Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..pia tunakaribisha mijadala na yale yote unayopenda yawemo humu. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthreeFriday, October 10, 2014

DUNIA YANGU-46

                    
 Kesi ilianza kunguruma, upande wa washitakiwa kila mmoja alikuwa na wakili wake, na ni mawakili wa hali ya juu, ambao walisema wazi kuwa wateja wao wameshitakiwa kwa makosa ambayo hawajawahi kutenda na kwahiyo kesi dhidi yao ikipita, na kwa vile wana uhakika wateja wao hawana kesi ya kujibu, watashinda, wao  watawashitakia wote hao waliowadhalilisha wateja wao.

‘Kwanini mna uhakika gani kuwa wateja wenu hawana makosa?’ wakaulizwa

‘Wateja wetu ni wawekezaji tu kwenye hoteli hiyo na mirai mingine, mambo yanayotendeka huko ndani, hawahusiki sana,…’akasema

‘Kwahiyo pesa zao zimetumika vibaya, kuwa watendaji badala ya kufanya shughuli zinazostahili wakawa wamejiingiza kwenye shughuli haramu, na mnachodai nyie ni kuwa wateja wenu hawajui kilichokuwa kikiendelea, lakni je mnajua kuwa shughuli kama hizo zilikuwa zikitendeka?’ wakauliza waandishi wa habari

‘Shughuli zipi?’ akauliza

‘Kuunda kundi haramu lenye malengo mabaya ya kukiuka sheria za nchi ‘akaambiwa

‘Hilo la kuundwa kwa kundi haramu sisi hatujui, wateja wetu hawajui, kama liliundwa na kama lipo, wao hawajui,na hatuwezi kuongea zaidi ila mtaona wenyewe ndani ya mahakama…’wakasema mawakili hao kwa kujiamini.

Upande wa waendesha mashitaka walitamba wakisema hao wote waliokamatwa ni wafadhili wa kundi hilo haramu , wametoa mali zao, kwa kufadhili ugaidi, na kujenga hilo kundi, na kila kitu wanacho kuhakikisha kuwa wote hao walioshitakiwa wanawajibika kisheria, na kundi hilo haramu litakufa.

‘Ni nani kiongozi wao?’ wakauliza waandishi wa habari.

‘Kiongozi wao inasemakama amekufa…’akasema

‘Kwanini unasema inasemekana , nyie hamna uhakika huo?’ wakaulizwa

‘Tutalijua hilo mbele ya mahakama..’akasema muendesha mashitaka.

Na wote wakaingia ndani na kesi ikaanza;

‘Upande wa kuendesha mashitaka ukaanza kujenga hoja yao kwa kuelezea kwa muhutasari kabla ya kuita mashahidi wao mmoja baada ya mwingine, walianzia mbali hadi kufikia kifo cha muheshimiwa, kuonyesha kuwa kifo hicho kilitengenezwa, muheshimiwa alifanyiwa hujuma, hujuma ambayo ilikuja kusababisha shinikizo la damu, na hadi kufikia kupatwa na umauti.

‘Muheshimiwa huyo hakuwa na tatizo la shinikizo la moyo kabla, alikuwa na afya yake nzuri tu, ghafla akakumbana na hilo kundi, wakitaka ajiunge nalo, kwa vile alionyesha kuwa mwanasiasa mwenye nguvu, lakini yeye hakukubaliana na wao, akawapinga, na ndipo wakaanza kumsakama kwa kumuanzishia kashifa nzito, …’akasema muendesha mashitaka.

‘Kashifa hizo wamekuwa wakizitumia kwa watu wengi waliotakiwa kujiunga na kundi hilo, na waliokubalia wakajiunga, na utaona mabadiliko yao, walipata utajiri wa haraka tu….bila kuona vyanzo vya mapato hayo, na hata kama vipo, lakini isingeliwezekana kufanikiwa kwa haraka kiasi hicho…’akatulia kidogo.

