Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Thursday, July 29, 2010

Hii sasa ni laana


'Hii ni harusi ambayo sijawahi kuiona katika maisha yangu yote, kila mtu aliamua kuja kushuhudia kuwa je harusi hiyo ipo na ni kweli, mimi mwanzoni sikujua na kwa uroho wangu wa kuzamia harusi za watu nikzamia ndani, nimekoma, na hili ni fundisho kwangu, sidhani kama nitazamia tena....' Jamaa akavua miwani yakee kufuta vumbi na kuwaangalia wenzake ambao walikuwa makini kumsikiliza.
'Kwani wewe siumesema waowaji unawafahamu, kwanini usipewe kadi au ndiyo hiyo tabia yako ya kuzamia harusi za watu ndio maana watu hawataki hata kukupa kadi, hata kuchangia harusi hutaki, umezidi sana ...' akadakia mtu mwingine.
'Hiyo sio harusi ya kupewa kadi, kwanza wangeanzia wapi, hiyo ni harusi ya wao kwa wao, na ushetani wao'
'Kwanini useme hivyo, siumesema jamaa hawo unawaelewa, na nafikiri ujirani mwema ni kusaidiana eti?' akadakia mwingine.
 'Hivi nyinyi mnanionaje mimi, mnafikiri imani yangu ya dini ni ya kubahatisha, siwezi kujitia mafuta ya taa mwenyewe mwilini na mwisho wa siku niteketee na moto nisiouwasha mimi..Hiyoharusi uliyehudhuria, aliyechangia na aliyejitia ushabiki wote watateketea na moto, sasa kwa vile sikujua inabidi niombe toba sana' akasema kwa hasira, kiasi kwamba hata waliokuwepo jirani ilibidi wavutike na mazungumzo hayo. hata mimi ilibidi nishangae kwanini jamaa akasirike hivyo na harusi hiyo ilikuwa ya namana gani mpaka iitwe ya kishetani.
 'Kwani ilikuwaje, hebu tuelezee maana hapa unatuchanganya, sidhani harusi zina kususiana, vinginevyo una lako jambo' akasema jamaa mwingine.
'Unajua mambo tunayoyafanya binadamu sasa hivi hata shetani hajawahi kuyafanya, na kama Mungu angelikuwa na hasira tungelishaangamia, hii nawaambia kabisa. Sikuamini pale nilipoingia ukumbini, mimi nilifikiria kuwa huyo kijana niliyeambiwa ndiye anayeo-, na kwa vile nilishasikia kuwa ana tabia mbaya, basi nikaona labda kuoa kutamfanya atulie na aachane na hiyo tabia mbaya. Basi nikajimwaga ukumbini bila kualikwa nikiwa na wasiwai wasije wakaniona wapambe,na kila muda ulivyokwenda nilikuwa nikipata mshangao wa sura za ajabu ajabu mle ndani....'
 'Mara nikasikia jamaa mmoja akisema kuwa wanataka kuionyesha dunia kuwa mambo haya yanawezekana, na kwahiyo hiyo itakuwa harusi ya mwaka, na ya kihistoria. Na mara akaingia huyo anayeitwa bibi harusi, kwavile alikuwa ndani ya mavazi ya kike na mashela na aalivyopambwa usingeweza kujua kuwa ni nanani, nilijua kuwa labda ni binti wa watu. Kilichoendelea hapo, nilitamani dunia ipasuke niingie, nilijuta kuzamia harusi za watu na ilibidi nikimbilie maneneo ya toba haraka na kutubu kwa kuhudhuria sherehe za kishetani. Unajua ilikuwa harusi ya nani, ni ya yule kijana anaolewa na mwanaume mwenzake.

Alipofika hapo kila mtu aliondoka kwani taswira ilishaonyesha ni nini anachozungumzia na ukiendelea kusikiliza unaweza ukashikwa na hasira na hatimaye ukafanya lile ambalo hujawahi kulifanya. Na mimi nikajiuliza maswali mengi kichwani , ina maana nchini hapa mambo haya yameshaingia , na kufikia hatua ya kufungisha ndoa watu wa jinsia moja. Hii ni laana, ambayo mwisho wa siku itatuangamiza wote. Kwani walishasema samaki mmoja akioza kwenye tenga, wote wanakuwa wameoza, sasa sisi tupo tayari kuoza kwasababu ya watu wachache?
 Chakusikitisha hawa jamaa nasikia wameanzisha mafunzo ya kuwaharibu watoto wadogo, na watu wanalijua hili, nashindwa kujua kwanini hawawashitaki au wanasubiri nini. Kwasababu, wasione watoto wa wenzao wanaharibiwa, wakaona haiwahusu,inawezekana akaja kuharibiwa mtoto wako mwenyewe bila kujua, ukijua mambo yameshaharibika. Na lawama kubwa pia naitupia serikali, kwanini hawalichukulii hili swala kama moja ya janga kwa vizazi vyetu. Au wao wanaona kuwa watoto wao wataokoka kwa vile wanasoma nje, hawajui hata hawa wanaokuja kuwapa mafunzo watoto wetu wanatokea hukohuko wanakosomea watoto wao.
 Ombi kwa wanajamii, hili sasa ni tatizo kama wamefikia hatua ya kufungishana ndoa, mnafikiri kitakachofuata ni nini kama sio wao kuingia bungeni na kuhalalisha mambo haya ya kishetani. Na kama alivyosema huyu jamaa, hata shetenai atakuja kutukana kwa madhambi tunayoyafanya sasa hivi, kwasababu kila siku tatizso hili linaongezeka, na baya zaidi watoto wetu wanafundishwa hata bila sisi wenyewe kujua,na wazazi wengine wanajua, lakini badala ya kuchukua hatua tunafuga nyoka ndani, na mwisho wa siku itakuja kutugonga wenyewe.
 Huu ni moto umeanza kuwaka, na unaenea kwa kasi, tusipochukua hatua ya kuuzima mapema, ukituzunguka tumekwisha.
 Na mimi nitaanzisha blogi yangu karibuni, naomba niwekee hii kama hutojali.
Mkereketwa

1 comment :

Anonymous said...

Wale wanaharakati wenye imani kali siku hizi wapo wapi, kwanini wasingewarushia hata mawe kuonyesha kuwa watu hawapendi ubaradhuli huo, halafu hii mijitu inaonekana, ni aibu na fedheha, wewe mungu kakuumba mwanaume unaona kakuosea na kuongea kwa pua eti `shoooga' inakera, unajua kukera, hii inakeeeeera
Kama ingelikuwa mimi raisi ningewatupia kisiwa fulani cheney mamba wakatafunwa mmoja mmoja, watatugharikisha hawa.