Friday, May 28, 2021

Ni nini hatima yangu


 Maisha yana changamoto zake, lakini sio kila maisha ya mtu mwingine yatakuwa sawa na ya mwingine...kila mtu ana hamsini zake, kwahiti tuishi tukijitahidi tukiomba na tukiwa na msimamo huo.
Tamaa mbaya tuache, wivu, husuda...haya ni maradhi, ...hizi ndio sumu zinazotuharibia hatima yetu

Natamani sana kuandika kisa cha hatima.....hatima....

Ni mimi: emu-three

No comments:

Post a Comment

Changia hoja kwa kutoa maoni yako hapa: Au tuma kwa e-mail> miram3.com@gmail.com