‘Na kuna ambao hawakukubaliana kujiunga na kundi hilo, hao wakaanza kuandamwa kwa kashifa mbali mbali, na kama walizidi kukaidi, ziktumiwa nguvu, kuhakikisha watu hao wanapotea, kama alivyopotea muheshimiwa…na mke wa Inspecta…’akasema muendesha mashitaka.

Kabla hajaendelea zaidi, upande wa utetezi ukaweka pingamizi kwa madai kuwa muendesha mashitaka anashindwa kujenga hoja, kwa mashitaka yanayowakabili washitakiwa, na anageuza mahakama kama uwanja wa siasa, kwanini anaongea tu bila kutoa ushahidi wowote kuthibitisha kuwa washitakiwa wanahusika na mashitaka hayo.

Muendesha mashitaka akasema, yeye anajaibu kutoa muhutasari wa kesi hiyo nzima, na kila kitu kipo tayari.

‘Hata ukiona taarifa ya kifo cha muheshimiwa huyo utaona ilivyo na uwalakini, ni taarifa isyokamilika..’akasema muendesha mashitaka.

‘Tunataka taarifa hiyo ya dakitari isomwe mbele yetu tuisikie na watuonyeshe uwalakini wake ni nini na hiyo taarifa inawahusu nini washitakiwa….’ akasema mtetezi, na ile taaarifa ikasomwa, dakitari akionyesha kuwa kweli muheshimiwa huyo alikufa kwa shinikizo la moyo

‘Sasa hebu tuambieni , uwalakini wake hapo ni nini, na ni nani wa kumuamini, kauli zenu nyie waendesha mashitaka  au kauli za dakitari, tunaongelea dakitari bingwa na je washitakiwa hawa wanahusika vipi na taarifa ya doctari huyo bingwa?’ akasema mtetezi.

‘Unafahami ni nani dakitari huyu, aliyeandika hiyo taarifa?’ akauliza muendesha mashitaka

‘Tukuulize wewe uliyeleta hiyo taarifa kama ushahidi…’akasema mtetezi

‘Tumeleta hapa kama kielelezo cha ushahidi ndio, lakini taarifa hii haijakamilika, labda nikuulize wewe je unamfahamu dakitari huyo aliyeandika hii taarifa?’ akauliza muendesha mashitaka.

‘Unaniuliza mimi, kwani ni mimi niliyeleta hicho kilelezo, ningekuuliza wewe….’akasema mtetezi

‘Wewe umemtetea kuwa huyo ni dakitari bingwa ina maana unamfahamu unamuamini au sio?’ akaulizwa

‘Ndio namuamini, kwasababu ni dakitari bingwa kweli, anayefahamika, kitaaluma na kisheria, hatuwezi kutia shaka kwenye kazi yake, maana anafahamu anachokifanya....’akasema mtetez

‘Ina maana unamfahamu huyo dakitari ndio au sio..’akaambiwa

‘Ndio namfahamu, ni docta Chize, nimeona sahihi na jina lake hapo, sina shaka naye …’akasema

‘Ndugu muheshimiwa hakimu, tunaomba tusikie sifa za huyu doctari toka alipokuwa akifanya kazi kwenye hospitali kuu, je docta huyu alikuwaje…’akasema muendesha mashitaka.

‘Hilo sio muhimu, alikuwaje enzi hizo, ni tofauti na alipokuwa sasa, wewe ulipokuwa zamani kabla hujajiendeleza, ukasoma ukapata huo uwakili, sio sawa na sasa ambapo umejiendeleza na kupata huo uwakili, kwahiyo hilo halina maana, sio muhimu na haliendani na kesi yetu hii…’mtetezi akasema

‘Tabia na hulka ya mtu haibadiliki sana kutokana na elimu, kuna tabia ambazo ni za kimambile, kuna tabia ambazo ni hulka, tabia za kihistoria, ….ndio unaweza kusoma, ukazirekebisha hizo hulka kutokana na elimu uliyopata, lakini tabia nyingine, unaweza ukaziendeleza kinamna, kutokana na elimu hiyo, ukaziboresha japokuwa ni mbaya, na zina malengo mabaya kwa jamii…’akasema muendesha mashitaka.

