Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Tuesday, November 16, 2010

IDD NJEMA -IDD MUBARAKA

               BLOG YENU INAWATAKIA IDD NJEMA NYOTE NA FAMILIA ZENU




                                                                 IDD MUBARAKA

 

Ni mimi: emu-three

8 comments :

Simon Kitururu said...

Idd KIBONGE kwako pia Mkuu!

malkiory said...

Asante! Heri na kwako pia.

Anonymous said...

Asante sana mpendwa, Idd njema nawe pia. Mwenyezi mungu atupe uzima tuwzi kutana tena Alhamis, akujalie visa vingi vingi ili tuzidi kupata mambo mapya toka kwako.

Yasinta Ngonyani said...

Nawe pia Idd njema sana!!

chib said...

Huku hakuna cha idd wala nini

Jane said...

Leo wapi M3 jamani tunakumiss sio siri, au bado uko Idd????????? Please hope utaenda kutupa kitu kabla haijafika jioni??????? kazi njema na karibu sana janvin.

emuthree said...

Jane, hutaamini,yaani tangu asubuhi nilikuwa Ofisi za Kindondonii nikifuatilia maswala ya ardhi ya wanye kampuni ninapoganga njaa. Nimepigwa na jua na bado sikufanikiwa.
Niliporudi ofisini, kabla sijamuona bosi aliyenituma, nikasema lazima niandike angalau kidogo sehemu inayofuatia, na karibuni sana msikie nini kilifuatia,...

mumyhery said...

shukran nawewe pia na familia kwa ujumla