Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha
Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..
Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.
MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.
TUPO PAMOJA DAIMA
Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;
https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:
https://www.facebook.com/diaryyangu/
`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;
Tuesday, August 10, 2010
Heri ya Ramadhani
Heri ya Ramadhani
Ni mimi: emu-three
4 comments :
Hatutaki kuona visingizio eti mimi nina vidonda vya tumbo, mimi nina presha ya kupanda na kushuka , kwanza vyote hivyo kufunga ndio tiba, kama mngelijua.
Tunawatakia funga njema
Inshallah mmm ni kwanza ni jambo la kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutuwezesha kuikaribia ramadhani nyingine.
Kweli mummy tuache visingizio hivyo waislamu wenetu jamani kwa kufunga pamoja na kuweka kando mabaya na maovu.
Kujistiri na kuswali zaidi ni muhimu, wishing u all ramadhan kareem
Nawatakieni kila la kheri katika mfungo huu wa ramadhani!!
Shukran Miriam na kwako pia
Post a Comment