tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post1296208438659007524..comments2024-03-15T19:51:47.325+03:00Comments on Diary Yangu : Majuto ni mjukuuemuthreehttp://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-45790867763267590822011-07-04T08:59:47.086+03:002011-07-04T08:59:47.086+03:00Vitu vingine ni changamoto za kimaisha, na kipaumb...Vitu vingine ni changamoto za kimaisha, na kipaumbele. Ni kweli wapo hawa jamaa na kila siku wanaongezeka, lakini mara nyingi jamii au serikali haiwezi kumlazimisha mtu kujituma, hasa unapofikia umri wa utu uzima, na wao kama vijana, kujiunga na kusema sasa tumechoka kukaa barabarani tumebuni hiki na hiki, tumejiunga hivi na hivi, twaomba wafadhili..nafikiri wangepatikana....lakini useme, serikali ianze mshike mshike...sijui kama katiba inaruhusu, labda kama kuna kifungu cha wazururaji.<br /> Makonda wanadai wao wakati mwingine wanafanya kama kuchangia kuisaidia hii jamii, maana usipowapa, wataishia kuwa vibaka..na vitu kama hivyo, nilitegemea kuwa watu wataisoma hii na kutoa maoni...nakushukuru sana wewe Any. kwa kuliona hiliemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-34080141714955023152011-07-04T08:51:04.006+03:002011-07-04T08:51:04.006+03:00Mimi naona nichangie kidogo kwa hili,huo mtindo wa...Mimi naona nichangie kidogo kwa hili,huo mtindo wa makonda wanawalipa hawa waitwao wapiga debe, utaona hata gari limejaa lakini huyo mpiga debe analipwa halafu mwanafunzi anasukumwa nje...hawa wote ni wahuni wa kuvuta bangi, tunawalea wenyewe vituoni<br /> Kwanini kusianzishwe vijiji au sehemu vijana kama hawa wakawa wanatumika halafu mwisho wa siku wanapata ujira wao...!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5918594773960134109.post-87637918964869212562011-07-01T16:11:33.798+03:002011-07-01T16:11:33.798+03:00Hawa ndio zao wakipata mshahara mtungi kwa kwenda ...Hawa ndio zao wakipata mshahara mtungi kwa kwenda mbele, hajui familia wala nini...halafu anajiita msomi, soma uelimike sio soma ujionyeshe kwa watu..usituone kimya mkuu tupo pamoja na wewe na twapenda sana visa vyako...usichoke kutuandikia hata kama watu hawaweki comments ujumbe umefika!Anonymousnoreply@blogger.com