Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, na matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary'(shajara). Pia tunakaribisha mijadala yenye kuelimisha

Na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..

Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu.

MUHIMI, SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthree



Tuesday, June 19, 2012

TUPO PAMOJA-PIGIA KURA BLOG YAKO



Kila jambo huja kwa sababu fulani, hii ndio hulka yetu wanadamu, na mimi kama binadamu siwezi kuwa kinyume na hilo. Majukumu na mambo yaliyopo juu ya uwezo wangu yamenikwaza na kushidwa kuendeleza sehemu inayofuta kila siku, tuombe mungu kesho, tukijaliwa nikiwahi na umeme ukawepo, jembe likafanya kazi, na mtandao ukiwa safi tutaendelea tu.

Ila kama umpenzi wa blog hii, usikose kuipigia kura ili kuitangaza, kwa kubofya hapa. http://www.tanzanianblogawards.com/

Tupo pamoja

Ni mimi: emu-three

1 comment :

Anonymous said...

Tutakupiga mkuu, usikonde,...na wewe ni mshindi hata tusipokupigia kura, maana wewe sioni wakukulinganisha na wewe...mungu akubariki sana