Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Tuesday, October 8, 2013

Mkuki ni kwa nguruwe-8


‘Je na huko kwa rafiki yako kulikuwa na tatizo gani?’ akaniuliza na hapo nikashituka na kumwangalia machoni, na moyo ukaanza kunienda mbio,....

‘Kwa rafiki yangu..?.’nikajiuliza akili huku kwa haraka nikichanganua hilo swali lina maana gani

Soma toleo jipya....


WAZO LA HEKIMA: Ni vyema mkiwa kwenye ndoa mkajenga tabia ya kujadiliana mambo yenu mara kwa mara, na sio kila mmoja kujiamulia apendavyo, au aonavyo yeye, mkumbuke nyie ni kitu kimoja, na kuna leo na kesho...pia kama kuna tatizo, ni vyema mkaliweka wazi, mkajadiliana ili muone kiini cha hilo tatizo...ni kosa kubwa sana mmoja kujiona yupo juu ya mwenzake...akaona yeye ndiye kila kitu, hapana kama wanadamu tuna mapungufu, tunaweza kuteleza...
Ni mimi: emu-three

2 comments :

Pam Mvuto said...

cmuelewi huyu mwenye mume kabisa hivi hata kama hujui kusoma hata picha kuangalia nako ni kugumu mh

emuthree said...

@Pam, kuna watu wanahulka ya kuamini sana wenzao, na hawana tabia ya kuhisi ubaya kwa wale wanaowaamini...utaona kwanini mwanandoa huyo hakuwa na mashaka na rafiki yake au mume wake, Tupo pamoja mpendwa