Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Wednesday, January 2, 2013

Mtandao Mpya wa kijamii wa mijadala na hoja








Filosofa Forum Imevutia Wengi
Discussion forum mpya – Filosofa Forum ni jukwaa jipya la malumbano ya hoja. Tangu kuanzishwa rasmi siku chache zilizopita kumekuwa na mlolongo wa wapenda hoja kujiunga na kuchangia hoja mbalimbali,

Fika ujionee mwenyewe ndani ya jukwaa hili lenye hoja ,na mijadala ya maana, kwa kubofya hapa:  http://filosofaforum.com/




Malengo ya timu inayoendesha jukwaa hili ni kuhakikisha inampa kila mtu nafasi ya kutoa mawazo, kuuliza maswali, kuchangia hoja, n.k, bila kujali jinsia, maumbile, uwezo, cheo, kabila, itikadi au dini. Jukwaa hili limeundwa kwa kuzingatia maadili ya mtanzania. Maneno ya matusi yananaswa (detected automatically). Ni rahisi kujiunga au kuchangia hoja. Huhitaji ujuzi wa kompyuta wa hali ya juu sana kutumia. Karibu ujiunge uelimike na kuelimisha wengine.


Diary yangu inawakilisha na kusema :TUPO PAMOJA
Ni mimi: emu-three

1 comment :

Anonymous said...

La verdad es que lo que has publicado me ha sido interesante.
Si bien tendría que decir que ciertos post diferente no me pareció tan
bueno, el de esta vez me ha gustado realmente.
Saludos y gracias
Take a look at my blog post - Eva