Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Monday, November 4, 2013

Mkuki ni kwa Nguruwe-21






NB: Nimeoona siku isiende bure, kwa shida nimeweza knadika sehemu hiyo, kuna mtu huyo kajitokeza, je huyu ni nani, tutamuona huko mbeleni.


WAZO LA LEO: Sio wote wanaoitwa marafiki ni marafiki wa kweli kwako, sio wote wanakuchekea, wana nia njema na wewe, cha muhimu, ni kujaribu kutimiza wajibu lakini pia kuwa kuwa na tahadhari, kwa kutokutoa siri zako, kwa kile unayemuona ni rafiki yako. Kumbuka adui na rafiki yako ni huyo huyo anayekufahamu sana.
Ni mimi: emu-three

No comments :