tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post4184768482021815446..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Nani kama mama-10emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-91197811349947712642011-02-04T16:51:00.587+03:002011-02-04T16:51:00.587+03:00nadhani sijachelewa ni kweli inatisha na pia inafi...nadhani sijachelewa ni kweli inatisha na pia inafikirisha. Mungu kweli ni muongozi.....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-46473499961379880262011-02-03T09:10:49.322+03:002011-02-03T09:10:49.322+03:00Inafanya mtu uvute fikra so ni kama chemsha bongo ...Inafanya mtu uvute fikra so ni kama chemsha bongo fulani, I like it sio unasoma hadithi kama unakunywa maji, lazima ukohoe kidogo haha! Mi nipo sambamba kabisaFaith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-30399037075448715042011-02-03T08:36:22.191+03:002011-02-03T08:36:22.191+03:00Mkuu mimi ni mtunzi wa hadithi kama wewe, unavyokw...Mkuu mimi ni mtunzi wa hadithi kama wewe, unavyokwepnda upo sahihi kabisa, ...unaandika kama picha, ikiwa inaficha jambo fulani, na likifichuka, basi ushafika mwisho wa picha...ni mtindo mzuri sana, na watu wengi wanapenda `ufupisho' kuwa tukio lijulikane ni nini...sio kwa mambo yote hasa ukiangalia `kisa' ambacho tunadhani ni cha kweli au nicha kweli.<br /> Sasa ukitaka kuandika watu wanavyotaka, ukeli wa kisa unakuwa haupo. Nakuomba uwe katika msimamo wako, andika kama kisa kilivyo, usiyumbishwe, na huo ndio `utunzi' bora<br /> BIG UP...Mimi nimekupata kabisa unalenga nini...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-59193943726380264952011-02-03T08:28:18.740+03:002011-02-03T08:28:18.740+03:00Hiki kisa ni kirafu, na ndio hata mwanzoni nilipok...Hiki kisa ni kirafu, na ndio hata mwanzoni nilipokiandika, nilikikatisha, kwasababu matukio yake ni mengi na yanagusa watu wengi, na kama nitakirahisisha hata ule ujumba hautafika...naomba mvute subira, kwani uzuri wake bado upo, na punde mtagundua kwanini ninafanya hivyo. Msijali na TUWE PAMOJA TUemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-10138164742183619182011-02-02T19:09:08.128+03:002011-02-02T19:09:08.128+03:00hii adidhi mwanzoni ilikuwa nzuri lakini kadri ina...hii adidhi mwanzoni ilikuwa nzuri lakini kadri inavyoendelea inazidi kupoteza ladha sijuii ni mimi tu naona hivyo au nawengine hata hivyo nisikuvunje moyo unajitahidi ongeraAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-41182848338355574742011-02-02T18:58:52.166+03:002011-02-02T18:58:52.166+03:00mh yule mgonjwa lazima alitoroka na ndo yule mama ...mh yule mgonjwa lazima alitoroka na ndo yule mama mwenye mkono wa baraka,tena Mungu alivyo mkuu kamuunganisha na mwanae,kama sikosei au vipi m3?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-3637652316416643132011-02-02T16:39:54.189+03:002011-02-02T16:39:54.189+03:00Oh,naona mbinu niliyoitumia kwenye kisa hiki inawa...Oh,naona mbinu niliyoitumia kwenye kisa hiki inawachanganya wengi...kama tutakwenda moja kwa moja na kuelezea nini kilitokea pale, itahistimisha kisa chetu,...naomba tuvute subira ili uone nini kimetokea hapo, lakini nini kimetokea hapo, ni siri ya hiki kisa ambayo itafichuliwa kinamna....!<br /> Hata mimi nina mshawasha wa kujua nini kilitokea, bado nadadisi kichwani..KARIBUNI SANAemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-84216882732903512622011-02-02T15:23:08.028+03:002011-02-02T15:23:08.028+03:00Mmmmh! M3 sijui ni mimi tu au na wengine??? nahisi...Mmmmh! M3 sijui ni mimi tu au na wengine??? nahisi kama naanza kupotea, ilikuwaje kwenye chumba cha upasuaji????????? maana sijasoma tena sehemu inayoongelea kilichompata mgonjwa. Any way ngoja tusubiri what's next. keep ip upJanenoreply@blogger.com