Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..pia tunakaribisha mijadala na yale yote unayopenda yawemo humu. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthreeFriday, August 10, 2012

Mbio za sakafuni,huishia ukingoni
  Uliwahi kukutana na mtu mzima kavaa suti ile ya bei mbaya, na briefcase mkononi, anakatisha barabara, huku anaongea mwenyewe, kama mtu aliyechanganyikiwa. Sikuamini nilipomuona jamaa yangu huyu, ambaye amfahamu sana.

Nilikuwa kituoni nikisubirii gari, mara kwa mbele yangu nikamuona mtu ambaye nilihisi namfahamu, nikainuka pale nilipokuwa nimekaa ilinimuwahi akivuka barabara nisalimiena naye, maana salamuu ni udugu, salamu ni moya ya sifa ya muumba, mkisalimiana mnajenga upendo na amani moyoni.

Mara sauti ya gari lifunga break, ikasikika, na watu wakatoa yowe, ilikuwa alimanusura jamaa yangu huyu kugongwa, na yeye akabakia kaduwaa katikati ya barabarani, na lile gari likiwa limesimama karibu kabisa na miguu yake; Na harufu ya mpira ulioungua  ilitanda hewani.

‘Wewe mzee vipi wewe umechanganyikiwa asubuhi asubuhi hii, au aumelala nazo nini…’ilikuwa sauti ya yule dereva ambaye alimkosakosa kumgonga huyu jamaa yangu, na yule jamaa yangu akawa anainama chini kukubali kosa, huku akishindwa hata kuongea.

‘Ametoka honeymoon huyo, ….muheshimiwa saaana, waanokula kodi zetu hawoooo’akapayuka mmoja wa walioshuhudia.

Mimi nikajivunga kukutana naye, maana watu walishaanza kujaa, na niliona aibu kuwa nikiongea naye na mimi nitaonekana kama yeye. Ndio hulka ya kibinadamu ilivyo, kama yule jamaa angefanay jambo jema, kila mtuanagetaka kuwa karibu naye, lakini kwa vile katenda tendo baya, wengi wanaweza hata kumkana kuwa sio ndugu yao, hata kama walizaliwa tumbo moja.

Miminilichofanya ni kumfuta nyuma nyuma, na hapo nikashangaa, mwanzono nilizania anaongea na simu lakini nilipomchunguza vyema nikagundua kuwa hana simu, na anaongea peke yake, na kila mara alikuwa akitupa mikono huku na kule akilalamika jamboo fulani. Nikaona sasa mwenzangu kachanganyikiwa na kama ana matatizo, basi hayo matatizo yamemfika pabaya.

Nikamshika bega kwa nyuma, jamaa yangu yule aligeuak kwa hasira karibu arushe ngumi.

‘Wewe…’akasema na tukakutana uso kwa uso.

‘Vipi muheshimiwa, mambo yanakwenda vipi, maana muda wa kampeni haujaanza lakini wewe naona umeshaanza kupiga kampeni’nikamtania.

‘Wapi umeniona nikipiga kampeni?’ akaniuliza.

‘Pale barabarani,na sasa hivi hapa maana unaongea kwa hisia ….lakini wananchi wanaokusikiliza siwaoni, vipi kunani linamekusibu, maana kwa mara ya mwisho tulipokutana ulikuwa kweye harakati z akugombea ubunge, sijaweza kuwasiliana na wewe nikajau nini kilitokea.

‘Wewe usinikumbushe hayo maana hapanilipo nimechanganyikiwa, madeni yamenipanda hadi utosini, nyumbani hakukaliki, natamani dunia ipasuke nitumbukie, nipotelee huko ndani, lakini uhai bado nautamani,kufa sifi lakini cha moto ninakipata, ….’akasema huku akijiweka tao yake vyema shingoni.

‘Kwahiyo ubunge uliukosa?’ nikamuuliza.

