Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..pia tunakaribisha mijadala na yale yote unayopenda yawemo humu. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthreeThursday, December 6, 2012

Uchungu wa mwana Aujuaye ni Mzazi-34
Maua alijitahidi kuamuka mapema, na akajikakamua, licha ya kuwa afya yake ilikuwa bado haijatengemaa, aliamua kufanya hivyo, kwani kama mtoto wake ataletwa, inabidi aondoke naye, akijua kuwa huyo mwanaume mlevi hataki mtoto aletwe hapo nyumbani.

Akatafuta nguo zake, na akachukua nguo alizopewa hapo na huyo mwanaume mlevi, akisema zilikuwa za mkewe, na kuvalia zile zawadi alizopewa na yule mwanaume aliyemuokoa, mwanaume wa msituni. Huku akilini akimuwazia huyo mwanaume wa msituni asiyejulikana sura yake. Na moyoni alikuwa na hamu sana amuone tena huyo mwanume mwema, aliyejitolea kumsaidia bila kujali hatari zote walizopitia,

‘Nina hamu sana angalau nimuone sura yake ipoje…’akasema kwa sauti ndogo.

‘Asubuhi yote hii unakwenda wapi?’ akasikia sauti ikiuliza nyuma yake wakati alipokuwa akitoka nje ili atafute ufagio afagie eneo kuzunguka nyumba.

‘Najiandaa kwa wageni, jana umesema kuna wageni wanakuja, na mtoto mdogo, au umesahau’akasema Maua.

‘Hata kama wanakuja wageni, ndio uamuke asubuhi hivi, kwanza unaumwa, kazi hiyo wataifanay vijana wangu, wewe nenda kapumzike huko ndani,…usije kuniletea shida nyingine,…mwenyewe hapa ni shida, ukianguka hapa nitafanya nini’akasema huku akipiga miayo na huku akimwangalia Maua alivyovalia, akalamba mdomo wake kuondoa ukavu ulimshika ghafla

‘Najipa mazoezi, …..maana wakija na mtoto inabidi niondoke’akasema Maua.

‘Uende wapi mama…sisi hapa tumekuzoea, tunataka ubakie hapa,…’akasikia sauto ya mtoto ikisema, akageuka na kuwaona wale watoto wawili wamesimama mlangoni.

‘Hamkumsikia baba yenu jana akisema kuwa niamue moja, kumchukua mtoto niondoke au nisimchukue mtoto nibakie hapa, sasa huyo ni mtoto wangu lazima nimchukue, na kwahiyo inabidi niondoke’akasema

Yule mwanaume alikuwa kasimama huku kainamisha kichwa chini, hakusema kitu kwa muda, halafu akaingia ndani, alipotoka alikuwa na mfuko wake wa kutokea akasema;

‘Mimi naenda kuhangaika, na nyie fanyeni usafi, kama hawo wageni watakuja wakute kupo kama nyuma ya kuishi mtu, na najua huyo mtu , huko kwao ni mtu wa heshima, anaweza kuja na ujumbe mkubwa, sijui, watakula nini…cha muhimu ni kuwakaribisha,..’akasema na kuanza kuondoka, lakini alipofika mbele akasimama na kugeuka.

‘Na wewe mama, hata jina lako silikumbuki, umesema unaitwa mama nani vile?’ akauliza huku akionyesha kufikiri .

‘Mimi naitwa Maua..’akasema huku akiendelea kufagia.

‘Haya mama Maua, ….sikiliza, waachie hawo vijana wafagie, wewe ndiye muhusika mkuu wa hawo wageni, jiandae vyema,…nafikiri huyu mwanaume akikuona hivyo sijui kama atakuacha, anaweza akaondoka na wewe, haya  jiweke weke vyema wasije wakaona nakutesa, mimi simtesi mtu hapa, na swala la kuondoka,….sijui kama nilisema hivyo, na kama nilisema, nilimaanisha kuwa hatuna  uwezo wa kulea mtoto…..hebu angalia hali yetu’akasema huku akijiangalia.

‘Lakini ni mtoto wangu, niutafanyaje..’akasema Maua.

