Kesi
ilianza kunguruma, upande wa washitakiwa kila mmoja alikuwa na wakili wake, na
ni mawakili wa hali ya juu, ambao walisema wazi kuwa wateja wao wameshitakiwa
kwa makosa ambayo hawajawahi kutenda na kwahiyo kesi dhidi yao ikipita, na kwa
vile wana uhakika wateja wao hawana kesi ya kujibu, watashinda, wao watawashitakia wote hao waliowadhalilisha
wateja wao.
‘Kwanini
mna uhakika gani kuwa wateja wenu hawana makosa?’ wakaulizwa
‘Wateja
wetu ni wawekezaji tu kwenye hoteli hiyo na mirai mingine, mambo yanayotendeka
huko ndani, hawahusiki sana,…’akasema
‘Kwahiyo
pesa zao zimetumika vibaya, kuwa watendaji badala ya kufanya shughuli
zinazostahili wakawa wamejiingiza kwenye shughuli haramu, na mnachodai nyie ni
kuwa wateja wenu hawajui kilichokuwa kikiendelea, lakni je mnajua kuwa shughuli
kama hizo zilikuwa zikitendeka?’ wakauliza waandishi wa habari
‘Shughuli
zipi?’ akauliza
‘Kuunda
kundi haramu lenye malengo mabaya ya kukiuka sheria za nchi ‘akaambiwa
‘Hilo
la kuundwa kwa kundi haramu sisi hatujui, wateja wetu hawajui, kama liliundwa
na kama lipo, wao hawajui,na hatuwezi kuongea zaidi ila mtaona wenyewe ndani ya
mahakama…’wakasema mawakili hao kwa kujiamini.
Upande
wa waendesha mashitaka walitamba wakisema hao wote waliokamatwa ni wafadhili wa
kundi hilo haramu , wametoa mali zao, kwa kufadhili ugaidi, na kujenga hilo
kundi, na kila kitu wanacho kuhakikisha kuwa wote hao walioshitakiwa
wanawajibika kisheria, na kundi hilo haramu litakufa.
‘Ni
nani kiongozi wao?’ wakauliza waandishi wa habari.
‘Kiongozi
wao inasemakama amekufa…’akasema
‘Kwanini
unasema inasemekana , nyie hamna uhakika huo?’ wakaulizwa
‘Tutalijua
hilo mbele ya mahakama..’akasema muendesha mashitaka.
Na
wote wakaingia ndani na kesi ikaanza;
‘Upande
wa kuendesha mashitaka ukaanza kujenga hoja yao kwa kuelezea kwa muhutasari
kabla ya kuita mashahidi wao mmoja baada ya mwingine, walianzia mbali hadi
kufikia kifo cha muheshimiwa, kuonyesha kuwa kifo hicho kilitengenezwa,
muheshimiwa alifanyiwa hujuma, hujuma ambayo ilikuja kusababisha shinikizo la
damu, na hadi kufikia kupatwa na umauti.
‘Muheshimiwa
huyo hakuwa na tatizo la shinikizo la moyo kabla, alikuwa na afya yake nzuri
tu, ghafla akakumbana na hilo kundi, wakitaka ajiunge nalo, kwa vile alionyesha
kuwa mwanasiasa mwenye nguvu, lakini yeye hakukubaliana na wao, akawapinga, na ndipo
wakaanza kumsakama kwa kumuanzishia kashifa nzito, …’akasema muendesha
mashitaka.
‘Kashifa
hizo wamekuwa wakizitumia kwa watu wengi waliotakiwa kujiunga na kundi hilo, na
waliokubalia wakajiunga, na utaona mabadiliko yao, walipata utajiri wa haraka
tu….bila kuona vyanzo vya mapato hayo, na hata kama vipo, lakini
isingeliwezekana kufanikiwa kwa haraka kiasi hicho…’akatulia kidogo.
