tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post3834459250087165697..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Radhi ya wazazi- utanguliziemuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-21043463400886003742012-06-15T15:45:50.281+03:002012-06-15T15:45:50.281+03:00Napita pita za nyuma mkuu!Napita pita za nyuma mkuu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-73823436253745232592010-08-06T16:27:35.045+03:002010-08-06T16:27:35.045+03:00Lakini mdau hapo juu usisahau kuwa kuna kesi za wa...Lakini mdau hapo juu usisahau kuwa kuna kesi za wazazi wengi wamewatupa watotoo wao majalalani, sijui kwanini!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-65530837133213561512010-08-06T16:07:16.868+03:002010-08-06T16:07:16.868+03:00ndio maana kuna usemi usemao mtoto anaweza kumuua ...ndio maana kuna usemi usemao mtoto anaweza kumuua mama yake lakini mama hawezi kumuua mwanae. hivi kama mama angeamua kutoa hiyo mimba je leo ungekuwepo. tuwapenda wazazi wetu katika hali yeyote ileAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-58378599566610673392010-08-04T15:16:19.969+03:002010-08-04T15:16:19.969+03:00Radi ya mama ni kitu cha kuzingatia aha, muheshimu...Radi ya mama ni kitu cha kuzingatia aha, muheshimu baba yako muheshimu mama yako aha, kwani wao ndio waliokulete ahapa duniani.<br /> Ni ajabu kama watu kama hawo wapo duniani, nafikiri kuna walakini katika vichwa vyaoAnonymousnoreply@blogger.com