‘Hayo ni mawazo yako, yaweke kisheria na kiutaratibu, je una mashaka na elimu ya huyo docta, je unafikiri alichofanya sio sahihi, kama unapingana na elimu yake,taaluma yake, ina maana unawapinga hao waliomuhitimu, huko Ulaya aliposoma, ….’akasema mtetezi.

‘Hatujapingana na taaluma yake, lakini tukumbuke taaluma hizo hizo zinaweza kutumiwa vibaya, watu wakafanya maasi kwa kupitia kwenye hizo hizo taaluma zao, kitaalamu zaidi, hili tutalithibitisha kwa vielelezo, sio kwamba tunaongea tu kufurahisha baraza…’akasema muendesha mashitaka.

‘Haya thibitisha hilo, kama wewe unaweza kupingana na taaluma adimu kama hiyo, unajua unamzungumzia docta bingwa, ambaye kasoma na kuthibitishwa huko Ulaya, na huko Ulaya wenyewe wanamuhitajia sana…’akasema

‘Hatujakataa taaluma yake, hatujasema hajasoma, na hutajakosa waliomthibitisha, ni kweli ni docta bingwa kitaaluma, lakini tunachokiangalia hapa ni matendo mengine ambayo yametumiwa kwa mgongo wa hiyo taaluma, na hili huenda limetokana na shinikizo au hulka na tabia ya mtu mwenyewe, pia kutokana na shinikizo la wafadhili wenye pesa zao, ambao leo tumewafikisha mbele ya mahakama yako hii tukufu…’akasema

‘Tunataka huo uthibitisho, kuwa kweli taaluma yake ,na hicho alichandika kuthibitisha kuwa muheshimiwa hakufa kifo cha shinikizo la damu sio sahihi, na uthibitishp kuwa wafadhili wawekezaji wanahusika vipi na mambo ya utendaji wa taaluma ya huyu docta hadi kufikia kushitakiwa…’akasema mtetezi.

‘Bado hujanielewa, lengo letu ni kuonyesha kuwa taaluma yake ilitumiwa kuthibitisha tu,..na washitakiwa hawa, walitumia pesa na utajiri wao, kuwashinikiza wataalamu hawa kuandika wanavyotaka wao..

‘Lakini pia kwenye taarifa hii haijabainisha wazi, ni kwanini muheshimiwa huyo alifikia hadi kupatwa na shinikizo hilo la damu, ambalo lilisababisha kifo chake, kuna sababu nyingi, je docta huyo alishindwa kuzianisha, alichothibitisha hapo ni kuwa muheshimiwa kafa kwa shinikizo la damu, hakuna uthibitisho wa uchunguzi wa kina, ni kwasababu gani hakufanya hivyo..’akasema muendesha mashitaka.

Muheshimiwa hakimu ikabidi aingilie kati, na kuwauliza wataalamu hao wa sheria ni kipi kinachogomba hapo, ni uwalakini wa taaluma, au ni kukiukwa kwa taaluma yenyewe?

‘Tuwaulize wanaomtilia mashaka docta huyo…’wakasema watetezi.

‘Ndugu muheshimiwa hakimu, kesi hii imegubikwa na sintofahamu nyingi, kwani wanataaluma hawa waliobobea, walitumiwa na kutumiwa taaluma zao vibaya na watu wenye nia mbaya, watu wenye pesa zao, wafadhili, …hao walioletwa mbele ya mahakama yako tukufu.