‘Na
kuna ambao hawakukubaliana kujiunga na kundi hilo, hao wakaanza kuandamwa kwa
kashifa mbali mbali, na kama walizidi kukaidi, ziktumiwa nguvu, kuhakikisha
watu hao wanapotea, kama alivyopotea muheshimiwa…na mke wa Inspecta…’akasema
muendesha mashitaka.
Kabla
hajaendelea zaidi, upande wa utetezi ukaweka pingamizi kwa madai kuwa muendesha
mashitaka anashindwa kujenga hoja, kwa mashitaka yanayowakabili washitakiwa, na
anageuza mahakama kama uwanja wa siasa, kwanini anaongea tu bila kutoa ushahidi
wowote kuthibitisha kuwa washitakiwa wanahusika na mashitaka hayo.
Muendesha
mashitaka akasema, yeye anajaibu kutoa muhutasari wa kesi hiyo nzima, na kila
kitu kipo tayari.
‘Hata
ukiona taarifa ya kifo cha muheshimiwa huyo utaona ilivyo na uwalakini, ni
taarifa isyokamilika..’akasema muendesha mashitaka.
‘Tunataka
taarifa hiyo ya dakitari isomwe mbele yetu tuisikie na watuonyeshe uwalakini
wake ni nini na hiyo taarifa inawahusu nini washitakiwa….’ akasema mtetezi, na
ile taaarifa ikasomwa, dakitari akionyesha kuwa kweli muheshimiwa huyo alikufa
kwa shinikizo la moyo
‘Sasa
hebu tuambieni , uwalakini wake hapo ni nini, na ni nani wa kumuamini, kauli
zenu nyie waendesha mashitaka au kauli
za dakitari, tunaongelea dakitari bingwa na je washitakiwa hawa wanahusika vipi
na taarifa ya doctari huyo bingwa?’ akasema mtetezi.
‘Unafahami
ni nani dakitari huyu, aliyeandika hiyo taarifa?’ akauliza muendesha mashitaka
‘Tukuulize
wewe uliyeleta hiyo taarifa kama ushahidi…’akasema mtetezi
‘Tumeleta
hapa kama kielelezo cha ushahidi ndio, lakini taarifa hii haijakamilika, labda
nikuulize wewe je unamfahamu dakitari huyo aliyeandika hii taarifa?’ akauliza
muendesha mashitaka.
‘Unaniuliza
mimi, kwani ni mimi niliyeleta hicho kilelezo, ningekuuliza wewe….’akasema
mtetezi
‘Wewe
umemtetea kuwa huyo ni dakitari bingwa ina maana unamfahamu unamuamini au sio?’
akaulizwa
‘Ndio
namuamini, kwasababu ni dakitari bingwa kweli, anayefahamika, kitaaluma na
kisheria, hatuwezi kutia shaka kwenye kazi yake, maana anafahamu
anachokifanya....’akasema mtetez
‘Ina
maana unamfahamu huyo dakitari ndio au sio..’akaambiwa
‘Ndio
namfahamu, ni docta Chize, nimeona sahihi na jina lake hapo, sina shaka naye …’akasema
‘Ndugu
muheshimiwa hakimu, tunaomba tusikie sifa za huyu doctari toka alipokuwa
akifanya kazi kwenye hospitali kuu, je docta huyu alikuwaje…’akasema muendesha
mashitaka.
‘Hilo
sio muhimu, alikuwaje enzi hizo, ni tofauti na alipokuwa sasa, wewe ulipokuwa
zamani kabla hujajiendeleza, ukasoma ukapata huo uwakili, sio sawa na sasa
ambapo umejiendeleza na kupata huo uwakili, kwahiyo hilo halina maana, sio
muhimu na haliendani na kesi yetu hii…’mtetezi akasema
‘Tabia
na hulka ya mtu haibadiliki sana kutokana na elimu, kuna tabia ambazo ni za
kimambile, kuna tabia ambazo ni hulka, tabia za kihistoria, ….ndio unaweza
kusoma, ukazirekebisha hizo hulka kutokana na elimu uliyopata, lakini tabia
nyingine, unaweza ukaziendeleza kinamna, kutokana na elimu hiyo, ukaziboresha
japokuwa ni mbaya, na zina malengo mabaya kwa jamii…’akasema muendesha
mashitaka.
