Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Thursday, October 24, 2013

Mkuki ni kwa nguruwe-16



Kama hutaki mume wako apone haraka endelea kujenga sura ya chuki....akikuona na sura ya namna hiyo, anaweza kuhisi vibaya, na kusononeka moyoni kwa kosa alilolifanya, na hata kufikiria kuwa hujamsamehe,...kwa hali aliyo nayo, kosa dogo tu la kumkosesha raha, la kumsononesha, la kumshitua, linaweza kuleta madhara makubwa sana,...akapooza moja kwa moja,....’akasema huyo rafiki wa mume wangu na kunifanya nianze kuogopa.



WAZO LA SIKU: Akili ya mwanadamu ina ukomo wa kuvumilia, huwa kila mtu ana hamasa ya kufahamu jambo, hata kama jambo hilo linaweza kuja kumletea matatizo akilifahamu. Ni muhimu kwani kila mtu anajifahamu,kujaribu kujipima kabla ya kutaka kufahamu ukweli wa jambo fulani.

Ndio maana kuna ushauri  nasaha,kabla ya kutakiwa kupokea taarifa ya jambo fulani,, tusijiaminishe kupita kiasi kuwa ninaweza kulipokea jambo hata kam zito kiasi gani, wapo wanaoweza, lakini wapo wasioweza..cha muhimu ni kuwa makini katika kufikisha taarifa kwa walengwa, kwani binadamu wote sio sawa katika kuhimili taarifa nzito,..
Ni mimi: emu-three

1 comment :

pAM said...

Yani hata machale kidogo hayamchezi hata kama hajachanjwa kwenye ishu ambayo ndivyo cvyo lazima utastuka tuu mwenzetu ana IMANI KALI