyo mtaalamu
'Taarifa ya nini, mbona unanizidi kunichanganya,..sasa hivi umesema kijana wangu, hujaniambia kafanya nini, bado hujanijibu kuhusu uhakika wa kuzipata hizo pesa, whats going on...?' akauliza
NB: Naishia hapa
kwa leo naona muda wa salio umekwisha...hali ni ngumu kidogo, lakini nitajitahidi kidogo kidogo tutafika
WAZO LA LEO:
Tamaa mbele mauti nyuma
Ni mimi:
emu-three
8 comments :
hodi ni wewe katika haraka haja mkopo kulipia kuanza yako madeni ya kuanzisha biashara au nyumba ??? Kisha inakuja teksi kampuni una imani na relay juu ya 100% uhakika sababu hii ni kampuni ambapo i cashed mkopo wangu kwa mama yangu Stella dawa leo ili kuwasiliana na René Mikopo Firm halisi kupimwa na kuaminiwa na leo mimi nina furaha i got mkopo wangu wa $ 120,000 leo ili kupata kushikamana leo mrsstellareneloanfirm@hotmail.com} {barua pepe hapa chini na kupata jibu la matatizo yako yote kwa sababu Siwezi Kunyamaza ushuhuda huu mkubwa peke yangu binafsi ili i aliamua kuandika kwenye tovuti kwa sababu kula furaha kubwa kwa yangu moyo na leo mimi nina kuishi maisha mapya shukrani kwa wote Stella René
kolochatechee
Kampuni yetu ni shirika ya kisheria ambayo iliundwa kusaidia watu wanaohitaji msaada, kama vile misaada ya kifedha.
Hivyo kama wewe au wewe ni katika matatizo ya kifedha katika machafuko ya kifedha, na unahitaji fedha kuanzisha biashara yako mwenyewe, au unahitaji mkopo kwa kulipa madeni au kulipa bili yako, kuanzisha biashara nzuri, au kuwa na ugumu kukopa zaidi benki za ndani, wasiliana nasi leo
E-mail: davidsonsmithloanfirm@gmail.com
Maombi ya mkopo fomu:
Jina: _________
Mitaani: _________
Nchi: _________
Dini: _________
Kazi: _________
Mkopo Kiasi Inahitajika: __________
Lengo: _________
duration__________ mkopo
Mshahara kwa mwezi: _________
Simu: _________
Tafadhali wasiliana nasi kupitia barua pepe E-mail yetu:
davidsonsmithloanfirm@gmail.com
Mr Davidson Smith
Kampuni yetu ni shirika ya kisheria ambayo iliundwa kusaidia watu wanaohitaji msaada, kama vile misaada ya kifedha.
Hivyo kama wewe au wewe ni katika matatizo ya kifedha katika machafuko ya kifedha, na unahitaji fedha kuanzisha biashara yako mwenyewe, au unahitaji mkopo kwa kulipa madeni au kulipa bili yako, kuanzisha biashara nzuri, au kuwa na ugumu kukopa zaidi benki za ndani, wasiliana nasi leo
E-mail: davidsonsmithloanfirm@gmail.com
Maombi ya mkopo fomu:
Jina: _________
Mitaani: _________
Nchi: _________
Dini: _________
Kazi: _________
Mkopo Kiasi Inahitajika: __________
Lengo: _________
duration__________ mkopo
Mshahara kwa mwezi: _________
Simu: _________
Tafadhali wasiliana nasi kupitia barua pepe E-mail yetu:
davidsonsmithloanfirm@gmail.com
Mr Davidson Smith
Je, wewe katika haja ya mkopo haraka ya kulipa bili, upanuzi wa biashara, miili ya ushirika au mkopo binafsi? Wasiliana nasi leo kwa ufanisi na kuaminiwa yako haraka mkopo leo katika kupitia barua pepe: elenanino07@gmail.com
Regards
Bi Elena
Je, wewe katika haja ya mkopo haraka ya kulipa bili, upanuzi wa biashara, miili ya ushirika au mkopo binafsi? Wasiliana nasi leo kwa ufanisi na kuaminiwa yako haraka mkopo leo katika kupitia barua pepe: elenanino07@gmail.com
Regards
Bi Elena
Salamu Kila moja.
i am Mr Paul Williams binafsi mkopo Taasisi, sisi ni vyombo vya kibinafsi kutoa kila aina ya mikopo kwa watu ambao ni kifedha chini na katika mahitaji ya msaada wa kifedha, sisi kutoa mikopo kwa kiwango nafuu sana bila matatizo yoyote. kampuni yetu ni vizuri kusajiliwa na uwezo wa kutoa mikopo kwa watu binafsi na kushirikiana miili katika mazingira mazuri. huduma zetu ni haraka na rahisi. kama wewe ni nia ya kupata mkopo kutoka kwetu kindly wasiliana nasi juu ya kampuni yetu email: paulwilliamsfinance@gmail.com
kutembelea sisi leo kwa ajili ya huduma zetu za kuaminika
Regards
Mr Paul Williams.
Kampuni pepe: paulwilliamsfinance@gmail.com
Wasiliana nasi sasa.
Habari
ni wewe kutafuta kwa msaada wa kifedha haja mkopo kulipia bili madeni kununua nyumba gari nk sisi kutoa kila aina ya mkopo na sisi kutoa mkopo katika 2% kiwango cha interst hivyo kama unahitaji mkopo wewe ni email yetu leo katika {REMY.CREDIT111 @ GMAIL.COM}
Fomu ya mkopo Maombi Kuwa Kujazwa Chini:
Fomu ya mkopo Maombi Kuwa Kujazwa Chini:
Jina la kwanza:......................... ....
Jina la familia:......................... ....
Nchi: ...................... ..........
Jimbo ........................ .............
Kiasi: ....................... .........
Mkopo Duration: .....................
Nambari ya simu:.....................
Idadi Fax: ........................
Kazi: ................... .......
Tarehe Ya Ku Zaliwa:......................
Mapato kwa mwezi: .................
Jinsia: .......................... .........
kuwa na wewe kuomba mkopo kabla? ..................
Sisi kusubiri jibu lako katika barua yetu [REMY.CREDIT111@GMAIL.COM}
THANKS na Mungu akubariki
Siku njema,
Je, unahitaji haraka mkopo kuanza
up biashara, au unahitaji mkopo
kwa refinance, Je, unahitaji mkopo kwa
kulipa deni? Je, unahitaji mkopo
kununua gari au nyumba? Kama ndiyo wasiwasi
tena, Tunaweza kukusaidia !!! mawasiliano
nasi sasa kupitia E-mail kwa haraka yako
mkopo.
E-mail:
davidadelekeloancompany@yahoo.com
Asante.
Mr David Adeleke
-
Post a Comment