Picha hii imechukuliwa: http://www.shout-africa.com
Kwa mara nyingine tena nilijikuta nipo mitaa ya hospitali
kubwa hapa nchini, hospitali ambayo wanasema ukiambiwa nenda nyumbani huku bado
unaumwa, basi ujue wewe ni wa kuhesabu masaa, au masiku kama siku zako
hazijafika. Hapo ndipo kitivo cha wataalamu wetu, japokuwa kuna hospitali
nyingine kama KCMC, Bugando, na nyinginezo, lakini kwa hapa Dar, tunaamini kuwa
Muhimbili ndio penye wataalamu wote.
Nikiwa kwenye mitaa ya hiyo hospitali huku nikiangalia kwa
juu kwenye maneno na viashiria vinavyoonyesha wapi wodi ilipo, nilitembea huku
nikisoma majina ya hizo wodi, huku kuna wodi ya Siwahaji, huku Kibasila,….na
kule ni Mwaisela, na nikajiuliza majina haya yalikuwa ya watu, waasisi au ni
majina ya akina nani…
Tukiwa na haraka ya kuwahi kumuona mgonjwa wetu, maana muda
wa kuona wagonjwa ulkuwa unakaribia kufika, tukakutana na jamaa yetu akiwa na
uso wa furaha, akatuambia kuwa hatimaye mgonjwa wao kapatiwa damu, kwani
walikuwa na mgonjwa wao aliyekuwa na
uhaba wa damu, na alipofikishwa hapo, wakaambiwa kwanza wachangie damu, na
wakafanya hivyo,..na baadaye kweli mgonjwa wao akapatiwa huduma hiyo, sasa
anaendelea vyema.
Hatujasogea kidogo mbele kidogo tukakutana na kilio, wakina
mama wakiwa wameshikilia mwenzao, huku wakiwa na kikapu walichokuwa wamebebea
chai, ..chai ambayo waliibeba kwa ajili ya mgonjwa wao, na wanadai mgonjwa wao
jana tu, alikuwa na afya njema, baada ya mitababu, na walijua kuwa keshapona, na
walijua kuwa baada ya siku mbili hivi watakuwa na nyumbani na mgonjwa wao huyo,
lakini leo wamefika, wamemkuta hayupo, walipouliza wakaambiwa, tunasikitika
mgonjwa wenu keshaiaga dunia.
Hatujatulia kidogo, mara gari la ambulasi, likapita, na
wenye mioyo ya kutaka kujua kuna nini, wakakimbilia kuangalia, na kilichnekana
hapo, na damu, mejeruhi,…jamaa ambao walikuwa kwenye sherehe zao, za kuuga
mwaka, walipinduka na gari, na hali yako ni taabani. Wengi wao walikuwa ni
vijana, ambao walijimwaga kwenye maukumbi ya starehe, wakanywa na kufanya kial
aina ya starehe, na wakati wanarejea majumbani wakakutana na ajali hiyo.
Mimi pale nilipo nikabakia mdomo wazi, nikageuka kushoto na
kukimbilia wodini angalau nikamuone mgonjwa wangu, moyoni nikiomba nimkute
akiwa katika afya njema, nikiogopa kusema nimkute akiwa hai, lakini kwa hapo
lolote lawezekana, kwani hawo waliofika asubuhi, wakiwa wamebeba chai ya
mgonjwa wao, walikuwa na mawazo kama hayo, lakini hawakumkuta mgonjwa wao, waliambiwa mgonjwa wao keshaiaga dunia,….
Niliwaza na kuwazua, nikiifikiria hii dunia, dunia ambayo
ipo pale pale,.lakini mabadiliko yake ni mengi, ya jana sio ya leo, ….je ni
nani anaweza kusema kuwa mimi nina uhakika wa kuifikia kesho, au anajua kuwa
kesho atakuwa nani, na kaa ni tajiri, atendelea kuwa tajiri hivyo, na kama ni
mzima hataweza kupatwa na kilema.
Kiuhakika hakuna mwenye uhakika wa hilo. Wapo waliokuwa
matajiri, yalikuwepo makampuni makubwa ya kutisha, lakini yote hayapo tena, imebakia
historia, na mengine mapya yamejitokeza, hatujui hatima ya kesho, ndio maana
kila tunalodhamiria kufanya, tusijiwekee uhakika, tunachotakiwa ni kusema `mungu
akipenda’, kwani hatuna mamlaka ya uhai wetu wa baadaye.