 Ni kweli watu hao kama huyo docta, wana taaluma zao, wana sifa kamili za taaluma zao , lakini wajanja wenye pesa wakaja kuzitumia taaluma hizo kwa manufaa yao,….’akasema

‘Kwahiyo wewe unasema ni ukiukwaji wa taaluma zao…’akasema hakimu

‘Ni utumiwaji vibaya, wa taaluma, taaluma zao zimekuwa kificho cha maovu, na huenda hata wao wenyewe hawakuwa wakikubaliana na hilo, lakini kwa shinikizo mbalimbali kutoka kwa hawa watu wenye utajiri na nguvu mbali mbali za madaraka, ikabidi wakubali, wafanya hayo wanayotaka hao wenye nia mbaya…’akasema

‘Naona ulithibitishe hilo kwa ushahidi, ..’akasema hakimu

‘Namuita docta Chize afike kama shahidi wetu….’akasema muendesha mashitaka.
Watu wakaguna,na minong’ono ikasikika ya chini kwa chini,

‘Docta chize hayupo ….’akasema msimamizi wa mashahidi na kumfanya muendesha mashitaki kumuangalia kwa mshangao, akasema kwa sauti ya ndogo

‘Lakini alitakiwa kuwepo leo, kaenda wapi?’ akauliza muendesha mashitaka

‘Ndio tulikuwa na uhakika kuwa atafika, sasa kilichotokea hatukutajia, hajulikani wapi alipo,…ametoweka kiajabu..’akasema msimamizi huyo.

‘Haiwezekani, mbona hamkuniambia mapema…’akawa analalamika muendesha mashitaka kwa msimamizi wake, na yule msimamizi akamsogelea muendesha amshitaka, wakawa wanateta chini kwa chini, na ilionyesha wazi kuwa kuna tatizo kubwa limetokea

‘Je hakuna shahidi mwingine wa kuthibitisha hoja yako?’ akauliza hakimu.

‘Ndugu muheshimiwa hakimu, naona hapa kuna tatizo limejitokeza,kwani mashahidi wote waliotakiwa kuwepo leo wametoweka kiajabu, hii inathibitisha kuwa kuna jambo kubwa limewapata, na hizi ni njama za hili kundi…’akasema muendesha mashitaka.

‘Hiyo ilikuwa ni kazi yako kuhakikisha kuwa mashahidi wote wanakuwepo hii leo, mahakama haitaki uzembe wa namna hiyo, na hatuwezi kuendesha hii kazi kwa utaratibu kama huo, je wamekwenda wapi hao mashahidi wako ?’ akauliza hakimu

‘Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kuwa mashahidi hao wametoweka toka jana…’akasema muendesha mashitaka.

‘Toka jana na wewe usiwe na taarifa, ukaja kutoa taarifa kabla ya kesi haijaanza, unataka mahakama ikuelewe vipi,….’mara akakatiza kwani ghafla mlangoni kulionekana mtu akiingia

‘Nani wewe unasukuma watu…?’ akauliza hakimu

Kule kwenye eneo la malngoni akaingia jamaa mmoja mwenye madevu akasogea hadi pale aliposimama muendesha mashika na kunong’onezana na muendesha mashitaka, na muendesha mashitaka akasema;

‘Ndugu muheshimiwa hakimu, kwa taarifa zilizotufikia sasa hivi ni kuwa mashahidi wote waliotakiwa kuwepo leo wameshikiliwa na kundi hilo haramu, na wapo kwenye hatari ya kuuwawa…’akasema na watu wakaguna na minong’ona ikaanza kusikika.

‘Idara ya polisi inasemaje imeweza kujua wapi walipo?’ akauliza Hakimu, sasa na yeye akionyesha wasiwasi.

‘Polisi wameanza kazi yao ya kuwafuatilia, lakini bado hawajagundulikana waipo, inawezekana wameshikiliwa, na huenda wapo hatarii, ila kwa vile hilo lipo mikononi mwa polisi, tungelipenda mahakama yako tukufu ikubali tumuite shahidi ambaye hakuwepo kwenye orodha yetu ya mashahidi hapo awali….

