tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post2121823439483558310..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Hujafa hujaumbika-35emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-22852482078882456842012-05-15T18:05:00.443+03:002012-05-15T18:05:00.443+03:00my dear ukweli bora huku sana kwani ukiwa si mvivu...my dear ukweli bora huku sana kwani ukiwa si mvivu wa kazi kinaeleweka. utapiga hata kazi mbili kwa siku tofauti bidii yako tu .lakini huko unaweza kuwa na bidii ya kufanya kazi na kisieleweke jamani ,tuombeni mungu atuhifadhisamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-40476335618623425822012-05-15T16:05:46.638+03:002012-05-15T16:05:46.638+03:00Ni kweli Samira, life ni ngumu sana, na je ukiling...Ni kweli Samira, life ni ngumu sana, na je ukilinganisha huo ugumu wa huko ulipo na huku kwetu huoni ni aheri ya huko...lakini vyovyote iwavyo, yote ni maisha usikate tamaa, mungu yupo kwa wote wenye kusubiri..Tupo pamoja.<br /><br />Pia kimiya kingi kwa wadau wengine kama akina Subira, Precious,elisa, Pam,Ammy na wengineo mpo wapi? Msinichoke mapema hivi...au kuna tatizo?emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-51420176461516217412012-05-15T15:45:59.250+03:002012-05-15T15:45:59.250+03:00kweli nilipotea kidogo yote nakimbizana na life la...kweli nilipotea kidogo yote nakimbizana na life lakini tupo pamoja<br />mkasa umenoga life life m3 ni ngumu sanasamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-61917634734140371352012-05-12T19:51:44.363+03:002012-05-12T19:51:44.363+03:00Samira ni kweli mjuzi wa yote hayo ni muumba pekee...Samira ni kweli mjuzi wa yote hayo ni muumba pekee. Vipi Samira ulipotea kidogo!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-60577900061897281072012-05-11T18:24:50.136+03:002012-05-11T18:24:50.136+03:00inasikitisha sana binadamu hujuwi mbele mungu kaan...inasikitisha sana binadamu hujuwi mbele mungu kaandika nini tuombeane kheri<br />jumaa karimsamiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-21188338875602220352012-05-11T17:29:00.513+03:002012-05-11T17:29:00.513+03:00Nashukuru kwa kunipa moyo huenda ndio hivo, kwani ...Nashukuru kwa kunipa moyo huenda ndio hivo, kwani nikianza kuandika wala sijajua nitaandika nini nakuta yanakuja yenyewe . Namuomba mungu iwe hivyoemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-44663529329838937912012-05-11T10:42:07.745+03:002012-05-11T10:42:07.745+03:00Kaka una moyo SANA,Mara nyingi unajitahidi kupost ...Kaka una moyo SANA,Mara nyingi unajitahidi kupost mapema,nadhani una karma Fulani hivi .MUNGU aendelee kukutunzaAnonymousnoreply@blogger.com