Diary Yangu
Monday, June 30, 2025
AJALI HAINA KINGA, JE KAMA NI YA UZEMBE TUSEMEJE?
›
Wakati nipo ndani ya daladala nilishtuka watu wakitoa sauti ya kushangaa, kama nje wameona kitu cha ajabu, ... 'Ajali.....mungu wangu, s...
Tuesday, June 10, 2025
NDANI YA DIARY YANGU-KWA MTORO
›
Ni mara nyingine leo siku ya Idd nimekuja kuswalia kwa Mtoro , Nimewahi sana ili angalau niswali ndani, na sehemu ambayo nitanuona imamu. Ms...
Tuesday, May 27, 2025
NIANZAJE
›
Mambo ya kuandika yapo mengi, visa vipo vingi na matukio halikadhalika, lakini nashindwa nianzaje...Nianzeje, najiuliza Wakati nawaza hivyo,...
Saturday, November 23, 2024
›
Dunia hii ..... Wiki sasa nimekuwa nikimkuta kijana wa miaka 20 au 22 hivi, akiwa amelala pembeni mwa majengo ya maduka eneo la posta, ni ki...
Wednesday, November 8, 2023
HURUMA INAYOUMA-Utangulizi
›
'Docta, huyu sio mtoto wangu, ….’akasema mdada. ‘Sio mtoto wako…! ' Akasema docta kwa mshangao, na mdada akawa kimia 'Kama sio...
1 comment:
›
Home
View web version