Ingawaje hatuna uhakika wetu wa baadaye, lakini tunatakiwa
tujitume, tuwajibike, kama vile tutaishi milele,hilo tusilisahau, maana bila
kazi mkono hautaweza kwenda kinywani ….Hata hivyo, kama wanadamu ambao hatuna
uhakika wa kesho au keshokutwa tunatakiwa tumuombe yule aliye na mamlaka ya
uhai wetu, tuombe kwa imani zetu kama vile ndio tunamalizia uhai wetu…
Tujue yote haya yanayotokea ni ishara kubwa za kumjua
mwenyezimungu, kuwa yupo na atendela kuwepo, yeye ndiye mwenye mamlaka ya uhai
wetu, ….. Na tukumbuke kuwa kila mmoja
ana mwake wake,…mwaka huu wa ujumla ni mwaka wa kinadharia tu. Na siku ikiisha,
au mwezi ukiisha au mwaka ukiisha tunahitajika kumshukuru yeye, ambaye
ametuwezesha kuumaliza huo mwaka.
Je sherehe mbwembwe, makelele, na vifijo vinaashiria nini,
kuwa ndio tumashukuru muumba, je kulewa kufanya fujo kunaashiria nini, kuwa
tumemshinda nani? Sijui labda kila mmoja nafsini mwake aliweka nadhiri hiyo na
huenda hiyo ndio imani yake…..
Au labda aliiweka ahadi kuwa akimaliza mwaka, atalewa, au
atafanya fujo. Lakini tukumbuke hawo ambayo wameshatangulia walikuwa na ahadi
kama hiyo, hawo ambao wapo mahospitalini, walikuwa na ahadi hiyo, lakini mwenye
mamlaka ya uhai wetu, katimiza yale aliyokuandikia.
Jamani tunapomaliza mwaka, tukae chini na kuomba, tumshukuru
muumba, maana hujui nini kitatokea kesho. Na kama una uwezo wako, hebu jaribu
kuwakumbuka wale ambao hawajiwezi. Kuwajali wao ni akiba yako ya maisha yako ya
baadaye. Ukumbuke wapo ambao wakiamuka asubuhi hawajui watakula nini, hawajiwezi, wapo
wagonjwa mahututi, wanaumwa, hawana pesa, huenda wangelikuwa nazo wangelipata
matibabu mazuri, lakini wapo kitaandani wakiomba majaliwa ya mungu.
Heri na baraka katika dunia hii zitapatikana pale
tutakapowaona wenzetu kuwa ni kama wewe, hata kama yupo katika hali, gani, na
kile ulichojaliwa japo ni kidogo, ukawa radhi kumgawia mwenzako, ili na yeye
ajione binadamu kama wewe. ….
Nyie
mnaofanya sherehe ya mamilioni ya pesa, ambayo inatumika kwa siku moja tu, tena kwa kufuru ya hali ya juu,
kwanini kila kwenye sherehe kama hizo muwe na taratibu za kutoa msaada wa kuwasaidia wale wasio na uwezo. kwasababu na wao wanaohitaji kuwasomesha watoto wao kwenye shule nzuri
kama wewe, wanahitaji kutibia wagonjwa wao, wanahitaji angalau mlo mmoja kwa siku, wanakosa,….
Tusijione tunacho tukajenga kiburi, tusijiona tuna elimu, tusijione
tuna madaraka, tusijione tuna uwezo tukajenga kiburi,…hicho kiburi hakitakufikisha mbali,
wapo waliokuwa na kiburi zaidi yako lakini leo hawapo duniani tena. Huko walipo
wanajuta , wanajuta na kusema ningelijua mali yangu yote ningeliwasaidia
wasiokuwa na uwezo…maana huo msaada utakaotoa ndio akiba yako ya kuondoka nayo, vingine vyote utaviacha hapa duniani
Ni hayo kwa leo, nikiwaombea wagonjwa wetu waliopo
kitandani, mahospitalini, na popote walipo wapone, ili na wao waweze kujumuika
na wengine katka harakati za kutafuta tonge la mdomoni, na tunawaombea wale
waliotangulia mbele za haki makazi mema peponi, Na pia tuwaombee matajiri,wale
wenye uwezo, wenye utawala, waweze kuwakumbuka mayatima wafanyakazi wao,
wananchi wao, wakijua kuwa kupata kwao, sio kuwa wao ni wajanja saaana, …..yote ni majaliwa ya muumba.