‘Muheshimiwa hakimu tunalipinga hilo, kwasababu kwanini waongeze mashahidi ambao hawakuwepo kwenye orodha….’wakapinga watetezi.

‘Muheshimiwa hakimu, kama ilivyoonekana mashahidi wetu wote hawapo, na kesi inahitajika kuendelea, na tulishajipanga vyema, wao wanajua ni kwanini mashahidi wetu hawapo, na huenda walishajipanga iwe hivyo…’akasema

‘Muheshimiwa hakimu, naona wenzetu wamezidiwa, na sasa wanatunga uwongo, sisi tutawaingiliaje kwenye mashahidi wao, waseme ukweli kesi imewashinda, na watangaze wzi kuwa walifanya makosa kuwashitaki watu wasio na hatia…’wakasema watetezi.

‘Muheshimiwa hakimu, shahidi huyo atakuwa muhimu sana, kwani ataweza kutuongoza hata huko waliposhikiliwa hao mashahidi wetu, tunaiomba mahakama ako tukufu itukubalia ombi letu, ni muhimu sana kwa kesi hii na ni muhimu sana kwa maisha ya hao mashahidi, ambao tunahisi watakuwa kwenye hatari kubwa…’akasema

‘Nataka polisi walifuatilie hili kwa haraka iwezekanavyo, na tupate taarifa za haraka kwani huko ni kuchezea na sheria na mahakama…’akasema hakimu.

‘Kama ni hivyo kwanini shahidi huyo asiende kushirikiana na polisi, maana hapo unazungumzia maisha ya watu, na hapa ataongea tu kutoa ushahidi, kwanza ashirikiane na polisi baadaye ndio utamuweka kwenye kundi la mashahidi wako….’akasema hakimu.

‘Muheshimiwa ahkimu hayo yote tumeshayafanyia kazi, lakini shahdi huyo akisimamishwa mbele ya mahakama yako tukufu, ataweza kutoa ushahidi mkubwa ambao utaweza kusaidia mengi katika hii kesi…’akazidi kusisitiza muendesha mashitaka, na kwa upande wa utetezi, mawakili wakawa wamejikusanya wakiteta jambo.

‘Ni shahidi gani huyo manataka afike hapa mbele?’ akaulizwa

‘Ni Kigagula binti Mzimuni, mama wa mmiliki wa hoteli Ya Paradise….’akasema na watu wakacheka, na wengine hata kutoa sauti ya kejeli, ilionekana kama mzaha,

‘Kigagula, ni huyo mama anayeishi hapo Paradise Hoteli, lakini anafahamika na jamii inayomzunguka kuwa kachanganyikiwa, na unafahamu vyema sheria haimruhusu mtu wa namna hiyo kutoa ushahidi, unalielewa vyema hilo sitaki kukumbusha..’ akauliza hakimu kwa mashaka

‘Huyu mama hajachanganyikwa, muheshimiwa hakimu….’akasema muendesha mashitaka

‘Mna uhakika na hilo, ni ajabu basi ….mnaweza kulithibitisha hilo?’ akauliza hakimu akionyesha wasiwasi na mshangao.

‘Ndio muheshimiwa, tunataka kulithibitisha hilo mbele ya mahakama yako tukufu muheshimiwa, na ndipo utakapojua njama za hawa watu, wapo tayari hata kuwaua wazazi wako kwa ajili ya tamaa ya mali…’akasema muendesha mashitaka

‘Ndugu muheshimiwa hakimu, tunalipinga hilo, maana mama huyu ni mgonjwa, na kweli amechanganyikiwa, hata docta wake anaweza kulithibitisha hilo, hawa watu wamemchukua kwa nguvu, bila kujali hali yake ya kiafya ..’akasema wakili mtetezi.

