Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..pia tunakaribisha mijadala na yale yote unayopenda yawemo humu. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthreeSunday, July 14, 2013

HAPPY BIRTHDAY DIARY YANGUSikuweza hata kukumbuka kuwa tarehe iliyozaliwa blog hii ya diary yangu imefika, kwakweli sina cha kuongea zaidi ya kuwaachia nyie na kuwashukuru nyote kwa kuwa pamoja nami hadi leo. Bado tunapambana, na huenda siku moja tutafikia lile lengo....Tupo pamoja


Ni mimi: emu-three

5 comments :

Justin Kasyome said...

Hongera sana, maana kuna vikwazo vingi jirani! Tuko pamoja daima!

Nancy Msangi said...

Happy birthday

Nancy Msangi said...

Happy birthday

mumyhery said...

Hongera sana tupo pamoja

Yasinta Ngonyani said...

Nina hakika sijachelewa. Hongera pomoja daima.