‘Kwani hana baba yake….baba yake ni nani, na kwanini baba yake asiwajibike,…unaona mimi hapa mke wangu aliondoka, akaacha watoto,nawajiba mwenyewe,sasa wewe unazalishwa huko, halafu naletewa  mimi, wapi na wapi..lakini hayo yasikuumize kichwa kwanza ngoja waje, …mimi naondoka, nikichelewa, ….wakaribisheni wageni’akasema huku akiondoka.

‘Mimi kama wasipokuja leo nitawafuatilia huko huko, lazima nimpate mtoto wangu….’akasema Maua na yule mwanaume akageuza kichwa na kutabasamu huku akiongeza mwendo kuelekea huko anapokwenda

*******

Ndani ya msitu mnene, kulikuwa kimya, na usingeliweza kujua kuwa kuna watu wanaishi hapo, kama usingeliona vijumba vidogi vidogo, ambavyo viliashiria kuwa hapo kuna makazi ya binadamu, ndani ya vile vijumba vidigo, kwa chini kulikuwa na mahandaki yanayoelekea chini, na huko ndani ukiingia ni nyumba zilizotengenezwa vyema, zikiwa na vyumba na hata kupambwa vyema.

Katika eneo moja kulikuwa na nyumba kubwa kiasi, iliyozungukwa na michongoma, na kwa jinsi ilivyo, ilionyesha kuwa hiyo ni sehemu maalumu, na wanaosihi hapo ni watu maalumu, na kila kona ya sehemu hiyo kulikuwa na maaskari, waliosheheni silaha za jadi, hawalali, na kila mara walionekena wakizunguka huku na kule kuhakikisha usama, eneo hilo lilijulikana kama eneo takatifu.

Kwa ndani ya jingo hilo, kulikuwa na kikao maalumu, wazee walikutana, na kukutana kwao kulikuwa na mashauri ya kutoa hukumu. Na hukumu ilikuwa wazi, kwani kiutaratibuu na sheria zao, mtu akikosa kosa kubwa, anachotakiwa na kutupwa kwenye mto wa Mamba, na kama ni kosa la kawaida, anapelekwa kwenye bonde la mauti akaliwe na chatu.

Mzee mteule akakohoa na kuinua fimbo yake kuashiria utulivu, kwani kulikuwa na mabishano ambayo yalifanya wazee wagawanyike makundi mawili, kila moja likidai kuwa wazo walilotoa lina umuhimu kuliko wazoo jingine.

‘Tukifanya hivyo, tutakuwa kama wao,…wao waliendesha eneo hili kwa ubabe, bila kujali haki za wenzao,na mara nyingi waliangalia nafsi zao bila kujali wengine. Mtaona kuwa hukumu zao, zikiwa zinaelekezwa kwao wanazilainisha lakini hukumu zikiwa kwa upande mwingine wanazifuatilia na kuhakikisha kuwa zinatumika kuwaumiza wale wasiowapenda…’akasema huyo mzee.

‘Kwahiyo na sisi mnataka tuwe hivyo?’ akauliza.

‘Sio kuwa tuwe hivyo, ila hapa sheria ipo wazi, na kama unavyoona mzee, hawa wenzetu wana makosa mengi, makubwa, tunaweza hata kusema kuwa wameua watu wasio na hatia, na walikuwa wakihukumu kimakosa, na utawala wao ulikuwa haufuati sheria..ukiangalia yote hayo kisheria , ni kosa kubwa sana…halina msamaha’akasema mmoja wa wazee.

‘Na kama tutawasamehe, ina maana sheria zitaanza kuvunjwa, watu wataanza kurejea kwenye enzi ya ukiukwaji wa sheria..inabidi tuendelee kuzitumia sheria ili liwe ni fundisho kwa vizazi vyetu vijavyo’akasema mzee mwingine.

Majadiliano hayo yaliendelea hadi ikafikia muda wa mwanasheria kutoa ufafanuzi wa baazi ya vipengele, akasema;

‘Ni kweli wenzetu walikosea sana…lakini walitumia vipengele hivyo hivyo vya sheria, ila kwa kuhakikisha kuwa mhalafu kafanya jambo hilo kinyume cha sheria. Walichofanya wao, ni kutafuta mwanya wa yule wasiyemtaka kutenda kosa, …huenda kwa kumtegea, au kumsingizia, na mwisho wa siku kweli yule mtu wasiyemtaka anakuwa na kosa….’akasema huyu mzee mtaalamu wa sheria.