Hakimu akatulia kwa muda, halafu akawaita mawakili wa pande zote mbili pale mbele na kuanza kuteta nao….


 WAZO LA LEO: Huwezi kuwadanganya watu wakati wote, ukawaonaa wengine hawajui unachokifanya,  hata ukitumia ujanja ujanja wa namna gani, ukaweza kupata unachohitajia, madaraka, utajiri, nk, ipo siku uwongo wako utabainika, kwani njia ya muongo ni fupi.


Ni mimi: emu-three

11 comments :

Anonymous said...

propecia before and after picture [url=http://acheterpropeciafrance.com]propecia perte de cheveux[/url] finasteride avodartcialis flomax [url=http://achetercialisfr.com]cialis achat sur internet[/url] cialis online 5mgorder cialis [url=http://onlinemedox.com]Cialis[/url] generic cialis 60 mgnon prescription viagra online [url=http://fast-sildenafil.com]canadian pharmacy[/url] where to buy cheap viagraviagra for women reviews [url=http://shopnorxmed.com]generic viagra online[/url] viagra no prescription needed

Anonymous said...

This is the direct injection of sperm into harvested ova. [url=http://genonlinepharmacy.com/finpecia.html]finpecia[/url] You may also feel tired when you leave the hospital to go home.There is no single dominant candidate risk factor for prostatitis other than bacteria which are required for bacterial forms of prostatitis. [url=http://genonlinepharmacy.com/canadian-pharmacy-that-takes-paypal.html]canadian pharmacy that takes paypal[/url] General characteristics .The intestinal microbiota gastrointestinal environment and colorectal cancer a putative role for probiotics in prevention of colorectal cancer Am. [url=http://genonlinepharmacy.com/buy-generic-viagra-online.html]buy generic viagra online[/url] F r cos sin .The matter was taken from a sore on the CONQU ER I NG T H E DR E A DE D P OX hand of a dairymaid who was infected by her masters cows and it was inserted on May th into the arm of the boy by means of two superficial incisions barely penetrating the cutis outer skin layer each about half an inch long. [url=http://genonlinepharmacy.com/switching-from-prednisone-to-cortef.html]switching from prednisone to cortef[/url] Elevated levels lead to water retention and excretion of concentrated urine.. [url=http://genonlinepharmacy.com/tretinoin.html]tretinoin[/url] Jaundice a.The present review is an attempt to update the rapidly expanding information on some of the transmittersmodulators believed to be involved in the control of erectile mechanisms centrally and peripherally and that are the basis for the currently used treatments of erectile dysfunction ED. [url=http://genonlinepharmacy.com/prednisone-20mg-tab.html]prednisone 20mg tab[/url] Unlike traditional Xray images each point of the scan is encoded digitally which allows it to be magnified and manipulated as never before and communicated electronically far and wide.The trachea branches into smaller and smaller tubes which finally terminate at tiny cavities called alveoli . [url=http://genonlinepharmacy.com/azithromycin.html]azithromycin[/url] If PPD test is positive a chest xray is needed to rule out active disease.. [url=http://genonlinepharmacy.com/zovirax-generic-over-the-counter.html]zovirax generic over the counter[/url] hyaline membrane disease Acute lung disease commonly seen in the premature newborn.. [url=http://genonlinepharmacy.com/canada-pharmacy-online.html]canada pharmacy online[/url] the leeches lived MECHANICAL LEECH This syringelike suction device enabled surgeons to control the amount of blood removed.Many of the principles discussed above for nonspecific low back pain apply to nonspecific neck pain as well. [url=http://genonlinepharmacy.com/pharmacy-by-mail-from-canada.html]pharmacy by mail from canada[/url] Therefore the muscle force acting on the lower arm must be in the up direction.The machine gradually rotated irradiating different sections of my body. [url=http://genonlinepharmacy.com/viagra-online.html]viagra online[/url] Calcium channel blockers dilate blood vessels and lower blood pressure and are used to treat angina and arrhythmias.Science Baillie J. [url=http://genonlinepharmacy.com/letrozole.html]letrozole[/url] Mrs.

