tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post3103066577769561154..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli-74 hitimisho 18emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-64718586034158088922012-01-17T14:35:50.837+03:002012-01-17T14:35:50.837+03:00Tupo pamoja ndugu zanguni msinione kimiya, nahaha ...Tupo pamoja ndugu zanguni msinione kimiya, nahaha huku na kule ili niweke sehemu inayufuata, maana ukipata sehemu mara kuna vizuizi, ukiazima jembe, ukifika home, hakuna umeme, yaani mitihani moja kwa moja, lakini ujumbe wetu unatufundisha tuwe na subira....TUPO PAMOJAemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-59229251207876801282012-01-17T13:28:36.282+03:002012-01-17T13:28:36.282+03:00neno la leo limenigusa sana.thanx emu3neno la leo limenigusa sana.thanx emu3Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-20288939153969492852012-01-17T10:02:08.887+03:002012-01-17T10:02:08.887+03:00M3 mimi ni mfuatiliaji wa kisa hiki tokea mwanzo n...M3 mimi ni mfuatiliaji wa kisa hiki tokea mwanzo na tuko pamoja ila "neno muhimu la leo" limenigusa sana! Eh Mola naomba unijalie moyo wa subira mja wako niko kwenye mapito magumu mno.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-50041266904717375202012-01-15T16:46:04.478+03:002012-01-15T16:46:04.478+03:00Aiseee! hapa patamu muno...inasisimua, inasikitish...Aiseee! hapa patamu muno...inasisimua, inasikitisha na pia naweza kusema inaogopesha lakini utamu upo. Nina hamu kweli kujua itakuwaje....je huyo mgonjwa atapona kweli?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com