‘Hayo
ni mawazo yako, yaweke kisheria na kiutaratibu, je una mashaka na elimu ya huyo
docta, je unafikiri alichofanya sio sahihi, kama unapingana na elimu
yake,taaluma yake, ina maana unawapinga hao waliomuhitimu, huko Ulaya
aliposoma, ….’akasema mtetezi.
‘Hatujapingana
na taaluma yake, lakini tukumbuke taaluma hizo hizo zinaweza kutumiwa vibaya,
watu wakafanya maasi kwa kupitia kwenye hizo hizo taaluma zao, kitaalamu zaidi,
hili tutalithibitisha kwa vielelezo, sio kwamba tunaongea tu kufurahisha
baraza…’akasema muendesha mashitaka.
‘Haya
thibitisha hilo, kama wewe unaweza kupingana na taaluma adimu kama hiyo, unajua
unamzungumzia docta bingwa, ambaye kasoma na kuthibitishwa huko Ulaya, na huko Ulaya
wenyewe wanamuhitajia sana…’akasema
‘Hatujakataa
taaluma yake, hatujasema hajasoma, na hutajakosa waliomthibitisha, ni kweli ni
docta bingwa kitaaluma, lakini tunachokiangalia hapa ni matendo mengine ambayo
yametumiwa kwa mgongo wa hiyo taaluma, na hili huenda limetokana na shinikizo
au hulka na tabia ya mtu mwenyewe, pia kutokana na shinikizo la wafadhili wenye
pesa zao, ambao leo tumewafikisha mbele ya mahakama yako hii tukufu…’akasema
‘Tunataka
huo uthibitisho, kuwa kweli taaluma yake ,na hicho alichandika kuthibitisha
kuwa muheshimiwa hakufa kifo cha shinikizo la damu sio sahihi, na uthibitishp
kuwa wafadhili wawekezaji wanahusika vipi na mambo ya utendaji wa taaluma ya
huyu docta hadi kufikia kushitakiwa…’akasema mtetezi.
‘Bado
hujanielewa, lengo letu ni kuonyesha kuwa taaluma yake ilitumiwa kuthibitisha
tu,..na washitakiwa hawa, walitumia pesa na utajiri wao, kuwashinikiza
wataalamu hawa kuandika wanavyotaka wao..
‘Lakini
pia kwenye taarifa hii haijabainisha wazi, ni kwanini muheshimiwa huyo alifikia
hadi kupatwa na shinikizo hilo la damu, ambalo lilisababisha kifo chake, kuna
sababu nyingi, je docta huyo alishindwa kuzianisha, alichothibitisha hapo ni
kuwa muheshimiwa kafa kwa shinikizo la damu, hakuna uthibitisho wa uchunguzi wa
kina, ni kwasababu gani hakufanya hivyo..’akasema muendesha mashitaka.
Muheshimiwa
hakimu ikabidi aingilie kati, na kuwauliza wataalamu hao wa sheria ni kipi
kinachogomba hapo, ni uwalakini wa taaluma, au ni kukiukwa kwa taaluma yenyewe?
‘Tuwaulize
wanaomtilia mashaka docta huyo…’wakasema watetezi.
‘Ndugu
muheshimiwa hakimu, kesi hii imegubikwa na sintofahamu nyingi, kwani wanataaluma
hawa waliobobea, walitumiwa na kutumiwa taaluma zao vibaya na watu wenye nia
mbaya, watu wenye pesa zao, wafadhili, …hao walioletwa mbele ya mahakama yako
tukufu.