Anonymous said...

overnight cialis [url=http://fastshipcialis.com]Cialis[/url] cialis online expresslevitra package insert [url=http://fastshiplevitra.com]levitra pills online[/url] levitra 5mg side effectsbuy and purchase viagra online [url=http://viagradoseusa.com]canadian pharmacy mall[/url] viagra natural supplementcheap propecia uk [url=http://healthcarerxusa.com]Propecia[/url] subaction showcomments propecia thanks remembercialis import australia [url=http://cheapcialispillsfast.com]canadian pharmacy[/url] viagra cialis on line

Anonymous said...

viagra in woman [url=http://comprarviagraspain.com]foros viagra[/url] viagra purchasebuy viagra online uk [url=http://sildenafilusshop.com]Viagra[/url] viagra online discreetshop viagra online [url=http://fast-sildenafil.com]Viagra[/url] viagra workshow to buy propecia [url=http://healthcarerxusa.com]Propecia[/url] avodart vs propeciausing propecia and minoxidol together [url=http://acheterpropeciafrance.com]resultat propecia[/url] saw palmetto finasteride

Anonymous said...

. [url=http://genonlinepharmacy.com/order-viagra-online.html]order viagra online[/url] macrocephaly .The cells in the basal layer are constantly growing and multiplying and are the source of all the other cells in the epidermis. [url=http://genonlinepharmacy.com/cialis-tablets-for-sale.html]cialis tablets for sale[/url] Chronic prostatitis a.. [url=http://genonlinepharmacy.com/canadian-pharcharmy-online.html]canadian pharcharmy online[/url] break in bone with wound in skin .Pressuresupport ventilation PSV a. [url=http://genonlinepharmacy.com/buy-cialis-online-europe.html]buy cialis online europe[/url] bending the sole of the foot downward F.Immunity to diphtheria by production of antibodies is induced by the administration of weakened toxins antigens beginning between the sixth and eighth weeks of life. [url=http://genonlinepharmacy.com/buy-name-brand-viagra-cialis-online.html]buy name brand viagra cialis online[/url] Prostatespecific antigen and prostatitis in men under fifty.The sensitivity of the ear is partly due to the mechanical construction of the ear which amplifies the sound pressure. [url=http://genonlinepharmacy.com/finpecia.html]finpecia[/url] fasciotomy O Circle the term that best ts the given denition.. [url=http://genonlinepharmacy.com/canadian-pharmacy-no-rx-needed.html]canadian pharmacy no rx needed[/url] hyperglycemia .Over half of people who have a stroke are able to function and live at home. [url=http://genonlinepharmacy.com/non-generic-prednisone-online.html]non generic prednisone online[/url] But gradually sense prevailed.m sec Since the horizontal component of the launching velocity v x is the running velocity the magnitude of the launching velocity is v v x v y . [url=http://genonlinepharmacy.com/240-buying-amoxicillin-trihydrate-500mg.html]240 buying amoxicillin trihydrate 500mg[/url] These medications should be taken for only a few days.Positive clinical experience with the drug has been reported Lance et al. [url=http://genonlinepharmacy.com/generic-cialis-overnight-delivery.html]generic cialis overnight delivery[/url] These can be found in many basic physics texts see for example .There are two main types of chronic prostatitis Chronic bacterial prostatitis Chronic prostatitisCPPS See separate leaflet called Acute prostatitis for further details on acute prostatitis. [url=http://genonlinepharmacy.com/azithromycin-from-amazon.html]azithromycin from amazon[/url] If there is uncertainty perform the following tests to confirm the diagnosis.Dentistry was also practiced. [url=http://genonlinepharmacy.com/acyclovir.html]acyclovir[/url] For this procedure a hollow needle is inserted Sulci Gyri body movement PARIETAL LOBE body sensations visual and spatial perception FRONTAL LOBE thought processes behavior personality emotion OCCIPITAL LOBE vision Wernicke area language Broca area comprehension language expression TEMPORAL LOBE hearing understanding speech language FIGURE Left cerebral hemisphere lateral view.