‘Ningeupata ningekuwa hivi bwana…wewe huoni , watu wana roho mbaya, ….we acha tu, ‘akasema kwa uchungu, nami nikataka kujua ni nini kilimsibu, lakini pale kulikuwa na watu wengi, nikamshika mkono na kumwambia;

‘Unaonaje tukafika pale kwenye kibanda cha soda tukaonge a kidogo?’ nikamuuliza.

‘Aaah, sawa,lakini nina haraka, maana kuna mtu namdai, ananipiga tarehe, hajui mimi nyumbani sina amani, mke kawa mbogo, kama vilehatukuwa wote kwenye ile kampeni, yeye ndiye alikuwa mshika pesa, sasa tumekosa mwenzangu ananigeuka, ….lakini sijakata tamaa, mwakani nikapata mfadhili naingia tena ulingoni.

‘Pole sana, kwani nikuulize, huo ubunge ni kwa ajili ya wananchi au ni kwa ajili yako?’ nikamuuliza.

‘Swali gani hilo bwana?’akasema akiniangalia kwa makini.

‘Maana kama ni kwa ajili ya wananchi sizani kama unahitaji kuwa hivyo, wao ndio wanaokuhitji kuw akiongozi wao, na wanajua juhdi zako katika kuwaletea maendeleo, basi kama wanakuhitaji watakuita, na watakusaidia kwa hali na mali, sioni kwanini ujipe shida hadi kutaka kugingwa na magari….’nikasema.

‘Wewe tatizoo lako, unajifanya upo dunia ya wacha mungu, hiyo dunia haipo, usipoahangaika hupati kitu, ili upate kitu, inatakiwa uwe nacho,…mkono utoa ndio upatao,….ni ili uwape hamasa wapiga kura wako. 

Watakujuaje kuwa unaweza kuwasaidia usipowaonyesha mfano sasa hivi…’akasema.

‘Mfano gani, maana mimi nilizani kuwa utakuwa nao kweney harakati za maendeleo, uwe nao kwenye ujenzi wa taifa, mfano kule kwenu kuna shida ya maji, ungana nao kudai au kuchimba visima, unganao nao kwenye misaragambo ya kuchimba barabara…hapo utakuwa kariibu nao, kama kiongozi mtarajiwa…lakini wewe upo huku mjini, kiguu na njia kutafuta wafadhili....’nikamwambia.

‘Hiyo ni dunia yako ambayo haipo,…uwe nao pale uonekane mlalahoi, halafu wakikuomba pesa ya kula utawapa nini,....unatakiwa ukifika pale unazo, kila mwenye shida hawa wale waongeaji wazuri, unawapa chochote,....wewe  unanichekesha kweli,  eti nikakae nao, .....Mfano rahisi, angalia wenzako wanapiga kampeni kwa ndege, wewe unataka mimi nikapige kampeni kwa ndala, ..hupati kitu hapo…’akasema na mimi nikabakia mdomo wazi.

Huu ni ujumbe mfupi, ambao unanikumbusha kisa cha huyu muheshimiwa naye alipambana na matatizo mengi, na sasa yupo kitandani kapatwa na kiharusi,kila alichokuwa akikihangaika alikionja kidogo, lakin hakuweza hata kukimeza, akakumbwa na kashfa, iliyomuweka kitandani, na kesi ipo mahakamani

Ndio maisha yalivyo,huwezi ukamcheka mtu, au kumlaumu, kila mtu anahngaika kivyake, ili afikie lengo lake,na wengine wanaishia kuhatarisha hata maisha yao, bila kutegemea, ....kwani sote tupo katika kuhangaika, lakini vyovyote tufanyavyo, tumkumbuke mola wetu, kwani tutahangaika wee, lakini hatujui mafanikio yatakuwaje, yote yanaweza yakawa ni mbio za sakafuni, abazo huishia ukingoni...

NB:Sijui nikipata muda tuangalie maisha ya mwenzetu huyu, huenda tukajifunza jambo….Tuombe mungu, na kama huyu muheshimiwa ataniruhusu tukijaliwa hiki kitakuwa kisa kingine. 

