Hii ni blog maalum kwa kumbukumbu za kimaisha, matukio yenye mafunzo ndani yake, ndio maana nikaiita 'diary', na kwa kuifanya iweze kuvutia zaidi tunaandika matukio hayo kwa mfumo wa visa, hadithi au tamithilya..pia tunakaribisha mijadala na yale yote unayopenda yawemo humu. Wewe ukiwa mdau muhimu, unaweza kuchangia na wenzako kwa kutoa hoja (comments). Pia unaweza kutoa maneno ya hekima, utaalamu, au dukuduku lako (kilio chako)kwa jamii ili kuweza kukidhi mahitajio yetu. SOMA , CHANGIA, NA TOA kisa chako, au lolote lenye mafunzo ili tuliweke hewani.

TUPO PAMOJA DAIMA


Tushirikiane, Tusaidiane, Tupendane, Tuvumiliane, Tusaidiane, Tusameheane.

Kwa visa motomoto tunapatikana pia kwenye mitandao ya kijamii ya: Facebook, na Twitter, bofya hapa upate visa zaidi;

https://www.facebook.com/emu.three, na kwa ajili ya kuitangaza hii blog, ingia hapa:

https://www.facebook.com/diaryyangu/

`u-like' na pia unaweza kutwitter hapa;

https://twitter.com/emuthreeWednesday, August 24, 2011

Blog mpya ya IT


YES WE CAN!


www.it4dev.blogspot.com/

Blog itakayoleta mapinduzi ya kitekinolojia na changamoto kubwa ya maendeleo ya taifa.
Wataalamu na wajuzi wa nyanja mbalimbali sasa ndio wakati sahihi kuchangia maendeleo ya jamii yako.
Your knowledge and experience can bring about changes we always believe in. If you think you are one of the smartest people the country and your society is crying for and would like to become one of the authors to post and analyze different topics please send your email and your profile to:
editorit4dev@gmail.com
Our Aim is to become the Center of Excellence for all IT matters.
TOGETHER WE CANNi mimi: emu-three

5 comments :

SIMON KITURURU said...

Asante kwa taarifa MKUU!

SIMON KITURURU said...

...ila link :www.it4dev.blogspot.com


....sijui inamatatizo kwa kuwa hainipeleki isemako.Kwa kifupi tokea nistukie mchongo napata nikiikongoli meseji ianzayo na :Page not found

emu-three said...

Mkuu Kitururu, nimebadili hiyo link; http://www.it4dev.blogspot.com/
natumai katika kucopy and kupaste kuna kitu kilinyofaka, hebu kong'oli tena uone!

SIMON KITURURU said...

Sasa hivi poa!

Anonymous said...

cialis doses [url=http://fastshipcialis.com]Cialis[/url] buy cialis money orderviagra dallas [url=http://fastshipviagra.com]Buy Viagra Online[/url] cheapest price for viagralate period on clomid [url=http://usfastmed.com]Clomid[/url] dr hilgers prescribes clomidwatermelon and viagra [url=http://shopnorxmed.com]Viagra Online[/url] viagra original pricepropecia finasteride 5mg [url=http://healthcarerxusa.com]Propecia[/url] chemical mechanism of finasteride