tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post3440603783232547769..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli-57Hitimisho -1emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-86782653216609287282011-12-06T11:00:06.636+03:002011-12-06T11:00:06.636+03:00Mkuu lile sekeseke la kule hotelini linakuja, kwan...Mkuu lile sekeseke la kule hotelini linakuja, kwani mhusika mkuu aliyekuwepo kupambana na lile kundi yupo nchini, na atakupa kila kitu kilichotokea, sijui zaidi tususbiri hatua hiyo.<br /><br />Subira ni kweli, ndoa ile ilikuwa `haijavunjwa' na wanandoa wenyewe, lakini kwasababu ambazo zilikuja kutokea tulikuta imekuwa hivyo, na Mhuja akakubali iwe hivyo, sasa ao kuna changamoto, ndio maana nilihitaji maoni ya watu, kuwa ikitokea hivyo, kidini , kimila inakuwaje?emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-27985796388605134572011-12-05T16:24:20.257+03:002011-12-05T16:24:20.257+03:00Ingekuwa mimi ningevunja hiyo ndoa inayotaka kufun...Ingekuwa mimi ningevunja hiyo ndoa inayotaka kufungwa kwani kisheria mume yupo kwa hiyo hakuna ndoa nyingine hapo mpaka ya mwanzo ivunjike. Nae Mhuja hana haja ya kudai kasalitiwa kwani kama angekuwa amekufa kweli je angelitegemea mke wake akae hivyo hivyo? Alee tu huyo mtoto atakaezaliwa, mbona wanaume wengi wanalea watoto sio wao bila kujua (wink)?Subiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-86995092363842988782011-12-05T14:23:40.846+03:002011-12-05T14:23:40.846+03:00lile sekeseke la hotelini limekwishaje?lile sekeseke la hotelini limekwishaje?o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.com