tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post793172191121219205..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Aisifuye mvua imemnyea-14emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-67439398892473799762010-12-21T16:25:36.670+03:002010-12-21T16:25:36.670+03:00Mhhh, raha sana kupendwa, na ukapa unayempenda, na...Mhhh, raha sana kupendwa, na ukapa unayempenda, na hii siri kubwa ni tabia njema...TABIA NJEMA, kama tungelijua wote hili, natumai ndoa nyingi zingekuwepo na matumaini mema katika familia...Maua ana tabia njema, Rozi ana elimu, lakini wote ni warembo, nani ungemchagua, msomi atakayekupanda kichwani au mmmmh, lakini ana tabia njema!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-61070030414109519562010-12-21T15:03:57.921+03:002010-12-21T15:03:57.921+03:00M3 kwakweli sina la kusema wadau hapo juu wamemali...M3 kwakweli sina la kusema wadau hapo juu wamemaliza.

Ni raha tupu, hapo sasa sijui itakuwaje?

Kazi kwake Maua. Bahati iliyoje hiyo, kila mtu anamtaka yeye.

BNAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-21119014543817659572010-12-21T11:24:06.118+03:002010-12-21T11:24:06.118+03:00Hakika umeacha patamu...twasubiri ila mmm usisahau...Hakika umeacha patamu...twasubiri ila mmm usisahau hiki ni kitabu tosha ..Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-14142894349438056322010-12-21T10:52:01.404+03:002010-12-21T10:52:01.404+03:00M3 hujatutendea haki wafuatiliaji wako jamani oooo...M3 hujatutendea haki wafuatiliaji wako jamani ooooh imeishia patamu!sawa wacha tusubiri....Pamelanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-26583925202777340822010-12-21T10:19:40.287+03:002010-12-21T10:19:40.287+03:00jamani natamani ingeendelea ....jamani natamani ingeendelea ....elisanoreply@blogger.com