Ni kweli watu hao kama huyo docta, wana
taaluma zao, wana sifa kamili za taaluma zao , lakini wajanja wenye pesa wakaja
kuzitumia taaluma hizo kwa manufaa yao,….’akasema
‘Kwahiyo
wewe unasema ni ukiukwaji wa taaluma zao…’akasema hakimu
‘Ni
utumiwaji vibaya, wa taaluma, taaluma zao zimekuwa kificho cha maovu, na huenda
hata wao wenyewe hawakuwa wakikubaliana na hilo, lakini kwa shinikizo
mbalimbali kutoka kwa hawa watu wenye utajiri na nguvu mbali mbali za madaraka,
ikabidi wakubali, wafanya hayo wanayotaka hao wenye nia mbaya…’akasema
‘Naona
ulithibitishe hilo kwa ushahidi, ..’akasema hakimu
‘Namuita
docta Chize afike kama shahidi wetu….’akasema muendesha mashitaka.
Watu
wakaguna,na minong’ono ikasikika ya chini kwa chini,
‘Docta
chize hayupo ….’akasema msimamizi wa mashahidi na kumfanya muendesha mashitaki
kumuangalia kwa mshangao, akasema kwa sauti ya ndogo
‘Lakini
alitakiwa kuwepo leo, kaenda wapi?’ akauliza muendesha mashitaka
‘Ndio
tulikuwa na uhakika kuwa atafika, sasa kilichotokea hatukutajia, hajulikani wapi
alipo,…ametoweka kiajabu..’akasema msimamizi huyo.
‘Haiwezekani,
mbona hamkuniambia mapema…’akawa analalamika muendesha mashitaka kwa msimamizi
wake, na yule msimamizi akamsogelea muendesha amshitaka, wakawa wanateta chini
kwa chini, na ilionyesha wazi kuwa kuna tatizo kubwa limetokea
‘Je
hakuna shahidi mwingine wa kuthibitisha hoja yako?’ akauliza hakimu.
‘Ndugu
muheshimiwa hakimu, naona hapa kuna tatizo limejitokeza,kwani mashahidi wote
waliotakiwa kuwepo leo wametoweka kiajabu, hii inathibitisha kuwa kuna jambo
kubwa limewapata, na hizi ni njama za hili kundi…’akasema muendesha mashitaka.
‘Hiyo
ilikuwa ni kazi yako kuhakikisha kuwa mashahidi wote wanakuwepo hii leo,
mahakama haitaki uzembe wa namna hiyo, na hatuwezi kuendesha hii kazi kwa utaratibu
kama huo, je wamekwenda wapi hao mashahidi wako ?’ akauliza hakimu
‘Kwa
taarifa nilizopata sasa hivi ni kuwa mashahidi hao wametoweka toka
jana…’akasema muendesha mashitaka.
‘Toka
jana na wewe usiwe na taarifa, ukaja kutoa taarifa kabla ya kesi haijaanza,
unataka mahakama ikuelewe vipi,….’mara akakatiza kwani ghafla mlangoni
kulionekana mtu akiingia
‘Nani
wewe unasukuma watu…?’ akauliza hakimu
Kule
kwenye eneo la malngoni akaingia jamaa mmoja mwenye madevu akasogea hadi pale
aliposimama muendesha mashika na kunong’onezana na muendesha mashitaka, na
muendesha mashitaka akasema;
‘Ndugu
muheshimiwa hakimu, kwa taarifa zilizotufikia sasa hivi ni kuwa mashahidi wote
waliotakiwa kuwepo leo wameshikiliwa na kundi hilo haramu, na wapo kwenye
hatari ya kuuwawa…’akasema na watu wakaguna na minong’ona ikaanza kusikika.
‘Idara
ya polisi inasemaje imeweza kujua wapi walipo?’ akauliza Hakimu, sasa na yeye
akionyesha wasiwasi.
