tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post3626578279342279279..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Hujafa hujaumbikaemuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-14406721315774198972011-06-01T05:40:29.367+03:002011-06-01T05:40:29.367+03:00Ndio maisha, kuna mitihani, hiki na kile na sote b...Ndio maisha, kuna mitihani, hiki na kile na sote binadamu. Aliyefika juu hakuruka kimaajabu, alianza chini kwanza na kuna sababu mbali mbali kubaki chini ama kurudi chini...It's life as they say.Faith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-91287059453418965852011-06-01T02:09:27.398+03:002011-06-01T02:09:27.398+03:00...Pamoja kabisa! Na "maringo ni mwanzo wa ku......Pamoja kabisa! Na "maringo ni mwanzo wa kuanguka".

Saizi yake yule mama kwenye hadithi yako, Mkuu...lakini sisi binadamu hatujifunzi kamwe!!!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-89376736689962544242011-06-01T00:44:11.659+03:002011-06-01T00:44:11.659+03:00ni funzo sama jamani mgongo wa dunia una mafunzoni funzo sama jamani mgongo wa dunia una mafunzosamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-64733259331040840472011-05-31T20:07:57.410+03:002011-05-31T20:07:57.410+03:00Tupo pamoja kaka,asante kwa hadithi zenye mafunzo....Tupo pamoja kaka,asante kwa hadithi zenye mafunzo.EDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-91539649615326767732011-05-31T15:56:48.166+03:002011-05-31T15:56:48.166+03:00Hiyo ni kweli ndugu zangu ,liotoa maoni hapo juu, ...Hiyo ni kweli ndugu zangu ,liotoa maoni hapo juu, mkuu S.Kitururu, Yasinta na asiye na jina!
Huwa mtu unapokuwa katika njema, unajisahau kuwa sote ni mavumbi tu uchafu ndio jadi yetu, kwahiyo tuthaminiane, na kuvumiliana.
Kuna jamaa mmoja anatoa harufu ya mwili wanaita kikwapa, yeye kila akienda mahali hata kama hajafika, hata kama kwa muda huo ile harufu haijaanza kutoka, wanaziba pua!
Well ni sawa, hiyo harufu inakera, lakini thamini ubinadamu wake, sidhani kama kaiomba hiyo!
Maisha ni kupanda na kushuka, leo unacho kesho huna, kwahiyo tujiandae kwa vyovyote vile, kwa kuwakubali wanajamii wote waliojaliwa kuwa nacho na wale wasiojaliwa kuwa nacho!
Shukurani kwa kuwa nami,TUPO PAMOJA!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-45891325876082598572011-05-31T15:37:30.959+03:002011-05-31T15:37:30.959+03:00Mimi nasema ya kwamba hata kama ukiwa tajiri au ma...Mimi nasema ya kwamba hata kama ukiwa tajiri au maskini binadamu wote katika dunia hii wana UMUHIMU sawa kabisa. Ukiwa na mali usijione wewe ni mtu zaidi kuliko wengine ishi kama wewe na shirikiana na wengine kama kawaida...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-29580368606613541722011-05-31T14:38:23.435+03:002011-05-31T14:38:23.435+03:00Ama kweli kabla hujafa hujaumbika!:-(Ama kweli kabla hujafa hujaumbika!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-55880391216614582112011-05-31T14:34:39.584+03:002011-05-31T14:34:39.584+03:00Ujumbe murua kweli, mimi napenda kukuuliza, mbona ...Ujumbe murua kweli, mimi napenda kukuuliza, mbona kwenye blog yako huweki matangazo, hili lingekusaidia kuondokana na matatizo ya kutegemea ofisini kwako, ni wazo tu. ILA KWA KWELI UNAFANYA VITU VYENEYE HEKIMA SANAAnonymousnoreply@blogger.com