tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post4348243257716705345..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : BAADA YA DHIKI FARAJA-85emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-67786521188576948272014-07-03T09:00:47.708+03:002014-07-03T09:00:47.708+03:00Kisa kipya hicho kinaanza muda si mrefu, kuhusu bo...Kisa kipya hicho kinaanza muda si mrefu, kuhusu bosi wa muhasibu, yeye atakuja na simulizi lake kabambe, tuwe pamoja tu. Yeye hakuwepo kwenye lile kundi haramu.emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-88808709396175271662014-07-02T12:23:00.977+03:002014-07-02T12:23:00.977+03:00Asante sana kwa kisa kizuri,twasubiri kisa kipya,v...Asante sana kwa kisa kizuri,twasubiri kisa kipya,vipi boss wa mhasibu aliishia wapi?na mumewe je?au boss naye alikuwa member wa kundi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-69965544228531111932014-07-02T11:58:58.197+03:002014-07-02T11:58:58.197+03:00Nakushukuru sana ndugu wangu Yasinta, tupo sote ka...Nakushukuru sana ndugu wangu Yasinta, tupo sote kama kawaida yetu, na swali wapi mdada alipo, hata mm sijui, huenda atakuwa nasi akiwajibika. Mhh kweli kisa kingine kinakuja, ngoja tukiweke sawa . Tupo pamojaemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-17982869345062679342014-07-01T10:01:25.122+03:002014-07-01T10:01:25.122+03:00Hatimaye wamekamatwa.. Unafikiri mdada atakuwa wap...Hatimaye wamekamatwa.. Unafikiri mdada atakuwa wapi?....mmhhh mimi naona yupo hai sehemu ...Ahsante sana kwa kisa na kama ww mwandishi ulivyomshukuru mleta kisa basi nami namshukuru kimekuwa ni kisa cha mafunzo mengi sana. Najua kuna kisa kingine kinakuja:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com