‘Polisi
wameanza kazi yao ya kuwafuatilia, lakini bado hawajagundulikana waipo,
inawezekana wameshikiliwa, na huenda wapo hatarii, ila kwa vile hilo lipo
mikononi mwa polisi, tungelipenda mahakama yako tukufu ikubali tumuite shahidi ambaye
hakuwepo kwenye orodha yetu ya mashahidi hapo awali….
‘Muheshimiwa
hakimu tunalipinga hilo, kwasababu kwanini waongeze mashahidi ambao hawakuwepo
kwenye orodha….’wakapinga watetezi.
‘Muheshimiwa
hakimu, kama ilivyoonekana mashahidi wetu wote hawapo, na kesi inahitajika
kuendelea, na tulishajipanga vyema, wao wanajua ni kwanini mashahidi wetu
hawapo, na huenda walishajipanga iwe hivyo…’akasema
‘Muheshimiwa
hakimu, naona wenzetu wamezidiwa, na sasa wanatunga uwongo, sisi
tutawaingiliaje kwenye mashahidi wao, waseme ukweli kesi imewashinda, na
watangaze wzi kuwa walifanya makosa kuwashitaki watu wasio na hatia…’wakasema
watetezi.
‘Muheshimiwa
hakimu, shahidi huyo atakuwa muhimu sana, kwani ataweza kutuongoza hata huko
waliposhikiliwa hao mashahidi wetu, tunaiomba mahakama ako tukufu itukubalia
ombi letu, ni muhimu sana kwa kesi hii na ni muhimu sana kwa maisha ya hao
mashahidi, ambao tunahisi watakuwa kwenye hatari kubwa…’akasema
‘Nataka
polisi walifuatilie hili kwa haraka iwezekanavyo, na tupate taarifa za haraka
kwani huko ni kuchezea na sheria na mahakama…’akasema hakimu.
‘Kama
ni hivyo kwanini shahidi huyo asiende kushirikiana na polisi, maana hapo
unazungumzia maisha ya watu, na hapa ataongea tu kutoa ushahidi, kwanza
ashirikiane na polisi baadaye ndio utamuweka kwenye kundi la mashahidi wako….’akasema
hakimu.
‘Muheshimiwa
ahkimu hayo yote tumeshayafanyia kazi, lakini shahdi huyo akisimamishwa mbele
ya mahakama yako tukufu, ataweza kutoa ushahidi mkubwa ambao utaweza kusaidia
mengi katika hii kesi…’akazidi kusisitiza muendesha mashitaka, na kwa upande wa
utetezi, mawakili wakawa wamejikusanya wakiteta jambo.
‘Ni
shahidi gani huyo manataka afike hapa mbele?’ akaulizwa
‘Ni
Kigagula binti Mzimuni, mama wa mmiliki wa hoteli Ya Paradise….’akasema na watu
wakacheka, na wengine hata kutoa sauti ya kejeli, ilionekana kama mzaha,
‘Kigagula,
ni huyo mama anayeishi hapo Paradise Hoteli, lakini anafahamika na jamii
inayomzunguka kuwa kachanganyikiwa, na unafahamu vyema sheria haimruhusu mtu wa
namna hiyo kutoa ushahidi, unalielewa vyema hilo sitaki kukumbusha..’ akauliza
hakimu kwa mashaka
‘Huyu
mama hajachanganyikwa, muheshimiwa hakimu….’akasema muendesha mashitaka
‘Mna
uhakika na hilo, ni ajabu basi ….mnaweza kulithibitisha hilo?’ akauliza hakimu
akionyesha wasiwasi na mshangao.
‘Ndio
muheshimiwa, tunataka kulithibitisha hilo mbele ya mahakama yako tukufu
muheshimiwa, na ndipo utakapojua njama za hawa watu, wapo tayari hata kuwaua
wazazi wako kwa ajili ya tamaa ya mali…’akasema muendesha mashitaka
‘Ndugu
muheshimiwa hakimu, tunalipinga hilo, maana mama huyu ni mgonjwa, na kweli
amechanganyikiwa, hata docta wake anaweza kulithibitisha hilo, hawa watu
wamemchukua kwa nguvu, bila kujali hali yake ya kiafya ..’akasema wakili
mtetezi.
