tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post7961513657122200441..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Hujafa Hujaumbika-80 hitimisho-38(mwisho)emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-8727060969843477892012-08-10T13:55:28.049+03:002012-08-10T13:55:28.049+03:00m3 nashukuru my dear nipo ila nilikuwa mbali kidog...m3 nashukuru my dear nipo ila nilikuwa mbali kidogo na makazi yangu ikawa ngumu japo napita kimya kimya sasa nipo home ila bado nipo sijaja nikija nakutafuta
ramadhan kareemsamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-52788744435278417742012-08-10T12:41:24.412+03:002012-08-10T12:41:24.412+03:00Nimekuelewa M3 na tuko pamoja sanaaaaaaaNimekuelewa M3 na tuko pamoja sanaaaaaaaPreciousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-81838695364281222122012-08-10T10:40:02.013+03:002012-08-10T10:40:02.013+03:00Mmmh Precious,ungenikumbusha mapema,lakini hata hi...Mmmh Precious,ungenikumbusha mapema,lakini hata hivyo, huyu mwanadada hakutaka sana kusimulia mamo yake, licha ya kuwa alitaka kujua ya wengine, lengoolake ni kujifunza kwa wengine, kuwasaidia na ili ajua nini cha kufanya kwenye ndoa, yake.

Niliwaza kuongeza mambo yake hapa, lakini mambo yake ni kisa kingine,...siji kwenye kitabu itakwuaje, maana nahisi kitakuwa kitabu kikubwa sana,labda kiwe sehehe sehemu, yaani cha kwannza , cha pili na cha tatu, nitajaribu kuweka mamboo yake kidogo, ndani ya kitabu kuelezea nini kiliajiri kuhusu yeye,...nashukuru sana kwa kunikumbusha hilo.
Tupo pamojaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-54938192537834137012012-08-10T10:00:48.270+03:002012-08-10T10:00:48.270+03:00Hongera sana maana mkasa umetufundisha mambo mengi...Hongera sana maana mkasa umetufundisha mambo mengi sana ya maisha na changamoto tunazokutana nazo majumbani, makazini n.k. Lakini M3 samahani kwa kukurudisha nyuma Wakili Mdada hukutumalizia mambo ya ndoa yake au uchumba wake ilikuwaje?..tunasubiri kwa hamu mkasa mpya najua utakuwa moto kama kawaida yako. Tunakuombea sana Mungu asikie sala zetu siku 1 nawe ufaidi kazi ya mikono yako.Preciousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-42499109405366420762012-08-10T08:58:04.797+03:002012-08-10T08:58:04.797+03:00Ohh, sijui niseme nini, nmefarijika sana, kuwasiki...Ohh, sijui niseme nini, nmefarijika sana, kuwasikia ndugu zangu wapendwa. Ndugu wangu Yasinta, ndugu wa mimi Rachel, tupo pamoja.

Samira,nilijua upo likizo maana sijakusikia, nashukuru kama upo salama, na tupo pamoja tena. Lini utakuaj huku bongo tena?

Subira meneja wangu, nashukuru kwa wazo lako jema kabisa, nalifanyia kazi tutawasiliana. Tumuombe mungu atupe uhai.

Na wengineo wote, Anyon, na wale wa kimiya kimiya, tuwe pamoja na kila mwenye wazo asisite kulitoa, maana kwenye wengi hapaharibiki kitu.emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-75510975069975182912012-08-09T22:12:31.754+03:002012-08-09T22:12:31.754+03:00Hongera sana kwa kumaliza kuandika hiki kisa. Kina...Hongera sana kwa kumaliza kuandika hiki kisa. Kina mafundisho mengi na mazito hasa kwa watu walio kwenye uhusiano au wanaotaka kuingia kwenye uhusiano.

Rai yangu iko pale pale, anza kukipanga kwenye mtindo wa manuscript ya kitabu, wakati huku kwenye blog ukiweka visa vifupi vifupi ambavyo baadae vitakuwa short story. Kazi ya manusrcipt si ndogo na ni ngumu lakini huna jinsi ili kiwe kitabu lazima uanze kuipanga kuanzia chapter 1 mpaka ya mwisho. Usiwe na papara kuwa uifanye leo itaisha kesho. Ukimaliza mie nitakusaidia kufanya editing wakati tukimtafuta Publisher. Kumbuka end of September uwe umeshafika somewhere kwenye manuscript na mimi ndio angalau kipindi hicho naweza kusema ninaweza kuwa nina nafasi ya kuipitia InshaAllah.

Nakutakia kila la kheri, waswahili wanasema mambo mazuri hayataki haraka na Mola yu na mwenye kusubiri.Subiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-50987305650568255382012-08-09T17:35:57.187+03:002012-08-09T17:35:57.187+03:00Mmmhh ndugu wa mimi kazi yako nizaidi ya nzuri yaa...Mmmhh ndugu wa mimi kazi yako nizaidi ya nzuri yaani nashiwa maneno.
Mungu azidi kukubariki sana sana kwa kazi za mikono yako na mengine meeengi.

Nakutakia Mfungo mwema na kila lililojema.
Pamoja daimaaaaaa!!!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-49124492752756764482012-08-09T17:00:04.915+03:002012-08-09T17:00:04.915+03:00comment inasumbuwa kila nikiweka inarudi may be ne...comment inasumbuwa kila nikiweka inarudi may be network ,i hope upo ok m3 mungu akuzidishie kipaji unacho sana na tunakushukuru sana kuwa nasi mwanzo hadi mwisho ,tumejifunza mengi sana muhimu binadamu ni subira na kustahamili maisha mzunguko na hujafa hujaumbika
hata ivo thank you m3 na ramadhani kareem kwa wote
ni mimi samirasamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-10829479835661546452012-08-09T14:10:29.247+03:002012-08-09T14:10:29.247+03:00Kazi nzuri sana na wala huhitaji kuongeaza wala ku...Kazi nzuri sana na wala huhitaji kuongeaza wala kupunguza hivi hivi kilivyo kinafaa sana sana kuwa kitabu. Ukikitoa kitabu nitakinunu na kukisoma tena kama marudio kama ilivyo desturi yangu kurudia. Ama kweli watu wamejaliwa vipaji una kipaji ndugu wangu unajua kuchonga kalamu kufikiri na pia nakusifu sana si MCHOYO. PAMOJA DAIMA!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-40284589178949271642012-08-09T10:37:38.195+03:002012-08-09T10:37:38.195+03:00HONGERA SANA ndg yangu.HONGERA SANA ndg yangu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-71333488665545366282012-08-09T10:09:13.865+03:002012-08-09T10:09:13.865+03:00Umefunga kazi mkuu nakuaminia. Tunasubiri kisa kip...Umefunga kazi mkuu nakuaminia. Tunasubiri kisa kipya, naomba usichelewe maana nina hamu sana na hichokisa kipya , sijui kitakuwaje, wengine huo ndio ulevi wetu.Anonymousnoreply@blogger.com