‘Sheria zetu ni nzuri, lakini kuna walakini hapa, kuwa ….kabla ya kosa, kulitakiwa kuwe na uchunguzi wa kina, ..ndio huenda mhalifu kakosea, na ukiangalai kwa juu juu, utaona ushahidi upo, lakini, tunahitajika kufanya uchunguzi wa kina, ili kubainisha kuwa kweli kafanya kwa makusidi au kuna ujanja wa watu wengine…’akasema huyo mzee.

‘Sikatai sheria zetu ni nzuri, na kwa kiasi kikubwa zimetusaidia kuiweka jamii yetu kwenye mstari  wa kutii, lakini kuna uzaifu wa  watekelezaji, na hili tumeliona kwa wenzetu hawa,…sasa nafikiri wakati umefika,..kwa vile sisi ndio watawala, ni vyema tukaanza kurebisha baadhi ya vipengele, sio kuviondoa, ila kuviboresha…hasa kile kipengele cha kupiga kura’akasema huyo mzee wa sheria.

‘Ulitaka hapo tufanyeje?’ akaulizwa.

‘Mara nyingi, kura zikipigwa , hata kama mhalafu hakukosa kiasi hicho anahukumiwa au anasamehewa, …sasa wenzetu walikuwa wakipangana, kama mtu ni wa kwao, wanampigia kura kuwa asamehewe, lakini akiwa upande mwingine wanampigia kura kuwa asisamehewe..hapa kuna walakini, tunatakiwa tuwe makini, na tusifanye kama walivyokuwa wakifanya wenzetu…’akasema huyo mzee.

‘Tatizo jingine ni ubaguzii wa kuangalia ukoo, au familia bora kutokana na uwezo wa kimali..hili linatakiwa liangaliwe upya, kwani inapofika kwenye utkelezaji wa sheri, kuna uzaifu wa kinadamu unaingia hapo, hasa kwa kuangalia huyu mtu yuopoje, ni wangu, ni ukoo gani, …sheri ni sheria tu, sheria haina kinga kwa yoyote yule kama kakosea…hilo lipo wazi’akasema huyo mzee.

‘Ukiangalia kwenye mapato, familia duni zimesahauliwa sana, …ilitakiwa kwenye mapato familia hizo ndizo zipewe kipaumbele, kwasabaabu hanawajiwezi, na badoo hatuwajali, ..je watajiweza lini, isiwe mwenye nacho kuongezewa, …hiyo sio halali, mwenye nacho amjali asiyekuwa nacho, ili na huyo ambaye hana ainuke amkaribie mweney nacho au hata kumfikia, ili mwisho wa siku tuwe na jamii yenye usawa…’akasema na wazee pale wakatabasamu.

‘Kuna wanajamii wengi ni masikini sana, hawana mbele wala nyuma, na utakuta wao ndio wakosaji wakubwa, na ukiangalai wengi waliohukumiwa wanatokana na jamii hizo, hamuoni kuwa umasikini wao ndio unawasukuma wafanye hivyo, ..je tunahitaji uhalifu,….ili kuondoa uhalifu ni vyema tukaangalia kiini chake, na kiini chake ni uamsikini, na dawa ya umasikini ni kuwawezesha hawa wanajamii….’akatulia na kumwangalia mkuu wa wazee.

‘Huo ndio muda muafaka wa kulibadili taifa hili, ili kuondokana na ubaguzi, utofauti wa kipato uliokithiri, kwani kutokana na kukikithiri huku kwa utofauti wa kipato wengine wanajiona miungu watu, …..na wengine wanajiona wanyonge, hawana haki…na haki yao kuipata ni mpaka kuwa mtumwa wa wengine, na ikibidi ni kuiba, au kufanya fujo…sasa utawala wetu, tuushauri, maana ni vijana wetu, wanahitaji busara zetu,…..tukiwaachia wanaweza wakatawala hivyo hivyo, kama walivyokuwa wakifanya wenzetu.

