tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post2066361070846961451..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli-23emuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-36478550387867906062011-09-14T11:31:48.615+03:002011-09-14T11:31:48.615+03:00Em3 wala usijali mungu ni mwema siku zote, atafung...Em3 wala usijali mungu ni mwema siku zote, atafungua njia utapata computer na internet yako unatowekea vitu hadi usiku wa manane, jamani maneno hadi nakuhurumia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-85119603201391397042011-09-09T10:20:37.791+03:002011-09-09T10:20:37.791+03:00M3 ni mkali Shigongo hamfikii hata nusu yake....ja...M3 ni mkali Shigongo hamfikii hata nusu yake....jamani nilibanwa wk nzima nakosa hata time ya kuingia huku yaani mpk nikajihisi napata homa kila nikijaribu nichungulie kdg siwezi kabisa.. M3 una changamoto kubwa sana kipaji ulichonacho ilikuwa uwe na kila kitu ikibidi ndio iwe ndio kazi yako, sometimes nawaza hicho kipaji ungekuwa nchi za mbali ungekuwa milionea all in all Mungu mkubwa ipo siku mambo yatakaa sawa tu.Preciousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-30669630708517553872011-09-08T22:11:06.577+03:002011-09-08T22:11:06.577+03:00Du kila nikifikiria wewe mtu yaani kama ungekuwa u...Du kila nikifikiria wewe mtu yaani kama ungekuwa unawatungia hawa watu wa tansia ya filamu hapa kwetu umgeleta mabadiliko makubwa ktk script.<br />Hivi we na shingongo nani mkali..<br /><br />ROGER-UKAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-71723724394693667272011-09-08T19:56:46.311+03:002011-09-08T19:56:46.311+03:00Pole sana ndugu yangu hayo yatakwisha tuu, uwe na ...Pole sana ndugu yangu hayo yatakwisha tuu, uwe na wakati mwema, Pamoja sana.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-33970506906343332012011-09-06T19:26:49.029+03:002011-09-06T19:26:49.029+03:00Da Yasinta na wapenzi wa blog hii! Sijasafiri au k...Da Yasinta na wapenzi wa blog hii! Sijasafiri au kwenda wapi bali ni vikwazo vilivyo juu ya uwezo wangu! Hapa natamani ningelikuwa na komputa yangu na internet! Da Yasinta na wapenzi wa blog hii! Sijasafiri au kwenda wapi bali ni vikwazo vilivyo juu ya uwezo wangu! Hapa natamani ningelikuwa na komputa yangu na internet!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-47578129509822540612011-09-06T16:48:23.066+03:002011-09-06T16:48:23.066+03:00Afadhali umerudi maana duh!..Nilikuwa nyuma kidogo...Afadhali umerudi maana duh!..Nilikuwa nyuma kidogo katika kusoma lakini sasa nadhani nipo sawa na wengine..na naona mambo yanaendelea hapa sijui itakuwaje ....Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com