tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post3057488378281775086..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Hujafa hujaumbika-13emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-56266552671323770932012-03-30T07:52:21.514+03:002012-03-30T07:52:21.514+03:00Nipo kabisa miram3,ila mara nyingi nasoma haraka h...Nipo kabisa miram3,ila mara nyingi nasoma haraka haraka,hata comment nashindwa kuacha ,si unajua majukumu tena ya maisha ,ila tupo pamoja kabisa.elisanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-92150191192936177082012-03-29T19:03:05.437+03:002012-03-29T19:03:05.437+03:00Precious tupo pamoja,Mungu akupe baraka tele tuzid...Precious tupo pamoja,Mungu akupe baraka tele tuzidi kua pamojaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-56308155850184814962012-03-29T18:53:55.723+03:002012-03-29T18:53:55.723+03:00Haya ndio maisha yetu mpendwa Samira. Vumbi,jua ku...Haya ndio maisha yetu mpendwa Samira. Vumbi,jua kudhulumiwa, kuonewa ajira hakuna,maisha ghali.
Huku kufa hatufi lkn cha moto tunakionaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-12845874306561762292012-03-29T18:46:43.753+03:002012-03-29T18:46:43.753+03:00Tupo pamoja dada Yasinta ubarikiwe sanaTupo pamoja dada Yasinta ubarikiwe sanaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-59559221532022571082012-03-29T16:37:43.879+03:002012-03-29T16:37:43.879+03:00Wazo la leo lafundisha sana....na kweli mtoto akil...Wazo la leo lafundisha sana....na kweli mtoto akililia wembe mpe Mtoto wa Msomali ipo siku atamkumbuka Binti Yatima....Tuko pamoja M3 na wadau wote wa blog hii.Preciousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-11048936270050580192012-03-29T16:35:38.734+03:002012-03-29T16:35:38.734+03:00m3 mzima nipo dear nipo nimerudi na nashukuru kwa ...m3 mzima nipo dear nipo nimerudi na nashukuru kwa kunikumbuka nami nawapenda sana ila life na baadhi ya watu wa tz wamenichanganya sana sana huwezi amini nimemiss miezi miwili mikasa yetu hasa akufaae kwa dhiki tangu nimerudi about 2wk sasa nasoma zilopita vp mzima dear naona kuna mkasa mpya naufatilia japo mda mdogo
nimefurahi sana kunikumbuka nami nipo narejesha akili
love u m3samiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-35912993102990515602012-03-29T14:36:34.448+03:002012-03-29T14:36:34.448+03:00Hakika ina sisimua na kufurahisha ...Nimelipenda w...Hakika ina sisimua na kufurahisha ...Nimelipenda wazo la leo...Pamoja daima.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-41596665645718775442012-03-29T12:00:43.586+03:002012-03-29T12:00:43.586+03:00Elisa ulipotelea wapi mpendwa, mpendwa sana, kari...Elisa ulipotelea wapi mpendwa, mpendwa sana, karibu tena, na nashukuru kuwa nami tena...au na wewe uliamua kuwa `kimiya kimiya...'

Kuna mpendwa mwingine naye kaingia mitini...Samira, upo wapi, ...kwa mara ya mwisho kukusikia hapa kijiweni,ulisema unakuja huku bongo,umezamia wapi maana ukifika huku bongo, unachanganywa an maisha, hata kile ulichopangilia kinayeyuka....
Ni matumaini yangu upo na upo salama, na karibu hapa kijiweni kwetu, tunakupenda sana na kukuhitaji kwamawazo yako yeney hekima.emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-27254286637451633012012-03-29T10:46:37.219+03:002012-03-29T10:46:37.219+03:00Mmh inasisimua na kufundisha sana.Mmh inasisimua na kufundisha sana.elisanoreply@blogger.com