tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post4088444132248751477..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Dawa ya moto ni moto-24emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-33323239075030000092011-06-24T09:01:51.016+03:002011-06-24T09:01:51.016+03:00NASHUKURUNI SANA KWA POLE ZENU NA DUA ZENU, KWANI ...NASHUKURUNI SANA KWA POLE ZENU NA DUA ZENU, KWANI SASA NAJISIKIA NAFUU, Na nikiwa kitandani nilikuwa nawaza sana kuhusu tatizo hili la Malaria, kwani wakati nimepumzika alipta jamaa akinyunyuzia dawa za kuua mbu, lakini tunatakiwa kutoa pesa...nii sawa, lazima tuchangie, ila nahisi kama dawa hizo zina ubora unaotakiwa au ndio zimechakachuliwa.
Kwa ujumla KINGA NI BORA KULIKO TIBA. Juhudi kama hizi zingetakiwa sana ili kupambana na hawa wadudu mbu, ni bora hata kuliko kugawa neti...Neti zigawiwe sawa kabisa, lakini juhudi kubwa ipelekwe kwenye kuodnoa kiinii cha mazalia ya hawa wadudu.
TUPO PAMOJA WAPENDWA WANGU!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-63600184484453008682011-06-24T08:17:35.891+03:002011-06-24T08:17:35.891+03:00Pole Mkuu kwa kuugua!Pole Mkuu kwa kuugua!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-83658313536203272682011-06-24T05:27:56.861+03:002011-06-24T05:27:56.861+03:00Ooooh ugua pole mtu wangu :-)Ooooh ugua pole mtu wangu :-)Faith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-49739162730482609622011-06-24T03:23:42.752+03:002011-06-24T03:23:42.752+03:00Ipo sawa Mkuu!
Na tupo kama kawa!Ipo sawa Mkuu!

Na tupo kama kawa!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-14960258653373085422011-06-23T14:59:54.306+03:002011-06-23T14:59:54.306+03:00get well soon m3 nilikuwa najiuliza kulikoni leo n...get well soon m3 nilikuwa najiuliza kulikoni leo nimeangalia comment ndo nimeelewa
pole sanasamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-30169370786088488522011-06-23T12:54:38.572+03:002011-06-23T12:54:38.572+03:00Yaan leo nilitaka kujua kulikonin mbona kimya? kuf...Yaan leo nilitaka kujua kulikonin mbona kimya? kufungua kwenye maoni nakutana na jibu lako.

POLEEEEEEEEE MKUU. NI ZAID TENA.
TUNAKUOMBEA KWA MUNGU AKUPONYE UPESI.

TUPO PAMOJA BOSS, TUNAKU-MIS MNOOOO.

GET WELL SOON.

BNAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-19944088706962381032011-06-23T08:22:02.041+03:002011-06-23T08:22:02.041+03:00Msinione kimiya afya kidogo inaleta mgogoro .Msinione kimiya afya kidogo inaleta mgogoro .emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-32554788994153684392011-06-22T19:00:54.738+03:002011-06-22T19:00:54.738+03:00Huu Moto siwa makaratasi wangu, Pamoja ndugu!!!!!...Huu Moto siwa makaratasi wangu, Pamoja ndugu!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-82051902690485059102011-06-21T13:21:19.157+03:002011-06-21T13:21:19.157+03:00Mmm!!! M3 2po pamoja, ya leo ni nzuri sana nimepen...Mmm!!! M3 2po pamoja, ya leo ni nzuri sana nimependa ulivyounganisha kama wasemavyo wadau hapo juu.

Kwa kweli Maneno na huo rafikie watafikia kweli marengo yao. Isije wakaonekana wao ndio chanjo cha matatizo? Kwani Maua na Boss wake pia wapo kwenye uchunguzi.

Sasa kazi kwelikweli.

Haya 2po pamoja.

BNAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-68492460690506113182011-06-21T05:53:00.261+03:002011-06-21T05:53:00.261+03:00oooh ndio maana nikawa najiuliza "leo mbona u...oooh ndio maana nikawa najiuliza "leo mbona uhondo double double" hahaha its absolutely fine M3, nimependa vile tumeanganishwa na kule mwanzo kidogo na sasa ndio nazidi kuelewa...haya tuone plans za Maneno zitafikia wapi...Maua&Bosi na kundi la hatari...nipo kama kawaFaith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-20883188846494528862011-06-20T16:15:01.489+03:002011-06-20T16:15:01.489+03:00m3 hujakosea bil samahani kwani umetukumbushia pia...m3 hujakosea bil samahani kwani umetukumbushia pia ya zamani tulipoanzia
mimi nakuunga mkono sasa maneno sijuwi atachukua hatua gani
cant waitsamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-67583377754442935022011-06-20T15:07:26.946+03:002011-06-20T15:07:26.946+03:00'Anoy' nshukuru kwa kuwa mtu wa kwanza kun...'Anoy' nshukuru kwa kuwa mtu wa kwanza kunipa moyo, maana niliona nimepitiliza...kama ipo poa, basi twende pamoja, kwani ndio tumerudi kule tulipoanzia ili story kuleta lile tukio lenyewe, na baadaye ....mtaona nini kitafuatia..KARIBUNI SANA, TUPO PAMOJA DAIMAemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-66209321079742918392011-06-20T15:02:10.591+03:002011-06-20T15:02:10.591+03:00Hamna cha samahani mkuu, hapa umetupa uhondo, ila ...Hamna cha samahani mkuu, hapa umetupa uhondo, ila inabidi tukasomee home kwanza,...safi sana fanya hivi kila sikuAnonymousnoreply@blogger.com