tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post4442046553889394496..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Hujafa Hujaumbika-3emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-77582943735518912622012-03-19T20:27:40.320+03:002012-03-19T20:27:40.320+03:00Nashukuru Precious mungu akubariki sana.Tupo pamoj...Nashukuru Precious mungu akubariki sana.Tupo pamojaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-88740810566129879932012-03-15T09:30:53.536+03:002012-03-15T09:30:53.536+03:00M3 una zaidi ya kipaji kwa kweli maana mikasa yako...M3 una zaidi ya kipaji kwa kweli maana mikasa yako yote ndio maisha yetu kila siku miongoni mwetu.. Ipo siku Mungu atashusha baraka zaidi kwa kazi ya mikono yako, itajulikana na watu wengi wenye kuelewa umaana wa kipaji ulichonacho na kukitumia ipasavyo. Mungu azidi kukubariki.Preciousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-51332454268565766082012-03-14T13:20:47.212+03:002012-03-14T13:20:47.212+03:00Tupo pamoja ndugu wa mimi Rachel na mwenzangu usiy...Tupo pamoja ndugu wa mimi Rachel na mwenzangu usiye na jina, mungu awabariki sana kwa kunipa moyo. Tupo pamojaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-79579856981414514622012-03-14T12:20:42.053+03:002012-03-14T12:20:42.053+03:00Yaaani na hizi picha zilizofuatana zinanikosha san...Yaaani na hizi picha zilizofuatana zinanikosha sana tuu Ndugu Wa mimi!!!Huu ni moto wa kuotea mbali, hakika utafika unapotaka, kwa mapenzi ya Mola!!Pamoja ndugu yangu!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-18796110480332304182012-03-14T10:43:49.990+03:002012-03-14T10:43:49.990+03:00Kuna kitu kimoja nataka kujua, hivi visa hasa hiki...Kuna kitu kimoja nataka kujua, hivi visa hasa hiki ni vya kweli au umejitungia tu, maana kinafanana na tukio lililotokea kabisa.Anonymousnoreply@blogger.com