Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha
Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..
Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.
MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.
TUPO PAMOJA DAIMA
Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;
https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:
https://www.facebook.com/diaryyangu/
`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;
Friday, October 29, 2010
Kikulacho ki nguoni mwako(Somnambulism story) 3
Ilichukua muda mfupi tu polisi wakawa wameshafika, na wao wakaanza kazi ya haraka, na gari la wagonjwa lilifika muda huohuo na dakitari wao, na mara mdogo wangu akatolewa na machela kupelekwa hospitali, na hili lilitokea baada ya polisi kuchukua picha zao muhimu. Nilimuomba mungu anisaidie kwa hili, kwani mdogo wangu ni kipenzi chetu katika familia. Kila mtu anampenda, hana ugomvi na mtu, na akikosea ni mwepesi sana kukubali na kuomba msamaha, sikudhani kuwa ana maadui wowote wakufikia kumfanyia kitendo kama hicho.
Tulipofika hospitali, mke wangu alikuwa pembeni yangu muda wote akijaribu kunipa matumaini kuwa shemeji yake atapona tu. Na wakati tunaongea mara dakitari akatokea.
Akaniita kwenye chumba chake , niliomba aseme haraka , asizungukezunguke, kwani nilishachoka kusubiri.
‘Tumejitahidi sana, kuokoa maisha ya ndugu yenu, na lilobakia ni uwezo wa mwenyewe muumba, kwani ile hatari haipo tena, kisu hakikugusa sehemu mbaya, ila damu nyingi sana imepotea kwahiyo imebidi kumuongezea damu. Hajazindukana, ndio maana nasema iliyobakia ni kumuomba mungu, lakini matumaini yapo…’
Nikashusha pumzi na kumshukuru mungu, nikaona sasa ni muda muafaka wa kuwapigia wazazi huko mikoani kuwafahamisha kilichotokea, lakini nikaona nisubiri mpaka azindukane.
‘Huyu jinsi kisu kilivyoingia, ni kuwa alichomwa akiwa usingizini, kwahiyo kauli ya kuwa huenda alitaka kujiua mwenyewe, ina mashaka kidogo, na hainiingii akilini…’akamalizia dakitari na kuniacha njia panda, kwani mimi nilishaamini hivyo.
‘Lakini yote watafahamu polisi, …’ akasema na kuturuhusu tutoke nje.
Mke wangu alikuwa wa kwanza kuongea tulipotoka nje, akasema’ hata mimi siamini kuwa shemeji anaweza kufanya vile, kujiua, hapana, labda….’ Akakatisha
‘Labda nini..’ nikamuuliza
‘Isije ikawa ugomvi wa jana yeye aliuchukulia hasira akaamua kweli kujiua, lakini sio shemeji ninayemjua’ akasema mke wangu.
‘Ni kweli Deni hawezi kufanya kitendo kama hicho, ninamjua sana akiwa mdogo, lakini hebu tutafakari, kama ni mtu kuja kumfanyia hivyo aliingia saa ngapi, na ni nani, bado naona wazo la kutaka kujiua lina uzito zaidi, lakini naapa kama kuna mtu anahusika na hili, nitahakikihs napambana naye mwenyewe…’ nikaweka kidole cha kuapa!
‘Hata mimi mume wangu nipo pamoja na wewe, shemeji ni mwema sana, na kugombana naye ni hiyo jana tu, sijawahi kujibizana naye kabla, ni mwema mkarimu na mwenye adabu…
Mara dakitari akatuita tena akisema kuwa mgonjwa wetu kazindukana, tunawza kwenda kumuona. Tuliinuka haraka haraka na kuelekea chumba cha wagonjwa mahututi, tulimkua mdogo wangu akihangaika na maumivu, lakini alipotuona akatulia kidogo.
'Kaka nitakosa mitihani mimi jamani ......'
Naona muda umekwisha tuonane tena kwenye sehemu inayofuta, ili tujue kilichoajiri, na swali letuu ni kujiuliza je, ni nani huyu alitaka kumuua huyuu kijana?
*****
Ni mimi: emu-three
12 comments :
Duh! k2 kime2lia sana ila naomba sana sana kipeleke mpaka mwisho-Davis
Mmmm!! kweli nzuri sana hii imetulia na ni mafunzo kwetu sisi wanajamii, mimi naona atakuwa ni huyo shemegi yake au mdogo wa shemegi yake, Lakini Mmm!! tusubiri uondo tujue ukweli ni upi!! hongera sana kwa kazi nzuri.
I have read so many content concerning the blogger lovers however this post is genuinely a pleasant post, keep it up.
My blog :: coupons
Hi there everybody, here every person is sharing
such knowledge, therefore it's pleasant to read this blog, and I used to pay a visit this weblog every day.
Here is my weblog; Download free games
My relatives all the time say that I am killing my time here at net, except
I know I am getting know-how all the time by reading such
fastidious content.
Here is my blog; 3d sex chat
My developer is trying to persuade me to move
to .net from PHP. I have always disliked the idea because of the
costs. But he's tryiong none the less. I've been using Movable-type on numerous websites for about a year and am nervous about switching to another
platform. I have heard very good things about blogengine.
net. Is there a way I can transfer all my wordpress
posts into it? Any help would be really appreciated!
my webpage; amazon coupons online
This site truly has all the information I needed concerning this subject and didn't know who to ask.
Also visit my homepage :: shit
I actually was initially researching for points for my own blog and uncovered ur blog post, “"Kikulacho ki nguoni mwako(Somnambulism story) 3"”, do you really mind in case I personally work
with several of your tips? Thx ,Edmundo
my homepage; http://cityofgreenwoodmn.com (http://cityofgreenwoodmn.com)
Hello to all, the contents present at this site are really amazing for people knowledge, well, keep up the nice work fellows.
Here is my site IQ Puzzle Game
This is a good tip particularly to those new to the blogosphere.
Short but very accurate information… Thanks for sharing this one.
A must read post!
Excellent post. I used to be checking constantly this blog and I am inspired!
Very helpful information specially the closing section :) I care for such info a lot.
I was looking for this certain information for a long time.
Thank you and good luck.
It's enormous that you are getting thoughts from this piece of writing as well
as from our argument made at this time.
Post a Comment