tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post451385173543354179..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Maisha yana kila aina ya mitihani!emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-20783551066961968552011-03-21T08:13:48.328+03:002011-03-21T08:13:48.328+03:00Waungwana, wajumbe, majirani, wakuu, wapendwa, hat...Waungwana, wajumbe, majirani, wakuu, wapendwa, hata mimi mumeniacha njia panda, lakini sio mbaya, maana nilihitai sana mawazo (hasa hayo ya kila mtu lake moyoni)ili nikikutana na jamaa yetu niweze kumpa `ya moyoni' kama ingelikuwa wewe ungelichukua uamuzi gani, lakini sio mbaya, nikikutatana naye tunajua jinsi ya kumshauri, kwani hatujajua nini kimemsibu huyo mwanamke, na ukumbuke ni mke wa mtu!
Nitafuatilia na nitawapa nini kilitokea na hataimaye yake ilikuwa vipi!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-78881214728761958812011-03-19T09:00:17.520+03:002011-03-19T09:00:17.520+03:00Haya ndio mambo ya "eating your own words&quo...Haya ndio mambo ya "eating your own words" maana ukisema hivi basi mtu anachukulia vingine kabisa. Ndio kasema "chochote" lakini hufikirii kwanza...ok kachukua miezi miwili kabla ya kusema habari yote lakini mmh! Na hii issue za watoto na ndoa...matatizo kweli. Angeendelea tu kumuomba Mungu na kulinda ndoa, watu wanakaa zaidi ya miaka 10 bila watoto na wengine pia wanapata...haya tuone asije akawa amechukua uamuzi mbaya baadae...Faith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-60441001214411787012011-03-19T08:57:12.653+03:002011-03-19T08:57:12.653+03:00Kila mtu na lake moyoni.....Kila mtu na lake moyoni.....Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-43930751990803741132011-03-18T19:45:05.593+03:002011-03-18T19:45:05.593+03:00Hili nalo ni ndude la kitu!
Ngojea ninlikalie viz...Hili nalo ni ndude la kitu!

Ngojea ninlikalie vizuri kiwazo!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-13666069680024009892011-03-18T15:45:53.458+03:002011-03-18T15:45:53.458+03:00Hapo kuna hali tofautitofauti sana kweli ukiona m2...Hapo kuna hali tofautitofauti sana kweli ukiona m2 anamacho mekundu sio anumwa bali ni matatizo yamemuelemea.
Mi naona huyo mdada baada ya hayo matatizo yamemsababishia msongo wa mawazo(STRESS) ambao mwisho wake ni mbaya siku zote na dawa ya hilo tatizo ni Kupata m2 aliyeenda shule katika maswala ya Ushauri nasaha kama Boss anavyotaka kufanyia na sio hawa walalahoi wa mitaani.
Sina lazaidi nasubiri hiyo nione mwisho uutakuwaje kwani huyo mume wake haijulikani huko alikokwenda kaenda kufanyaje na akirudi itakuwaje.
Kila la Kheri M-3.John Maembe.http://Bagamoyo.noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-28044005074812916652011-03-18T15:19:50.071+03:002011-03-18T15:19:50.071+03:00Hapa kuna mtego hapa. Kwanza kwa nini familia ya m...Hapa kuna mtego hapa. Kwanza kwa nini familia ya mume iingilie maisha ya kijana wao ? na kwa nini kila wakati inapotokea tatizo kama hili la kukosa mtoto basi ni tatizo la mke...Nionavyo mimi hapo amemtega tu kama kweli ana imani? kama anampenda kwa dhati? Na yeye Rose kwa vile anampenda sana mume wake na amemchochea sana kuwa hakuna shida ukimpata anayefanana nami itakuwa safi ila usipofanya baada ya mwaka basi mimi nitajua nifanyeje. Basi hapo kamtisha kwa hiyo yupo tayari kufanya lolote lile ila mradi tu mume asioe mke mwingine. Ushauri wangu mimi nisingefanya kama mume wangu atakavyo. Duh hapa inatakiwa ushauri wa busara ...naona kama kichwa changu kinazunguruka....ngoja niachie kwanza hapaYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com