‘Sheria ni msimeno, hukata mbele na nyuma, …lakini wakati mwingine tunahitajika kutumia `hekima’ hekima itasaidia sana kuzifanya sheria zetu ziwe na mantiki. Sheria zisiwe ni ubabe, na udikiteta, sheria ziwe shule., na mama wa ulezi, ili kila mkosaji ajue kuwa kafanya kosa, na anastahili kuadibiwa na yupo tayari kutubu, naya kuwa hatarudia tena….’akasema huyo mzee sheria.

‘Kama asipojua kuwa kweli kakosea, na akatubu, huyu mtu mkamuhukumu, kwa ubabe, hata akimaliza kifungo, anaweza akarejea tena kwenye makosa….tusizifanye sheria ni vitisho, bali ziwe ni shule.Yule mhalafu aliyekosea asome, ajua na aelimika kutokana na kosa lake, ili iwe fundisho kwa jamii, lakini sio fundisho kwa kumkomoa, …iwe fundisho kuwa akimaliza adhabu yake, anakuwa kiyoo cha jamii….

‘Hili tutaliweza kama tutaanzisha maeeno ya vifungo, yenye shule za kuelimisha, ….wakosaji wote wakifika huko wanakutana na shule, wanaelimishwa, wanajifunza, na kuwa wazalishaji,…..sio kukimbilia kuwaua, kuwa kuwatupia mamba..au kuwatupia kwenye bonde la umauti…huo msimu umepita, ….’akasema huyo mwanasheria na hapo baadhi ya wazee wakaguna.

‘Sio kwamba nasema hivyo kwa ajili ya kuwatetea wenzetu, hapana, hawa wapo kwenye sheria zilizopo, ambazo hazijareekbishwa, na wanastahili adhabu zao, lakini kutokana na wao, tujifunze, na wao waanze kuonja utaratibu mpya ambao, utawalea….ili wajione kuwa kweli walikosa, na wanastahili kuwa wanajamii wema….

‘Sasa kazi ipo kwenu, kuanza kuzipitia sheria moja baada ya nyingine tuone kuwa tutaiboresha vipi…angalizo hapa ni kuwa hizi sheria tuliletewa na wenzetu, na zilikuwa na maana ya kuipa adabu jamii yetu iliyokuwa kwenye mapigano, lakini sio kila jambo tulifuate kama lilivyo…hapana sisi kama watawala tunayo haki ya kujiendesha katika misingi inayokubalika na jamii yetu…’akasema huyo mzee.

‘Kama tutakuwa tunakubali kila tunaloambiwa na bwana wakubwa, huko, ….tutakuwa hatuna uhuru, na hata utawala wetu utakuwa hauna maana….ina haja gani ya kuwa na mkuu wa jamii, mfalme, na malikia, lakini bado tunati sheria za wenzetu, hatuna haki, hatuna akili, hatuna hekima…tunazo na tunahitaji kuzitumia kwa maslahi ya jamii zetu, na vizazi vyetu….’akasema mzee huyo wa sheria.

Baadaye majadiliano yakaanza kwa kuangalia vipengele mbali mbali vya sheria, na hata kukubalika kuwa kuwe na katiba kuu ambayo ndani yake kutakuwa na hizo sheria….katiba hiyo ikashakubalika ikapitishwe kwa wanajamii wote waielewe …na kama kuna tatizo, wapate mawazo ya wajamii, na warudi tena wabadili kwa matakwa ya wanajamii.

‘Haya hili ni zoezii muhimu sana,…sisi kama wazee tutakaa na watawala wetu, kijana wetu ambaye ndiye mfalme, tutamshauri, na tunahitajika kumpa msaada wa kila hali kuhakikisha kuwa anakuwa matawala bora, yeye ni biandamu anaweza akakosea, na akikosea ni vyema akakosolewa, kama alivyosema kwenye hituba yake,…..

‘Mimi namfahamu sana kijana wetu, hana makuu, ana hekima, na anakubali ushauri, ila hataki majungu…kama una lolote mwambie, mshauri, na kama mnavyoona kwana kaanzia na sisi wazee, kutupa nafasi ya kujadili utawala bora,….akijua kuwa sisi wazee tuan hekima zetu, na hekima zetu mumeziona,…’akasema mkuu wa wazee.

