Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Tuesday, December 3, 2013

Mkuki ni kwa Nguruwe-39



‘Bado mmoja ..’ ikawa ndio wimbo wangu wa motisha, nikijua kuwa sasa nimeshinda, iliyobakia ni kuwaweka wote wale walioamua kuvunja ahadi yao ya uaminifu hadharani, na ikibidi kuwawajibisha, mimi kama mimi nitafanya yale niliyo na uwezo nayo, nay ale yaliyojuu ya uwezo wangu nitawaachia wenyewe ,

Kiukweli ushahidi niliokuwa nao ulikuwa unatosha kabisa, kufanya lolote,  lakini kuna baadhi ya mambo nilihitajika kuyafuatilia, ili kuhakiki, na sikutaka kutumia nguvu, sana, ni hekima ndogo tu....

Tuendelee na kisa chetu.

                                                             *********




WAZO LA LEO: Maisha ya ndoa sio kuonyeshana ubabe, kuwa ni nani zaidi, maisha ya ndoa ni makubaliano , yenye lengo jema, kwani wanandoa ni kitu kimoja, ili mfanikiwe kwenye safari yenu ya upendo na furaha, ni vyema kila mmoja akajiona ni muhusika mkuu, kwa nafasi yake. Kila mmoja amjali mwenzake,amsaidie mwenzake, amjali na hapo  hekima busara na upendo ndivyo viwe dira yenu.
Ni mimi: emu-three

1 comment :

Pam said...

duh hii kali kuliko how comes upendo wooote upotee na kuwa visasi!