Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..pia tunakaribisha mijadala na yale yote unayopenda yawemo humu. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthreeMonday, July 14, 2014

HAPPY BIRTHDAY DIARY YANGU


                                                   HAPPY BIRTHDAY DIARY YANGU


 Ni mwaka mwingine umetimia, tarehe kama ya leo ndio tuliweza kuiweka ''diary yangu'' hewani, sina cha kusema, zaidi ya kuwashukuru wote na kuwaombea heri na fanaka katika maisha yenu, na tuendelee kuwa pamoja

Ni mimi: emu-three

4 comments :

Anonymous said...

Hongera diary yangu na mshika usukani wake, kila-laheri uzidi kutupa stories

Christian Bwaya said...

Emu Three...pongezi tele kwa kuendelea kuwa hewani. Sie wengine tumekuwa watu wa kufa na kufufuka lakini mwenzetu umedumu humu. Hongera sana.

Naamini Diary hii itaendelea kufanya vyema kwa mwaka unaofuata.

Anonymous said...

Happy birthday.... Mungu azid kukufungua ili tupate kujifunzaa

Anonymous said...

Kila LA kheri DY@Basir Iddi