‘Haya tuliyojadili hapa sisi ndio waasisi tunayajua vyema kuliko wao, ndio maana ametupa naafsi ya kwanza,  na sisi tutapeleka mashauri yetu na mawazo yetu, na kama alivyosema baada ya sisi wanafuatia kundi la vijana, wenye moto na madaraka na mabadiliko,….na wao watajadili yao wanayoyataka, huku wakiazingalia hizi sheria,

‘Kesho vijana wana kikao chao kama hiki, na keshokutwa kuna kikao cha akina mama….kila kundi litakuwa na vikao vya kujadili hatima ya taifa hili…..na mwishowe kuna kundi la imani zetu, dini zetu na wao watakaa, kujadili, kwani wao wanaangalia ndani ya miili yenu, kwenye mioyo yetu, sisi tunaangalia nje….wao watakutaan na kuhitimisha vikao, na hatimaye tutakuwa na katiba bora, ….

Na wakati wanaagana mara akaja askari mlinzi na kutoa taarifa kuwa mtoto mmoja kaibiwa, ….
Mtoto gani huyo?’ akaulizwa

‘Yule mtoto wa yule mwanamke aliyetupiwa kuliwa na mamba,..mtoto huyo alipewa jina la Maua’akasema huyo mlinzi.

‘Mfalme wetu mpya anajua hilo?’ akaulizwa.

‘Hatujamwambia ..’akasema huyo askari na mkuu wa wazee akaondoka kwenda kuongea na kijana wake mfalme matarajiwa, hakutaka kukutana naye mapema hivyo, lakini kwasababu ya huyo mtoto, ikabidi afike kwake kumuona.

‘Kijana wangu, uliniambia kuwa unamuhitaji kumchukua yule mtoto umpeleke kwa mama yake, lakini kuna taarifa kuwa mtoto huyo kaibiwa’akasema huyo mzee.

‘Haiwezekani, kwanini aibiwe yeye tu…mzee ngoja nilifuatilie hilo,…lazima apatikane, na nahisi wenzetu wapo nyuma ya hilo, kwani nilisikia kuwa kijana wa mzee mhalfu alishataka kumchukua kama mtoto wake, na tulimkatalia …huenda kaamua kutumai nguvu.

‘Haya ndo yatanakiwa kuyakabili mapema, wenzetu wameishi kwenye himaya ya ubaguzi, uonevu, na kujiona kuwa kila kitu wana haki nacho, na wengine hwana haki,….sasa hili ni changamoto kwenye uongozi wako, unaonaje ukamuita mkakaa mkaongea, …ujua ni nini hisia zake na kama ndiyo yeye kafanya hivyo, ujaribu kumshauri, kuliko kutumia nguvu.

‘Mzee wangu nilishafanya hilo, lakini yule kijana anafuata matakwa ya babu yake, aliniambia waziwazi kuwa hatakaa kiti kimoja na mimi kwenye mashauri kuhusu utawala, na atahakikisha kuwa naishi kwenye utawala wa mashaka….labda nimuondoe duniani…

‘Kwahiyoo anashinikiza tuchukue sheria kama zilivyo?’ akaulizwa.

‘Hilo kwanza nimewaachia nyie, lakini huyo babu wao kama tutamuachia, kutakuwa na tatizo…..inabidi tufanye maamuzi magumu….au wewe babu unashauri nini?’ akauliza kijana.

‘Hilo ni jukumu lako kijana wangu, sisi tutakupa ashauri yetu na mawazo yetu, lakini mwisho wa siku unatakiwa utumie hekima yako kama mkuu wa utawala wetu…usifuate hisia zako, fuata hisia na matakwa ya jamii, kwani wao ndio waliokuweka hapo….ondoa kabisa chuki zilizopita, kwani binadamu hukosea, na anaweza kujirudi…tutakaa na huyo mzee tutaangalia jinsi gani anataka, …’akasema huyo mzee, na kuondoka.

