tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post7393488616618555172..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Utangulizi wa kisa kifupi `mwenye kovu usidhani kapoa'emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-5722729285919043112011-01-04T16:24:19.345+03:002011-01-04T16:24:19.345+03:00da yaani m3 nimeguswa sana nampa pole yalomfika ka...da yaani m3 nimeguswa sana nampa pole yalomfika katika ulimwengu huu hakuna imani <br />mungu akuzidishie imani nawewe m3ulotuandikia mkasa huu bila wewe tusingejuwasamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-78936314645907499482011-01-04T08:17:02.477+03:002011-01-04T08:17:02.477+03:00I love u 2 Samira, hope u a doing fine! Karibu san...I love u 2 Samira, hope u a doing fine! Karibu sana, kisa chetu kinaendelea, ila tukio hili lilinigusa sana nikaona niliweke hewani ili tupate mawazo ya watu, huenda katika kujadili lingeweza kupatiwa ufumbuzi. <br /> Je fikiria kama ingekuwa wewe limekutokea ungechukua hatua gani?emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-86318919443282813762011-01-03T20:00:45.204+03:002011-01-03T20:00:45.204+03:00love u m3 hope umefurahi na mapumziko vipi mkasa w...love u m3 hope umefurahi na mapumziko vipi mkasa wa aisifuye mvua imemnyea inaendelea lini<br />happy new yearsamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-45053009028572258272011-01-03T17:03:44.738+03:002011-01-03T17:03:44.738+03:00hadithi njoo!!!hadithi njoo!!!mumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-73661367521943797862011-01-03T09:03:50.039+03:002011-01-03T09:03:50.039+03:00Mambo yameanza motomoto, mbona unachelewesha, twat...Mambo yameanza motomoto, mbona unachelewesha, twataka hicho kisa kwanza , hizi porojo baadaye...mmh, tumekumiss sana M3. WE LOVE YOU M3Anonymousnoreply@blogger.com