Nawashukuru wengi walionishauri kuhakikisha kuwa kazi zilizopita naziweka kitabuni, nafanya hivyo, na huku nikiwa hewani, nitajitahidi ili hapa kusiwe kimiya, ....visa vipo vingi, ni swala la muda, navitendea kazi, tumuombe mungu atujalie.

TAARIFA KUTOLA REDIO ONE . Watu kadhaa wamekufa na wengine 15 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kupata ajali  sehemu za Pwani. Na pia kuna lori la mafuta limepinduka hukoLugoba na kufunga njia , watu wanaiba mafuta.


Ni mimi: emu-three

14 comments :

Precious said...

Tunasubiri kwa hamu kisa kipya...Ijumaa Kareem M3 na wadau wote wa Diary Yangu.

Yasinta Ngonyani said...

Ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni...nimependa jinsi ulivyokuwa ukimpachika maswali..na mifano uliyompa nimependa mno ..ni kweli kabisa kwa nini mtu mpaka uwe na fedha?..Naona kisa hiki kitakuwa bonge la kisa...kila la kheri..twasubiri...

samira said...

m3 inasikitisha madereva kila siku hawajifunzi sijuwi kwa nini
yote maisha

Anonymous said...

Hі mу fаmily member! I wiѕh tο ѕay thаt this
poѕt iѕ awesomе, grеat wгitten and
іncludе apргoximatelу all ѕignificant
infοs. Ӏ wοulԁ lіκe
to see more ρostѕ like thiѕ .
Feel free to visit my page ... christmas Gift Idea

Anonymous said...

Wоw, amаzіng wеblog lаyοut!
Hοw long haνe you eѵeг bееn runnіng
a blog fοr? yοu mаdе blogging glanсe easy.

The full glаnce οf your websіte is fantaѕtic, as
neatly аs thе content mаteгial!
Here is my website laser pictures

Anonymous said...

Please let me know іf yоu're looking for a article writer for your blog. You have some really good posts and I feel I would be a good asset. If you ever want to take some of the load off, I'd absolutеly love to writе ѕome mаterial for your blоg in exchange for a linκ bacκ to minе.
Pleaѕe sеnd me an email if intereѕted.
Regаrds!
Take a look at my weblog ; chubby live porn

Anonymous said...

I know thiѕ site gives quality dеpending posts and other ԁata, is theге any other web ρage which pгeѕentѕ these kinԁs of things іn quality?
Here is my blog ; buy crystal

Anonymous said...

Normally I don't read article on blogs, however I wish to say that this write-up very forced me to try and do it! Your writing style has been surprised me. Thank you, quite great article.
My homepage ... fat porn

Anonymous said...

Ηey! I cоuld haνe sworn I've been to this site before but after reading through some of the post I realized it's nеw to me.
Nonetheless, Ι'm definitely happy I found it and I'll be bοok-mаrκіng аnd
checkіng back fгеquеntly!
Also visit my web-site - laser etched

Anonymous said...

Ӏ was morе than hapрy to uncovеr this
pаge. I ωantеԁ to thank уou for
yοur tіme just fοr thiѕ
wonderful read!! I definіtеly liκed eѵery part of
it anԁ i also hаve you savеd as а favοrite tο sеe new
information on уour web sіte.
Here is my site ... bbw movies

Anonymous said...

Ρіeсe of wrіting writing is alsο a excitement, if
you knοw then you can ωritе otheгwisе it іs difficult
to wгite.
Here is my blog post :: bbw

Anonymous said...

When І initiallу cοmmented Ӏ clickеd the "Notify me when new comments are added" checκbox аnd now each tіme
а comment is adԁed I get three е-maіlѕ with the sаme сomment.
Is there any way you can remove me fгom that serviсе?
Cheers!

My site; bbw sex chat

Anonymous said...

Heуa i'm for the first time here. I came across this board and I to find It truly useful & it helped me out much. I am hoping to provide one thing again and aid others such as you aided me.

Have a look at my site :: chubby blog

Anonymous said...

Hurrah! After all I got a webpage from where I сan actually obtain hеlрful data regarding
my study and knowledge.

Hеre iѕ my web blog: bbw