Kijana ambaye alishajiandaa kwa safari ya kumpelea mtoto kwa mama yake, ikabidi safari iahisrishwe na kumuita mkuu wa upelelezi , mkuu wa usalama na mkuu wa sheria, ambao walikuwa ni wapya kwenye kazi hiyo, na kuanza kujadiliana nao,…

‘Sisi tunaona hiki kizazi tukikiachia kitakuwa ni tatizo…..’wakasema wakuu hawa

‘Sasa mnataka tufanyeje?’ akawauliza.

‘Sheria ichukue mkondo wake, …jicho kwa jicho….hadi wanyooke’akasema mkuu wa usalama, na wenzake wakakubaliana na hilo.

‘Sawa nimewasikia, lakini na mimi nahitaji muda wa kulitafakari hilo….nitawaita baadaye, ila hakikisheni huyo mtoto anapatikana leo hii..’akasema

‘Sawa mkuu…’wakasema na kuondoka.


Ni mimi: emu-three

14 comments :

Anonymous said...

I shall no longer expect my salvation to come from another as handsome as me. [url=http://officialcanadagoosesoutlet.ca]canada goose for sale[/url] antibiotic levaquin candida, prozac welbutrin, nexium and low iron, prozac safety label, allegra advair, nizoral at target, strokes lamictal, prozac nation songs amazon, does propecia actually work clinical trials, nexium for heartburn, valium prozac side effects, plan b 0 5, tricor pillow, strepsils ibuprofen 200mg, online prevacid , methylprednisolone ibuprofen pain, prozac for women, taking lamictal for depression lamotrigine, zetia patent expiration date , prozac corrections, plan b emergency contraceptives ec, discontinuing motrin, tricor and high blood pressure, prevacid vs omeprazol These two RINOS have once again ignored the Constitution to give the government more power. I was shocked to find that I could not simply buy "half a kilo of that, please".
The 'evidence' for this is that he was well known in the East End and that he would visit doss houses to encourage prostitutes to place their children into his care. [url=http://www.icanadagooseca.com]canada goose toronto[/url] Many of our clothes can easily be dressed down for casual wear, which makes them even harder to resist. http://officialcanadagoosesoutlet.ca
[url=http://flyballbags.com]canada goose[/url] getting only a little one, Louboutin would ordinarily sneak away from school, away from your age of 12, to observe the showgirls at some Paris nightclubs, merely because he was fascinated by their costumes, and cites this as his significant inspiration for acquiring to acquire a shoe designer: "[The showgirls] influenced me a complete lot. [url=http://www.onlinebeatsbydreoutlet.com]beats by dre buy now pay later[/url]

Anonymous said...

What is more important is that the residents can find a way to adapt and survive in their country.. http://www.2012canadagoosepascher.fr Right now, standard NHL goods contains a inside athletics attire market place, giving many colorful alternatives available s wherever and also have quite frosty a bunch of many monthsAnd cheaper again is a replica NFL jersey At this time, genuine NHL object secures some during the sporting events clothing promote, delivering countless amazing picks you could use Still, there's good news for you: it could be our favorite, also! Dressed in NHL jersey could produce a fresh mood in your brain, self-confidence, and everybody knows you'll find all the newly look in cold winterGoing in the season, there are a few professional poker coaches within the hot cinema seatWith collecting more hockey memorabilia, you will have a better opportunity to get the information about the NHL game Because you will uncover within this Pai Skincare review, the manufacturers appreciate this fact well and also have develop various ingenious product products to provide having a complete skincare solution.. Track 5, Down in De Dew, is an interesting guitar-oriented instrumental piece5.
However, as difficult as the commute was, it could have been much worse. http://www.icanadagooseca.com And one of the wonderful things about pearls is that they are appropriate for any age. [url=http://officialcanadagoosesoutlet.ca]canada goose parka sale[/url]
[url=http://flyballbags.com]canada goose on sale[/url] Air Jordan Retro 7 "What you want to think Emilio Pucci about is offering the best V neck Dresses of the best brand experience Emilio Pucci 2012 " in stores; your " Sleeveless Dresses website is the window on Short Dresses the world, Long Sleeve Knee Dresses and the store is about knee length long sleeve dresses the relationship you have colorblock dress with the client, half sleeve dress" she says. [url=http://www.onlinebeatsbydreoutlet.com]beats by dre headphones tesco[/url]

Anonymous said...

nous nous contenterons de donner viagra, certaines matieres colorantes et la catedratico de Mineralogia y Zoologia en aquella cialis lilly, Una descripcion concisa de las I peli acquiferi del Boletus Briosiannm non hanno, viagra, conservati in alcool e negli essiccati, gegen Abend zunehmende Schwache, cialis tabletten, ist ahnlich der der Schwefelsaure bei der,

Anonymous said...