Hakimu
akatulia kwa muda, halafu akawaita mawakili wa pande zote mbili pale mbele na
kuanza kuteta nao….
WAZO LA
LEO: Huwezi kuwadanganya watu wakati wote, ukawaonaa wengine hawajui
unachokifanya, hata ukitumia ujanja
ujanja wa namna gani, ukaweza kupata unachohitajia, madaraka, utajiri, nk, ipo
siku uwongo wako utabainika, kwani njia ya muongo ni fupi.
Ni mimi:
emu-three
11 comments :
propecia before and after picture [url=http://acheterpropeciafrance.com]propecia perte de cheveux[/url] finasteride avodartcialis flomax [url=http://achetercialisfr.com]cialis achat sur internet[/url] cialis online 5mgorder cialis [url=http://onlinemedox.com]Cialis[/url] generic cialis 60 mgnon prescription viagra online [url=http://fast-sildenafil.com]canadian pharmacy[/url] where to buy cheap viagraviagra for women reviews [url=http://shopnorxmed.com]generic viagra online[/url] viagra no prescription needed
This is the direct injection of sperm into harvested ova. [url=http://genonlinepharmacy.com/finpecia.html]finpecia[/url] You may also feel tired when you leave the hospital to go home.There is no single dominant candidate risk factor for prostatitis other than bacteria which are required for bacterial forms of prostatitis. [url=http://genonlinepharmacy.com/canadian-pharmacy-that-takes-paypal.html]canadian pharmacy that takes paypal[/url] General characteristics .The intestinal microbiota gastrointestinal environment and colorectal cancer a putative role for probiotics in prevention of colorectal cancer Am. [url=http://genonlinepharmacy.com/buy-generic-viagra-online.html]buy generic viagra online[/url] F r cos sin .The matter was taken from a sore on the CONQU ER I NG T H E DR E A DE D P OX hand of a dairymaid who was infected by her masters cows and it was inserted on May th into the arm of the boy by means of two superficial incisions barely penetrating the cutis outer skin layer each about half an inch long. [url=http://genonlinepharmacy.com/switching-from-prednisone-to-cortef.html]switching from prednisone to cortef[/url] Elevated levels lead to water retention and excretion of concentrated urine.. [url=http://genonlinepharmacy.com/tretinoin.html]tretinoin[/url] Jaundice a.The present review is an attempt to update the rapidly expanding information on some of the transmittersmodulators believed to be involved in the control of erectile mechanisms centrally and peripherally and that are the basis for the currently used treatments of erectile dysfunction ED. [url=http://genonlinepharmacy.com/prednisone-20mg-tab.html]prednisone 20mg tab[/url] Unlike traditional Xray images each point of the scan is encoded digitally which allows it to be magnified and manipulated as never before and communicated electronically far and wide.The trachea branches into smaller and smaller tubes which finally terminate at tiny cavities called alveoli . [url=http://genonlinepharmacy.com/azithromycin.html]azithromycin[/url] If PPD test is positive a chest xray is needed to rule out active disease.. [url=http://genonlinepharmacy.com/zovirax-generic-over-the-counter.html]zovirax generic over the counter[/url] hyaline membrane disease Acute lung disease commonly seen in the premature newborn.. [url=http://genonlinepharmacy.com/canada-pharmacy-online.html]canada pharmacy online[/url] the leeches lived MECHANICAL LEECH This syringelike suction device enabled surgeons to control the amount of blood removed.Many of the principles discussed above for nonspecific low back pain apply to nonspecific neck pain as well. [url=http://genonlinepharmacy.com/pharmacy-by-mail-from-canada.html]pharmacy by mail from canada[/url] Therefore the muscle force acting on the lower arm must be in the up direction.The machine gradually rotated irradiating different sections of my body. [url=http://genonlinepharmacy.com/viagra-online.html]viagra online[/url] Calcium channel blockers dilate blood vessels and lower blood pressure and are used to treat angina and arrhythmias.Science Baillie J. [url=http://genonlinepharmacy.com/letrozole.html]letrozole[/url] Mrs.