Blog yenu inawatakia heri za mwaka mpya 2013, msherehekee kwa amani na kumkumbuka mungu
Ni mimi:
emu-three
6 comments :
Thank you for the auspicious writeup. It in fact was a amusement account it.
Look advanced to far added agreeable from you!
However, how can we communicate?
my website :: sex gif
If some one desires to be updated with latest technologies afterward he must be go to
see this web site and be up to date all the time.
My website :: oreck vacuum bags
HONGERA ZA MWAKA 2013 MKUU, TUWE PAMOJA
Kheri na Baraka katika mwaka huu mpya ..Ndugu wa mimi na Familia pia...Pamoja Daima.
Just as the gods used WWII to justify an influx of new technologies, including the voice in your head, so will they use the impending pestilence which kills over half the world's population to justify historical medical advances, including the "cure of aging", initiating the "1000 years with Jesus on Earth", despite biotechnology already accomplishing these goals.
We've seen this tactic used recently with AIDS, targetted at homosexuals and blacks in Africa with the biotechnology product. The gods control everything on Earth, and althugh sold AIDS to your enemies as revenge, their real purpose was to enlighten you regarding sex:::Back-handed help. It was very effective with homosexuals in the USA, but sex is among the most powerful temptations with Africans. Remeber it is always the gods:::Slavery, AIDS, drive-bys, crack babies, pimps prostituting 10 year-old girls. And, contrary to your belief the victim doesn't go anywhere, they are reincarnated back to Earth like everyone else when we die.
Then, as promised, The End will come with fire::::Global tectonic subduction.
There was a very real perception that bi-racial was much worse for the white than it was for the person of color. The liberal culture, which was designed and promoted with the god's tools to achieve their Apocalyptic goals, screamed racism when there was a very reasonable explanation for this reality::::
In this white punishment known as the United States the person of color has already adopted the disfavors/temptations intended for another race. But by associating/mating with a person of color the white is newly adopting the disfavors of another culture.
And this is the reason why people of color are not welcome in the United States. The gods control everything:::The perception they want to create, the thoughts they want you to have.
People of color can't recover from absorbing the temptations from two cultures. And why they become more and more like so many blacks in America:::Veterans at absorbing the temptations of two cultures.
To further illustrate this is why California's educational system/funding was ranked #1 when California was white:::Education being the basis of the affluent economic system. Now even public higher education has become unaffordable.
Don't forget the lessons the 'ole white preacher taught:::Dancing is a sin, spare the rod spoil the child.
The gods used the liberal tool to ridicule away so many taboos, paving the way for the decay of society and ultimately the End Times::::::
Black behavior was controlled by the KKK. Men's behavior was controlled by marriage for thousands of years.
When married by 15 men never gained the taste of promiscuity. Once the gods used the budding liberalism tool the men set the tone for the deteriorating enviornment centered around their gross disfavor.
Women's relinquishing control of pre-arranged marriage will be what costs mankind everything in The End. It's all their fault. Men are pigs, essentially just primally responsive disfavored beings who if given the freedom will abuse based on the impulses the god's push them into. Whereas under pre-arranged marriage this behavior was contained now the promiscuous fraternity house epitomizes the pinnicle of what a "real man" should be like. And sadly the women fall into line.
The gods behave monsterously in the course of managing Planet Earth but they demand people be good if you are to have a chance to ascend in a future life.
Not only is doing the right things important (praying, attoning for your sins, thinking the right way:::accepting humility, modesty, vulnerability), so is avoiding the wrong things important as well:::"Go and sin no more".
You NEED active parents who share wisdom to have a real chance to ascend into heaven in a future life, and you MUST be a good parent as well to have that opportunity. Once your children have been raised something changes, something has been decided about you. This is exactly that.
Definitely believe that which you stated. Your favorite justification appeared to be on the web the easiest thing to be aware of.
I say to you, I definitely get irked while people consider
worries that they plainly do not know about. You managed to hit the nail upon the
top and defined out the whole thing without having side effect ,
people could take a signal. Will likely be back to get more.
Thanks
my web blog; start a window cleaning business
Post a Comment