Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Monday, October 18, 2010

Muonekano mpya

Katika kujaribu kuiboresha blog yenu hii mtaona mabadiliko ya hapa na pale, msitie shaka vitu ni vile vile, na mambo ni yaleyale, ni katika maboresho yanayofanywa na mpendwa wetu sub, yeye ni mpendwa wa wote na kwa moyo wake wa upendo yupo ndani ya blog hii akiiboresha katika muonekano mpya, na sote tunastahili kumpa shukurani kubwa sana. Tutaliongelea hili zaidi muda ukifika, karibuni tuendelee na sehemu ya pili ya kisa chetu cha Mbunge aliyekosa mwana na maji ya moto.
mimi: emu-three

3 comments :

Simon Kitururu said...

Tuko Pamoja Mkuu!

Yasinta Ngonyani said...

Wow! safi sana kwa kweli inapendeza. Kazi nzuri Sub..... na mmiliki wa blog hii pia kwa kumruhusu Sub kuiboresha .

EDNA said...

tunasubiri kwa hamu mabadiliko.Kazi nzuri.