tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post7939807497135870568..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : mwenye kovu usidhani kapoa-1emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-90346991261588238572023-04-28T04:36:16.034+03:002023-04-28T04:36:16.034+03:00HatariHatariAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-80265941288336794702011-01-04T13:50:51.236+03:002011-01-04T13:50:51.236+03:00Inasikitisha na kuhuzunisha. Kwa vile ushahidi ndi...Inasikitisha na kuhuzunisha. Kwa vile ushahidi ndiyo hivyo ulishatoweka sidhani kama kuna la kufanya tena. Huyo baba alistahili kifungo cha maisha jela.malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-7065278337734666172011-01-04T13:48:06.334+03:002011-01-04T13:48:06.334+03:00Mimi naamini ni tukio la kweli na kama ulivyosema...Mimi naamini ni tukio la kweli na kama ulivyosema inabidi tuache kuiga ni jinsi gani mabinti zetu wanavaa. mmmhh ngonja niendelee kusoma tuone mwisho wake na hapo ndo nitasema zaidi...mweeeh!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-14252501386578431012011-01-04T08:23:32.711+03:002011-01-04T08:23:32.711+03:00Candy hili tukio ni la kweli, na ningefurahi watu ...Candy hili tukio ni la kweli, na ningefurahi watu wangeta maoni na kumfaraji huyu dada, kwani bado `kovu' la moyoni linamsakama, tumuombee mungu asahau hayo machungu, kwani yeye mwenyewe keshasamehe! Soma sehemu ya pili utapata maeelzo zaidiemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-82254777248387182292011-01-04T08:06:51.690+03:002011-01-04T08:06:51.690+03:00Elisa Ni rahisi tu, wewe hapo pembeni kuna sehemu ...Elisa Ni rahisi tu, wewe hapo pembeni kuna sehemu imeandikwa `FOLLOW' UNAPOBOFYA, NA UKIBOFYA UNAFUATA MAELEKEZO.
Kuna boksi litatokea linasema `usign in kwa kutumia e-mail yako wewe kama e-mail yako ni ya Google, bofya Google, na itatokea sehemu ya kuingiza e-mail yako na password, ukimaliza hapo utakuwa umejisajili, sidhani kama kuna zaidiemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-22513183419679332062011-01-04T06:47:31.219+03:002011-01-04T06:47:31.219+03:00oooooh...unajua nilivyoanza kusoma nilidhani ni ki...oooooh...unajua nilivyoanza kusoma nilidhani ni kisa cha kutunga kumbe kimetokea kweli. Matukio haya yanasikitisha kwa kweli yaani kupita maelezo. Nipo mpaka mwisho kama kawaida M3 and welcome backFaith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-16557926810078698172011-01-03T17:13:45.138+03:002011-01-03T17:13:45.138+03:00Mmmmmmmmmmm!Jamani sijui mama alikuwa wapi maskini...Mmmmmmmmmmm!Jamani sijui mama alikuwa wapi maskini weeeeeeeee!

Ni hatari sanaaaa!!!!!!!!!

BNAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-87414997508951940702011-01-03T16:51:55.994+03:002011-01-03T16:51:55.994+03:00mhu baada ya kisa mkasa, acha tuendelee tuone mwis...mhu baada ya kisa mkasa, acha tuendelee tuone mwisho!!!mumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-16410497466389243072011-01-03T16:15:25.802+03:002011-01-03T16:15:25.802+03:00hapana sijafanikiwa ..hebu niambie nifanyeje ?
Mwa...hapana sijafanikiwa ..hebu niambie nifanyeje ?
Mwaka tulimaliza salama kabisa. Mungu ni mwema.elisanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-48836587826570606742011-01-03T11:59:59.740+03:002011-01-03T11:59:59.740+03:00Mambo hayo Elisa, nimeona tushituane na hicho kisa...Mambo hayo Elisa, nimeona tushituane na hicho kisa cha mdau, ..Natuma mwaka uliumaliza salama na sasa upo shwari kufuatilia visa vyetu, karibu sana tuwe pamoja.
Hivi hujafanikiwa kujisajili hapo pembeni kama MPENZI WA BLOG?emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-37533405991671641732011-01-03T11:41:39.445+03:002011-01-03T11:41:39.445+03:00Heri ya mwaka mpya kwako...naona tumerudi tena..le...Heri ya mwaka mpya kwako...naona tumerudi tena..leta mambo..elisanoreply@blogger.com