overnight cialis [url=http://fastshipcialis.com]Cialis[/url] cialis online expresslevitra package insert [url=http://fastshiplevitra.com]levitra pills online[/url] levitra 5mg side effectsbuy and purchase viagra online [url=http://viagradoseusa.com]canadian pharmacy mall[/url] viagra natural supplementcheap propecia uk [url=http://healthcarerxusa.com]Propecia[/url] subaction showcomments propecia thanks remembercialis import australia [url=http://cheapcialispillsfast.com]canadian pharmacy[/url] viagra cialis on line
viagra in woman [url=http://comprarviagraspain.com]foros viagra[/url] viagra purchasebuy viagra online uk [url=http://sildenafilusshop.com]Viagra[/url] viagra online discreetshop viagra online [url=http://fast-sildenafil.com]Viagra[/url] viagra workshow to buy propecia [url=http://healthcarerxusa.com]Propecia[/url] avodart vs propeciausing propecia and minoxidol together [url=http://acheterpropeciafrance.com]resultat propecia[/url] saw palmetto finasteride
. [url=http://genonlinepharmacy.com/order-viagra-online.html]order viagra online[/url] macrocephaly .The cells in the basal layer are constantly growing and multiplying and are the source of all the other cells in the epidermis. [url=http://genonlinepharmacy.com/cialis-tablets-for-sale.html]cialis tablets for sale[/url] Chronic prostatitis a.. [url=http://genonlinepharmacy.com/canadian-pharcharmy-online.html]canadian pharcharmy online[/url] break in bone with wound in skin .Pressuresupport ventilation PSV a. [url=http://genonlinepharmacy.com/buy-cialis-online-europe.html]buy cialis online europe[/url] bending the sole of the foot downward F.Immunity to diphtheria by production of antibodies is induced by the administration of weakened toxins antigens beginning between the sixth and eighth weeks of life. [url=http://genonlinepharmacy.com/buy-name-brand-viagra-cialis-online.html]buy name brand viagra cialis online[/url] Prostatespecific antigen and prostatitis in men under fifty.The sensitivity of the ear is partly due to the mechanical construction of the ear which amplifies the sound pressure. [url=http://genonlinepharmacy.com/finpecia.html]finpecia[/url] fasciotomy O Circle the term that best ts the given denition.. [url=http://genonlinepharmacy.com/canadian-pharmacy-no-rx-needed.html]canadian pharmacy no rx needed[/url] hyperglycemia .Over half of people who have a stroke are able to function and live at home. [url=http://genonlinepharmacy.com/non-generic-prednisone-online.html]non generic prednisone online[/url] But gradually sense prevailed.m sec Since the horizontal component of the launching velocity v x is the running velocity the magnitude of the launching velocity is v v x v y . [url=http://genonlinepharmacy.com/240-buying-amoxicillin-trihydrate-500mg.html]240 buying amoxicillin trihydrate 500mg[/url] These medications should be taken for only a few days.Positive clinical experience with the drug has been reported Lance et al. [url=http://genonlinepharmacy.com/generic-cialis-overnight-delivery.html]generic cialis overnight delivery[/url] These can be found in many basic physics texts see for example .There are two main types of chronic prostatitis Chronic bacterial prostatitis Chronic prostatitisCPPS See separate leaflet called Acute prostatitis for further details on acute prostatitis. [url=http://genonlinepharmacy.com/azithromycin-from-amazon.html]azithromycin from amazon[/url] If there is uncertainty perform the following tests to confirm the diagnosis.Dentistry was also practiced. [url=http://genonlinepharmacy.com/acyclovir.html]acyclovir[/url] For this procedure a hollow needle is inserted Sulci Gyri body movement PARIETAL LOBE body sensations visual and spatial perception FRONTAL LOBE thought processes behavior personality emotion OCCIPITAL LOBE vision Wernicke area language Broca area comprehension language expression TEMPORAL LOBE hearing understanding speech language FIGURE Left cerebral hemisphere lateral view.
