tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post2040196958181643614..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Akutukanaye hakuchagulii Tusiemuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-60116953595032423342012-01-10T16:28:27.737+03:002012-01-10T16:28:27.737+03:00Samahani nimekosea namba ya kufanya uradi. Nilikua...Samahani nimekosea namba ya kufanya uradi. Nilikua naandika huku mtoto akinisumbua ni hivi

J2 = 11,000
J3 = 12,000
J4 = 13,000
J5 = 14,000
ALH = 15,000
IJUM = 16,000
J1 = 17,000

believe mimi mkiwa 2 au 3 haiwezi hata kuchukua 2 hours kwa siku.Subiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-64240818179413572362012-01-10T15:19:39.028+03:002012-01-10T15:19:39.028+03:00maskini pole sana em3 mungu atakuwezesha inshaalla...maskini pole sana em3 mungu atakuwezesha inshaallah. riziki hutoa mungu mwanadamu katu hawezi kukupa hiyo riziki. mtegemee yeye. sina uwezo lakini laiti ningekuwa nao wa kutosha. ningekununulia jembe. umetufunza na kutuelimisha sana kwa kweli. kama utataka michango yetu. tujulishe. tupo nyuma yako ucjali.AMMY Knoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-85575607093806486162012-01-10T13:12:06.983+03:002012-01-10T13:12:06.983+03:00Mimi ushauri wangu ni huu, usiwategemee watu kabis...Mimi ushauri wangu ni huu, usiwategemee watu kabisa kuhusu rizki yako, weka ndani ya nafsi yako huku ukiamini kwa dhati kabisa ni Allah peke yake ndio mwenye kujua rizki yako utaipata wapi na kwa njia gani. Hii ni mitihani yake tu inakupata na Inshaallah itapita. Cha msingi na cha muhimu unapoamka kusali Alfajiri uwe unafanya nyiradi za majina ya Mungu ya kuombea riziki kama vile Ya Latwifu na ya Razak, na Ya rahmani. Pia uanze na kustaghafiru mara 100.

Ukitaka majibu ya haraka zaidi, fanya dua hii

weka nia
Soma surat fatiha
Msalie Mtume SAW x 11 kisha uendelee kila siku kwa idadi hiyo waweza kusaidiana na watu kutimiza hiyo idadi.

J2- Lailaha Illa lah x 10000
23- Lailaha illa lah x 11000
J4 - Lailaha illa lah x 12000
J5 - x 13000
Alhamisi 14000
Ijumaa x 16000
Jmosi 17000Subiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-58930812048820330082012-01-09T12:08:57.371+03:002012-01-09T12:08:57.371+03:00pole sana m3,ni kweli riziki haivutwi kwa kamba lk...pole sana m3,ni kweli riziki haivutwi kwa kamba lkn mlango ukifungwa hata dirishani waweza kupenya.. kila la kheri.Pamnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-7395894278855380352012-01-06T17:37:31.770+03:002012-01-06T17:37:31.770+03:00Nashukuru sana Samira kwa kunipa moyo mwenyezimung...Nashukuru sana Samira kwa kunipa moyo mwenyezimungu akujaze heriemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-9193159724973515372012-01-06T16:14:51.182+03:002012-01-06T16:14:51.182+03:00pole sana m3 mtoaji riziki ni mungu yote haya mung...pole sana m3 mtoaji riziki ni mungu yote haya mungu ndo kapanga inshallah utapata pa kustirika tu
mtoaji ni mungu
tupo pamojasamiranoreply@blogger.com