Filosofa
Forum Imevutia Wengi
Discussion forum mpya
– Filosofa Forum ni jukwaa jipya la malumbano ya hoja. Tangu kuanzishwa rasmi
siku chache zilizopita kumekuwa na mlolongo wa wapenda hoja kujiunga na
kuchangia hoja mbalimbali,Fika ujionee mwenyewe ndani ya jukwaa hili lenye hoja ,na mijadala ya maana, kwa kubofya hapa: http://filosofaforum.com/
Malengo
ya timu inayoendesha jukwaa hili ni kuhakikisha inampa kila mtu nafasi ya kutoa
mawazo, kuuliza maswali, kuchangia hoja, n.k, bila kujali jinsia, maumbile,
uwezo, cheo, kabila, itikadi au dini. Jukwaa hili limeundwa kwa kuzingatia
maadili ya mtanzania. Maneno ya matusi yananaswa (detected automatically). Ni
rahisi kujiunga au kuchangia hoja. Huhitaji ujuzi wa kompyuta wa hali ya juu
sana kutumia. Karibu ujiunge uelimike na kuelimisha wengine.
Diary yangu inawakilisha na kusema :TUPO PAMOJA
Ni mimi: emu-three
La verdad es que lo que has publicado me ha sido interesante.
ReplyDeleteSi bien tendría que decir que ciertos post diferente no me pareció tan
bueno, el de esta vez me ha gustado realmente.
Saludos y gracias
Take a look at my blog post - Eva