tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post5236171859049084836..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Mkuki ni kwa Nguruwe-imefika mwishoniemuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-23899820312356805612014-01-22T12:05:13.561+03:002014-01-22T12:05:13.561+03:00Dah kisa kizuri na kinasikitisha pia kinafundisha ...Dah kisa kizuri na kinasikitisha pia kinafundisha tuwe makini tunapotoa ushauri cha muhimu ni kumsamehe mumewake maisha yaendelee no way out but mapenzi hayatakuwa kama mwanzo hasa kwa mwanamke ameumia sana jipe moyo dada kwavile kaumbuka labda anaweza kuwa mumebora ila sina uhakika coz kunguru ni kunguru tu hafugiki.wanaume badilikeni mnatuumiza jamani nasisi wanawake tuwe tunasikiliza wazazi wanaona mbali tabia za kiasili nyingine ngumu kumbadili mtu.mama brendanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-45838199990935379892014-01-21T20:16:45.900+03:002014-01-21T20:16:45.900+03:00Kama mimi mume akikubali kuwa amekosa na kuomba ms...Kama mimi mume akikubali kuwa amekosa na kuomba msamaha wa dhati nitamsamehe, ila akiendelea kukataa siwezi msamehe coz hataki kuwa mkweli kwangu.Liznoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-43121874831839417052014-01-21T17:25:31.676+03:002014-01-21T17:25:31.676+03:00Ni kisa kizuri nakushauri uandae tamthilia yake ni...Ni kisa kizuri nakushauri uandae tamthilia yake ni hakika kama itaonehswa katika TV itasisimua zaidi na kuwavutia wengi.<br />Na kuhusu mke wa familia nahisi ataendelea kuishi na mumewe.Na kuyasahau yaliyopita.Iddihttps://www.blogger.com/profile/05559610920816366226noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-79093958278648110462014-01-21T09:54:36.861+03:002014-01-21T09:54:36.861+03:00HONGERA KWA KAZI NZURI.MI NASUBIRI UYO MWICHOHONGERA KWA KAZI NZURI.MI NASUBIRI UYO MWICHONUSHRI J KADUSInoreply@blogger.com