tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post2404366477538652035..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Hujafa hujaumbika-79 hitimisho-37emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-80967214731814876802012-08-18T17:17:08.867+03:002012-08-18T17:17:08.867+03:00однокласник mail ru группа
одноклассники ry
сообщ...однокласник mail ru группа
одноклассники ry
сообщение на одноклассниках
одноклассники online игры ipad2
удалить одноклассниках
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-46635505303835995862012-08-09T12:21:28.871+03:002012-08-09T12:21:28.871+03:00hongera m3 kwa hadithi zako tamu, name nilitaka ku...hongera m3 kwa hadithi zako tamu, name nilitaka kuulizia ile part ambayo msomali alienda akakuta mwanadada amelala chini kwenye dimbwi la damu, ila naona ushaitolea ufafanuzi hapo juu.. Big up brother..Kaynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-20389168307035246202012-08-09T11:30:12.644+03:002012-08-09T11:30:12.644+03:00Mkuu Wambura, ndugu wangu Yasinta na mpendwa Preci...Mkuu Wambura, ndugu wangu Yasinta na mpendwa Precious na wengineo ambao hawakutaja majina yao na wale wa kimiya kimiya, nawashukuruni sana kuwa nami.

Kwa ujumla nyote Mumenipa faraja, maana ukiandika huwezi jua nini wenzako wanafikiria mpaka akitoa maoni.

Pole na majukumu Precious, karibu sana tuungane pamoja, na halikadhalika Yasinta ulisema ulikwenda `kalikizo kidogo' karibu tena!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-33349970760877377272012-08-09T10:10:22.726+03:002012-08-09T10:10:22.726+03:00Nilipotea kwa muda majukumu M3 yamenizidi ila nash...Nilipotea kwa muda majukumu M3 yamenizidi ila nashukuru nimepata muda kdg ya kuendelea na riwaya yetu mpka mwisho..Tuko pamoja M3, Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako.Preciousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-21293342293462099592012-08-07T16:55:20.180+03:002012-08-07T16:55:20.180+03:00Kazi nzuri ndugu wangu..nawe usiona nipo kimya nip...Kazi nzuri ndugu wangu..nawe usiona nipo kimya nipo nawe...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-72126148755917238522012-08-07T12:43:55.176+03:002012-08-07T12:43:55.176+03:00MSINIONE NIPO KIMIYA, JEMBE LINAKOROFISHA, NA KAMA...MSINIONE NIPO KIMIYA, JEMBE LINAKOROFISHA, NA KAMA WEHENGA WALIVYOSEMA CHA MTU NI NINI? NA NGUO YA KUAZIMA HASITIRI NINI...
Tuombe mungu, atujalie, maana haya yapo juu ya uwezo wangu, hata hivyo Tupo pamoja!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-20360475527300762182012-08-04T12:58:25.129+03:002012-08-04T12:58:25.129+03:00Mimi sijajua kwanini hutumii majina,na kutumia mda...Mimi sijajua kwanini hutumii majina,na kutumia mdada, mke wa,huoni hiyo inachanganya zaidi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-84772659228258225442012-08-04T12:55:21.592+03:002012-08-04T12:55:21.592+03:00Ama kuhusu kitabu/vitabu na movie hilo ni moja ya ...Ama kuhusu kitabu/vitabu na movie hilo ni moja ya malengo yangu. Lakini mambo bado magumu, maana mtegemea cha ndugu,au cha mtu ni mavi.
Jembe linalonisaidia ni la ofisi, muda hautoshi, ukiwa ofisini, na cafe nako ni gharama,...lakini bado tuna nia hiyo!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-91906240198204204242012-08-04T12:37:14.153+03:002012-08-04T12:37:14.153+03:00Ni kweli,labda nije kuelezea baadaye ilikuwaje , l...Ni kweli,labda nije kuelezea baadaye ilikuwaje , lakini zote hizo
zilikuwa mbinu za kiujanja za kundi, ...walikuwepo watu walioweza
kuigiza mtu, matendo, na kuonekana kama muhusika fulani...tutaielezea
hiyo kwenye sehemu ijayo!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-61932327529451836052012-08-03T12:32:39.906+03:002012-08-03T12:32:39.906+03:00M3,
Nakumbuka wakati fulani ndani ya kisa hiki Ms...M3,

Nakumbuka wakati fulani ndani ya kisa hiki Msomali alipigiwa simu kwenda kwenye nyumba moja huko Sinza akakutana na kisa cha mdada mmoja kupigwa risasi na kukimbizwa hospitali.

Sijaona (labda nina kengeza) mahali kuhusu huyo mdada ni nani, anahusikaje na sakata hilo, kama alipona, na nani muhusika wa kumtungua na kwa nini!o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-88739046140953220162012-08-03T12:29:14.142+03:002012-08-03T12:29:14.142+03:00bomba sana mwanawane...nakumbuka ndani ya kisa hik...bomba sana mwanawane...nakumbuka ndani ya kisa hiki Msomali alipigiwa simu kwenda Sinza kwenye nyumba moja hivi lakini akakuta mdada kajeruhiwa na kupelekwa hospitali.

sijaona (labda macho yangu yana kengeza) mahali ktk simulizi ameelezewa yeye ni nani, anahusikaje, na alomtungua! Na kama alikufa ama la!o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-88763224055077571742012-08-03T11:59:59.418+03:002012-08-03T11:59:59.418+03:00I see! naona kama naangalia bonge la movie. honger...I see! naona kama naangalia bonge la movie. hongera sana, kwakweli sikutegemea ingekuwa hivi. unaonaje ukiuza hizi stori zitengenezewe movie? na wazo la kutoa vitabu limeishia wapi ndugu?Anonymousnoreply@blogger.com