Anonymous said...

generic viagra discreet [url=http://achatpriligyfrance.com]priligy equivalent[/url] average viagra pricekamagra now [url=http://shopsildenafilus.com]kamagra stockholm leverans[/url] kamagra side effectslevitra 25 [url=http://fast-vardenafil.com]Levitra[/url] generic discount levitraviagra canada shop review [url=http://shopnorxmed.com]canadian pharmacy 24h[/url] buy female viagra in australiacialis acid reflux [url=http://fast-tadalafil.com]cialis price[/url] order cialis online

Anonymous said...

buy cialis cheap [url=http://cialisfor.com]buy cialis[/url] which is best cialis or viagralevitra information [url=http://shoplevitra.com]levitra online best price[/url] levitra without prescriptionbrand cialis no prescription [url=http://onlinemedox.com]online drugstore[/url] cialis videoviagra vision loss [url=http://achatpriligyfrance.com]priligy prix a paris[/url] generic cheap viagraviagra fast no prescription required [url=http://achatviagrafr.com]viagra sans ordonnance belgique[/url] viagra addiction

Anonymous said...

cialis mixed with viagra [url=http://achetercialisfr.com]cialis 5 posologie[/url] picture of cialiscanadian pharmacy price check [url=http://fastshipviagra.com]healthy male viagra[/url] cheap price viagracoumadin viagra [url=http://comprarpriligyspain.com]priligy quanto prima[/url] viagra online canadian pharmacy paypalviagra online uk reviews [url=http://viagradoseusa.com]viagra 100 mg best price[/url] viagra naturalhistory viagra [url=http://sildenafilusshop.com]Viagra[/url] viagra last longer

Anonymous said...

order viagra prescription [url=http://viagradoseusa.com]order viagra online[/url] cheap viagra online without prescriptionhow long does viagra stay in system [url=http://achatpriligyfrance.com]priligy super p-force[/url] uk viagraviagra nhs cost [url=http://fast-sildenafil.com]best price 100mg generic viagra[/url] cheap quality viagraonline canadian pharmacy levitra [url=http://shoplevitra.com]buy cheap generic levitra online[/url] viagra levitra cialis onlinecialis pill splitter [url=http://fast-tadalafil.com]cialis[/url] cialis japan

Anonymous said...

accutane lawsuits appeal [url=http://fast-isotretinoin.com]roaccutane buy[/url] accutane lab testsgeneric viagra pharmacy reviews [url=http://achatviagrafr.com]achat viagra legal[/url] online order viagrageneric viagra images [url=http://fastshipviagra.com]different types of viagra[/url] safe generic viagrano prescription kamagra oral jelly usa [url=http://shopsildenafilus.com]beli kamagra malaysia[/url] pattaya kamagracialis boots price [url=http://onlinemedox.com]over the counter cialis substitute[/url] when to take cialis

Anonymous said...

viagra or levitra [url=http://buyviagraeu.com]viagra online usa[/url] hydrochlorothiazide and viagraviagra levitra and cialis [url=http://comprarpriligyspain.com]priligy costo[/url] viagra use in childrenactive ingredient cialis [url=http://buycialiseu.com]brand cialis online no prescription[/url] side effects cialislevitra pill cutter [url=http://levitrashop.com]eva pills levitra[/url] is it safe to buy levitra onlineheadache pain propecia relief viagra [url=http://comprarpropeciaspain.com]propecia de 10 mg[/url] hair loss propecia stop