Τhe pоѕt features ρroven bеneficіal to me.

It’s quite informative and yοu are obviouslу verу educated in this field.
You get poppеԁ my personаl face to be able
to numerouѕ thoughts about this partіcular subϳect with іntгіquing, nоtablе and rеlіable articles.


Have a loοk at my blog post; viagra
Have a look at my webpage - buy viagra

Anonymous said...

Yоur report has proven necessагy to myself.

It’s rеаllу helρful and you're simply clearly extremely educated in this area. You possess popped our sight to be able to various views on this kind of matter together with intriguing, notable and solid articles.

my homepage :: buy Codeine
My weblog - buy codeine

Anonymous said...

The reρort offeгs verіfiеd useful tο mуѕelf.

It’s very usеful and you're certainly extremely well-informed in this region. You have got opened up my personal sight for you to numerous opinion of this specific matter along with interesting and reliable content.

Stop by my page ... oxycontin
Take a look at my blog post - buy oxycontin online

Anonymous said...

Your current article featuгes confirmed useful tο me personally.
It’ѕ еxtremely helpful anԁ you aге obviously really knowledgeable in this
fielԁ. You haѵe got οpеned up my оwn sight to be able
to ѵarуing opinion of this specіfic matter togеthеr with intriguing and solid articles.


Сheck out my homepage; buy viagra
Feel free to visit my website :: viagra online

Anonymous said...

Your article has verifіeԁ useful to me peгsonally.
It’s quite uѕeful аnd you're clearly quite well-informed in this region. You have opened our face for you to various views on this specific subject using interesting and solid content.

Also visit my blog; Buy Phentermine
Feel free to visit my web blog : phentermine

Anonymous said...

Youг cuгrеnt reρort provіdes νerifіed useful to me.
ӏt’s very іnfοгmative аnd you're simply certainly extremely educated in this region. You have got opened my sight for you to varying opinion of this particular topic along with interesting and sound written content.

Check out my web-site: buy ambien online
Here is my web page buy ambien

Anonymous said...

Your poѕt offеrs confirmеd necessary to
us. It’s reallу educatiοnal and you're simply naturally really educated in this area. You have opened my own sight to numerous opinion of this specific subject using intriguing and sound content material.

Also visit my site - buy phentermine
Also visit my webpage buy phentermine

Anonymous said...

Youг сurrеnt repοгt featureѕ proven
helρful to us. It’ѕ rеallу infоrmative and you
arе naturally quite well-informеԁ іn this arеa.
You have gοt oρenеd up my own eуe in order to varying opinіοn of thіs kіnd
of matter together ωith interеѕting аnԁ reliablе written cоntent.Feеl fгеe to surf to my
pagе ... phentermine online
Here is my blog post ... phentermine

Anonymous said...

Thе ρost feаtures ѵerifіed
necessaгу to myѕelf. Ιt’ѕ quite helρful and
you're simply certainly extremely educated of this type. You possess opened our eyes in order to different thoughts about this specific matter with intriguing and sound written content.

Here is my weblog :: xenical
my website - Xenical

Anonymous said...

Thе pοst features proven helpful to us. It’s veгy usеful аnԁ you're clearly quite experienced in this field. You have got opened up my personal sight to be able to numerous views on this subject matter along with interesting and strong articles.

Feel free to visit my website: ambien
Here is my site : buy ambien

Anonymous said...

I don't even understand how I ended up right here, however I believed
this submit was once good. I don't recognise who
you might be but definitely you're going to a well-known blogger when you aren't already.
Cheers!

my page - web page