generic viagra discreet [url=http://achatpriligyfrance.com]priligy equivalent[/url] average viagra pricekamagra now [url=http://shopsildenafilus.com]kamagra stockholm leverans[/url] kamagra side effectslevitra 25 [url=http://fast-vardenafil.com]Levitra[/url] generic discount levitraviagra canada shop review [url=http://shopnorxmed.com]canadian pharmacy 24h[/url] buy female viagra in australiacialis acid reflux [url=http://fast-tadalafil.com]cialis price[/url] order cialis online
buy cialis cheap [url=http://cialisfor.com]buy cialis[/url] which is best cialis or viagralevitra information [url=http://shoplevitra.com]levitra online best price[/url] levitra without prescriptionbrand cialis no prescription [url=http://onlinemedox.com]online drugstore[/url] cialis videoviagra vision loss [url=http://achatpriligyfrance.com]priligy prix a paris[/url] generic cheap viagraviagra fast no prescription required [url=http://achatviagrafr.com]viagra sans ordonnance belgique[/url] viagra addiction
cialis mixed with viagra [url=http://achetercialisfr.com]cialis 5 posologie[/url] picture of cialiscanadian pharmacy price check [url=http://fastshipviagra.com]healthy male viagra[/url] cheap price viagracoumadin viagra [url=http://comprarpriligyspain.com]priligy quanto prima[/url] viagra online canadian pharmacy paypalviagra online uk reviews [url=http://viagradoseusa.com]viagra 100 mg best price[/url] viagra naturalhistory viagra [url=http://sildenafilusshop.com]Viagra[/url] viagra last longer
order viagra prescription [url=http://viagradoseusa.com]order viagra online[/url] cheap viagra online without prescriptionhow long does viagra stay in system [url=http://achatpriligyfrance.com]priligy super p-force[/url] uk viagraviagra nhs cost [url=http://fast-sildenafil.com]best price 100mg generic viagra[/url] cheap quality viagraonline canadian pharmacy levitra [url=http://shoplevitra.com]buy cheap generic levitra online[/url] viagra levitra cialis onlinecialis pill splitter [url=http://fast-tadalafil.com]cialis[/url] cialis japan
accutane lawsuits appeal [url=http://fast-isotretinoin.com]roaccutane buy[/url] accutane lab testsgeneric viagra pharmacy reviews [url=http://achatviagrafr.com]achat viagra legal[/url] online order viagrageneric viagra images [url=http://fastshipviagra.com]different types of viagra[/url] safe generic viagrano prescription kamagra oral jelly usa [url=http://shopsildenafilus.com]beli kamagra malaysia[/url] pattaya kamagracialis boots price [url=http://onlinemedox.com]over the counter cialis substitute[/url] when to take cialis
viagra or levitra [url=http://buyviagraeu.com]viagra online usa[/url] hydrochlorothiazide and viagraviagra levitra and cialis [url=http://comprarpriligyspain.com]priligy costo[/url] viagra use in childrenactive ingredient cialis [url=http://buycialiseu.com]brand cialis online no prescription[/url] side effects cialislevitra pill cutter [url=http://levitrashop.com]eva pills levitra[/url] is it safe to buy levitra onlineheadache pain propecia relief viagra [url=http://comprarpropeciaspain.com]propecia de 10 mg[/url] hair loss propecia stop
Post a Comment